Matola hana tofauti na binadamu mwenye jinsia mbili,
Matola hana tofauti na binadamu mwenye jinsia mbili,
kwani wewe ni baunsa mzee acha uongo sema ulikwenda kula bata kama waliokuzunguka..hii ni nchi huru mzee kwanini udanganye kwa starehe yako mwenyewe
Kwa hiyo hapo ndo ulikuwa u naangalia usalama wa huyo msanii au?
- Yaaani nimeeenda majuu miaka 30, nimerudi na 3 Degree, nimejenga nyumba na shamba, nimetafuta apartments 2 moja Changombe na moja Posta mpya ninapoishi, nina kampuni yangu ya Media, sasa nina ofisi yangu mwenye hapa Posta mpya, soon ninafungua Radio na TV kwa kushirkiana na wawezekezaji, nipo bandarini na wawekezaji wengine kwenye ICD, jamani naomba kuuuliza walitaka nifanye nini hasa? hahahahahahaha hivi ni kweli Wabongo wote wenye m iaka 65 wana haya maendeleo?
- Halafu mind you kwamba nilipokuwa US nimelifanyia kazi shirika moja kwa miaka 25, so umri utakapofikia nina pensheni super sana toka kule sasa hawa wajinga wanacholilia sijaelewa hivi ni kweli wote , mnaoandika tunafanana maisha kweli? hahahahahaha
Le Mutuz
Ha ha Matola atakuja hapa na kurusha matusi mpaka atajuta!!!
Usitafute umaarufu kunuka kupitia ID yangu.
JF mtu anaheshimiwa kwa uwezo wa kujenga hoja na sio kukata viuno.
Kwa hiyo hapo ndo ulikuwa u naangalia usalama wa huyo msanii au?
Unafahamu Msando kaja lini Mjini?? dude yuko town tangu 90's..Licha ya mimi kukupinga ukija na hoja zisizo na msingi lakini kwa hili Msando bush lawyer anabugi na anauvamia mji kwa pupa sana na hata kimaadili ukimfikisha kwenye chama chao cha Tanganyika Law society sidhani kama Learned brothers watafurahishwa na kitendo cha huyu wakil wa Insta.
Cc: EMT
down town ipi?msifie kwa mingine!watoto wa mjini Tanganyika nzima tunajuana!....halafu jua watoto mjini hawajaja mjini bali wamezaliwa mjiniUnafahamu Msando kaja lini Mjini?? dude yuko town tangu 90's..
BTW Kuzaliwa Mjini dasalamu ni sifa?? Inaongeza nini katika Maisha?!
Kubwa jinga
- Hahahahahaahahhaa this is wasap U know hahahaha duh I am humbled na another thread kila siku average two threads Le Mutuz Nation thank you mamen umetisha U know!!
Le Mutuz
Uknw me mtu wa watu na Celebrity mkubwa
- Wiki hii nipo mbugani Serengeti kutalii katika mbuga zetu za wanyama badala ya kuwaachie wageni, so sijapata muda sana wa kuingia Social Media nimepitia kidogo tu hapa U know but leo namaliza and then nitaruka kurudi bongo then we can talk kama kawaida!!
Le Mutuz
Ikiwa thread ya kumsifia anakuja fasta sana
Huyu mtu anapenda sifa sijawahi ona