Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Atahamia kwa mkongo

Hiiiiii


 
Mpumzisheni huyu le mutu

Hahahahaha uknw waache wananchi wanaonipenda wanitetee uknw..
Uknw nimefanya utafiti nimegundua wananchi karibu Million 42 wananipenda sana!

Uknw supergadem mazafantaz wanao nichukia kwasababu ya lekopoz naomba wafe for me ....Uknw unajua wananchi wananipenda sana hadi najuta kukaa marekani miaka30.....
Hahahahahhaha i love it
 
nilikua sikupendi kweli but now nakufeel kinyama nyama babuuuiiuiiuuu!$!

Hahahahaha uknw am humbled ... unajua sasa nimeamini wananchi wengi wana niihitaji kabisa ..

Uknw wanao nichukia kwa sababu ya lekopozz wafwe for sababu sina muda na supergadem waswahiliz ....

Uknw lembebiz geniveros ntaongea na le Coca-cocalaz managerz akutengenezee na wewe lekopoz .....
hahahahahaha..!!!!
I like it
 
Last edited by a moderator:

hahahahaaaaaaaaa
ongea nao kwa kweli
ntashukuru sana
yani sasa hv le copozz ananifurahisha swaga zake kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaaaaaa
ongea nao kwa kweli
ntashukuru sana
yani sasa hv le copozz ananifurahisha swaga zake kwa kweli

Hahahahaha uknw mimi nimtanzania niliye ishi marekani kwa muda mrefu kuliko mtanzania yeyote uknw.

Uknw naijua Coca-cola kuliko mtanzania yeyote na nilijua wakitengeneza lekopoz lazima niwe mtanzania wa kwanza kupata.. supergadem waswahiliz wanaona wivu
Hahahahahaha i like it
 

hahahaaaaaaa aiseee hongera babuuuuu
 
Kuna siku...Utakuja uzi humu ukisema Hatimaye Le Mutuz aamua Kufungua Le Kanisa na kuwa Le mchungaji You know....
na kuwaamua kuwakaribisha Le madebe tupu...waende kutubu na kuwacha le mazambi yao u know....
hahah
 
ila ni kweli anakula kupitia fahamu zetu. sisi ndio waajiri wake. ila kula ya hivi nayo haojakaa sawa. unasibiri kutukanwa kwanza ndipo siku iingie. huyu hana tofauti na bondia. tokea leo nitamwita william, le bondia
 

Masaburi at work
 
ila ni kweli anakula kupitia fahamu zetu. sisi ndio waajiri wake. ila kula ya hivi nayo haojakaa sawa. unasibiri kutukanwa kwanza ndipo siku iingie. huyu hana tofauti na bondia. tokea leo nitamwita william, le bondia

Hahahahahah
Lebondiaz a.k.a lekopoz uknw am humbled
Hahahahaha
I love it
King of all bongo social media
 
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....

Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....

mkuu umetisha saaana...haaaaa
 
Hahahaa ila Kim unambana sana huyu babu yetu si vizuri kwa wajukuu kuwananga vibabu vyetu muwache tuuu

Jamani sasa nisipocheza na babu nicheze na nani...I like it, u know
 
Hahahah babu hashindwi kitu ujue...


Hahahaaa....babu kashindikana.

Halafu unaikumbuka ID moja ilikuwa Ina swagaaa, full kuponda mademu wa kibongo....
Basi nikunong'onezee "ile id ya babu, tena ina life ban"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…