Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....
Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....
Basi atakua hana akili timamu
- Hahahahahaahahhaa this is wasap U know hahahaha duh I am humbled na another thread kila siku average two threads Le Mutuz Nation thank you mamen umetisha U know!!
Le Mutuz
Kuna tangazo nililliona Lemutuz anatafuta wafanyakazi watano kwa ajili ya kufanya kazi kwenye blog yake. Ndo nyinyi mmeshapatikana tiyari???
Bila shaka we ni mmoja wapo wa wale vijana aliowaajiri.
huu ndio ukweli bhanaSawa babu
Umesikika
kila mtanzania hawezi kuwa kama mengi mkuu.Nilijua kuna deal kasaini kama ile ya kidoti kumbe maneno matupu kipi kipya alichofanya kwenye hii habari yako.
hahahahaaaaaaaaa
ongea nao kwa kweli
ntashukuru sana
yani sasa hv le copozz ananifurahisha swaga zake kwa kweli
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]It's official.
You are the King of JF Celebrity forum.
Without a thread talking about you a day is not complete.
Many people are obsessed with you and they don't even know it.
Hili jamaa aibu