Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Ben Saanane tunaomba kwanza utueleze Le Mutuz ni nani?

Jamiiforums is where we dare to talk openly!

Hili ni jukwaa wazi kwa maana kwamba tunaomba utupatie dokezo na sisi tusiomfahamu Le Mutuz ili tuweze kushiriki katika mjadala tukitumia fikra pana.
 
Last edited by a moderator:
ben sanane!jana nimekomet kwenye issue ya kufunga viatu nikasema

kwa umri wa w.j.malecela na mambo anayofanya ni mjinga na mpumbavu

nitaendelea kusimamia kauli hii daima
 
Kama JF ingekuwa na uwezo wa kutambua akili za JF members nafikiri wangekuomba samahani wewe JF hapana!!!!!
 
Ni kweli akija hapa badala ya kujibu hoja ataona hiyo ni credit.Sio kila aliyesajiliwa humu ni GT anyways!
Ben Saanane ungekuwa kweli GT ungemuacha huyo unayemtuhumu aje kujibu hoja yako. It seems unachuki naye ndio maana views zako ziko personal. Hivi whether he is a star or not inabadilisha query yako? Unaona... Grow up a bit... Unakichafua chadema na amateurish views zako. Chadema inaoneka ni chama chenye vijana ovyo.
 
Le mutuz ni mdananda hana maisha. Kawa kituko town.
 
Taarifa za uhalifu kwa vyombo vya dola mara nyingi zinatoka kwa raia wema. Napenda nigusie kitu kimoja, na kama kweli vyombo vyetu vya dola vinafanya kazi kwa weledi, basi walifuatilie hili swala kwa umakini.

Kuna mtu anayejiita Billionaire hapa mjini, na aliyekuwa mgombea Ubunge kule moshi kupitia CCM inabidi amulikwe vizuri. Kila mwezi, akisaidiwa na wapambe wake, mmoja anayejiita King of All Social Networks, LEMUTUZ uenda kule bandarini (kwenye meli) na kukaa karibia wiki nzima wakitoa Mafuta na kuyajaza kwenye malori . Mbaya zaidi LEMUTUZ anapiga picha na kuzitundika kwenye mitandao akijidai anakumbuka enzi zake za Ubaharia, hata kudiriki kuringa mitaani jinsi wanavyoiba mafuta.

Serikali iwafuatilie hawa self proclaimed mabillionaires. Je hizi mafuta wanazilipia kodi, na je wanazipata kwa mbinu gani? Sitaki kuongea mengi. Wananchi au raia wema wenye taarifa zaidi watazimwaga ummu jukwaani
 
Mbaya zaikai hutu jamaa LEMUTUZ, halipwi chochote cha maana zaidi ya vihela mbuzi za million mbili hapa na pale. Au kulepekwa kwenye mahoteli na kupiga picha....!
 
Kama ushahid upo basi wachukuliwe hatua kali na stahiki,
Ila zaidi ya hapo thread imekaa kimajungu sana.
 
Huyu jamaa alikuwa anakesha bandarini,Na kusifia wezi wanaomtuma,Tatizo naye ni mfu na wanaotakiwa kumwilika ni wafu.Mfu hamziki mfu mwenzie.
 
Hahahaha... Le-Mutuz ni mtu mdogo sana hapo bandarini... akijipiga selfie ni kwa ajili ya raha zake tu... lakini hana chochote... Kuna ma Godfarther pale wanaoendesha kila kitu kwa maneno tu...
 
mkuu tunakushukuru sana kwa uzalendo wako , MUNGU atakulinda dhidi ya vile vitu vyenye ncha kali .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…