Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Labda mkuu nikuulize swali, una uhakika gani kua aliyemtumia Mange ile message ni LeMutuz mwenyewe?
Mambo mengi yanatendeka mitandaoni siku hizi, hata kama chance ni ndogo ila there's still a possibility kua ni mtu tu na ile namba kaamua kujifanya LeMutuz, najaribu tu kuangalia pande zote mbili, unless una namba ya LeMutuz na umehakiki kua ile namba kweli ni ya kwake.

Na kama ni kweli basi jamaa hafai simply because yuko tayari kufanya kitu chochote regardless na how wrong it could be ili tu apige hela. Watu kama Dr.Year ni wabaya sana, hizi elimu za google kuzipeleka kwenye medicine ni hatari sana, wapo wengi kama yeye wamejaa mitaani inabidi serikali iwasafishe wote.
 
NullPointer,

Ndio maana nikataka aje hapa mkuu.

Ila kuhusu hilo angalizo lako kuwa kama ni kweli hafai hata kidogo,nimelichukulia kwa uzito.

Maana JF huwa ni home of great thinkers "Where we Dare to talk Openly".
 
Last edited by a moderator:
achana na mambo ya watu.

wewe jadili UKAWA yako na mafisadi wenu mliowakumbatia.
 
Wewe nae fanya yako bana. Kutwa kutaja taja majina ya wanaume wenzako. Sasa unataka mabinti wafanye nini? Unataka jamii ikueleweje wewe!? Au mwenzetu sio riziki nini?

Haya mmeanza.Kwani yeye kakutaja wewe? unamtetea kwa malipo gani?
 
Kwa akili zako zote umeona hapo nimetaja jina la mwanaume mwenzangu? Au unaona nimetetea kitu hapo!?

Ukiona mwanaume yupo mitandaoni kutwa anataja majina ya watu ujue tu anafumuliwa malinda yake. Kwa maneno mengine, anatangaza biashara yake ya Kikameruni humu JF.
 
achana na mambo ya watu.

wewe jadili UKAWA yako na mafisadi wenu mliowakumbatia.

Hakuna cha Mambo ya Watu.Afya za watanzania na pia consistence ya tunachokiamini ni jambo la msingi sana .Inashtua sana kiwango cha unafiki cha baadhi ya wana-JF wenzetu.

Ya UKAWA anzisha Thread yake tutakujibu,Tupo vizuri and proud!
 
Kwa akili zako zote umeona hapo nimetaja jina la mwanaume mwenzangu? Au unaona nimetetea kitu hapo!?

Ukiona mwanaume yupo mitandaoni kutwa anataja majina ya watu ujue tu anafumuliwa malinda yake. Kwa maneno mengine, anatangaza biashara yake ya Kikameruni humu JF.

Kitu kizuri ni kuwa amekupuuza na hajakujibu.Wewe ndio mtetezi wa wanaume wenzako?Hujui unasimamia nini.Unatia huruma
 
nawe umeishiwa kiasi hiki??..yaani umekaa umetafakari ukaona uje na huu utumbo wa kujadili watu?
 
Ben Saanane una post election mental disorder.kushindwa kupata tiketi ya kugombea ubunge pili chama chako kuambulia wabunge 39 baada ya maigizo yote ya kudeki barabara.
Ben Saanane unajadili watu badala ya issues.tena unakwapua mjadala instagram unaleta humu?
Ben umefulia kisiasa
 
Ben Saanane una post election mental disorder.kushindwa kupata tiketi ya kugombea ubunge pili chama chako kuambulia wabunge 39 baada ya maigizo yote ya kudeki barabara.
Ben Saanane unajadili watu badala ya issues.tena unakwapua mjada instagram unaleta humu?
Ben umefulia kisiasa

Ni ripoti ya Mwananchi.Soma vizuri.Huyu ni MwanaJF hatutaki unafiki na ubinafsi
 
Kitu kizuri ni kuwa amekupuuza na hajakujibu.Wewe ndio mtetezi wa wanaume wenzako?Hujui unasimamia nini.Unatia huruma

Unadhani mfumuliwa malinda ajausoma ukweli huo? Cha msingi sio kujibu...cha msingi the truth must be told...kutaja taja majina ya wanaume wenzako ni tabia za ushoga. Nimetimiza wajibu wangu kuusema ukweli huu.
 
Ni ripoti ya Mwananchi.Soma vizuri.Huyu ni MwanaJF hatutaki unafiki na ubinafsi

Nakubali,lakini wewe ushavuka huko.waachie kina mange,le mutuz anaweza akajaza kurasa tatu ndani ya nusu saa,je utaweza kubishana nae?
 
Unadhani mfumuliwa malinda ajausoma ukweli huo? Cha msingi sio kujibu...cha msingi the truth must be told...kutaja taja majina ya wanaume wenzako ni tabia za ushoga. Nimetimiza wajibu wangu kuusema ukweli huu.

Mbona hutaki kuja kwa ID yako kumjibu Ben.Kama we mwanaume kweli mvae dogo kwa ID yako halisi uone.
 
Wana ccm siku zote hutetea matumbo yao tuu

Wacha majungu wewe, mbona JPM ni chichiemu na hatetei tumbo lake tu? Huku mlikokaririshwa kwamba CCM ndio adui yenu kutawatokea puani.
 
Yani Le Mutuz anavyobehave na wasi wasi na jinsia yake.Ye anaishi mjini kwa kusifia wanaume wenzake tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom