Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Duuh kumbe watu mnakuwaga serious na Le Mutuz?! Basi endeleeni kumvumilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama leo shuleni kuna kitu nimekula tumbo limeuma,nimeambiwa na mwl nije nyumbani unipe "maziwa",naomba nitulie mamaaa,ili nitoe sumu...ila watu wasione...Huwezi kuwa litoto la kulelewa na mama wa kambo wewe loh!!!!!!!!! mtoto unavizia hadi man,dogo khaa!!!!!
Mama leo shuleni kuna kitu nimekula tumbo limeuma,nimeambiwa na mwl nije nyumbani unipe "maziwa",naomba nitulie mamaaa,ili nitoe sumu...ila watu wasione...
Please check pm nimekutumia attachment ya cheque,kabla hujatoa nijulishe nijue unaenda bank gani.Nimekutumia pia free voucher ya Nakumaat.Leo mzee hajaacha hela ya kula ivo usinisemeshe kabisa.
Hahahahaha!!!!!!!!!!!!!! Umenikumbusha LITTLE MAN
Please check pm nimekutumia attachment ya cheque,kabla hujatoa nijulishe nijue unaenda bank gani.Nimekutumia pia free voucher ya Nakumaat.
Katika maisha unaweza kumdhamini sana mtu alafu kumbe ni wale wale. Unaweza dhamini kitu ila kumbe kinaweza baada ya muda kikawa kinapoteza umaana kabisa.
Le mutuz ni kati ya vitu hivyo kwangu. Huyu bosi anablog yake ambayo kwa muda mrefu nimeitumia kupata taarifa zuri sana za nchi yakiwemo matukio yanayotokea punde.
Nilimpenda zaidi alipotua pale leaders club 15/07/2015 ambapo aliambatana na mkuu wa wilaya kuzungumzia swala la ajira ambapo alizungumza mambo ya msingi sana kwa taifa. Blog yake imekuwa kwa siku nyingi msaada kwangu katika kupata taarifa.
Kwa siku za hivi karibuni blog hiyo inaandika habari nyingi sana za siasa tena kwa kuelemea chama tawala na kuponda vyama vingine. Pia habari nyingine za matukio hazipo kabisa. Nimeendelea kuwa na kiu ya kupata habari nilizozizoea lakini nimekosa. Kiulweli sina namba yake ya simu ili nimpigie nimweleze haya.
Ndio maana nasema ukimwona le mutuz popote mwambie namuaga sitotumia tena blog yake.
- Yaani page moja na nusu tayari viewers 3,500 thanks guy ndio maana ya big Celebrity, nipo busy sana no time for this uchaguzi ukiisha tutaonana tena ila not now kwa herini guys!!
Le Mutuz