Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
kumbe kuacha watu wakutukane ni busara, na kuzuia watu wasiendelee kutukana ni kufilisika duuu
 
Le mutu-z kazi yake kubwa ni kusifia midume yenye pesa,hana busara hata kidogo,hata lugha anaxotumia si za busara,
 
Yaani hii ndio maada ya kuileta Jukwaa la siasa?? kuwa na adabu mpumbavu mkubwa na wenzako wote mnaomjadili Le mutuzi

mpaka unamuanzishia thread huyu mtu amekutawala na you are nobody! huna identity, huna address, haujiamini, uko inferior!

take it or leave it

unataka nikuongelee ww wakati hujulikani hata kwenye kijiji? unataka nifikiri sawa na ww? na watu wanamshangaa huyo coz ameji bland vizuri lkn blanding yake anaitumia ovyo tofaut na image ya familia yake. kimsingi ukikosa challenge nakutoruhusu watu waku criticize your dead minded. ww ndio kakutawala na ndio maana hum challenge na boss wako.

usitukane tumia heshima na heshimu watu huwez kuona kura yako moja ya mawazo imeharibika ?huoni ww pekee ndio super grand mbuluurazz wa kubuluzwa ? pekee ako ndio tatzo na hujaona tatzo

#rethink
 
Na wewe bwana. Kwani una miaka mingapi mwenzetu? Le Mutuz ni sawa na wasanii wa bongo muvi, wanapenda scandals ili tu wawe followed na kwa bahati mbaya watanzania wengi wanapenda watu dizaini ya Le Mutuz ili wajipotezee muda.

umri is not an issue kaka tatzo ya jamaa ni alijitengeneza na wengi tulimuona kwenye tv mboni show na baadae kwenye tanuru la fikra fb. na ndiko huko watu tuka mfollow lkn hapendi kupata mawazo tofauti na yake.

nadhani hicho ndio kitu cha msingi.
 
Le super akili kubwazz

Maza fanta gademu super mbululazz mmanidiscus

Mimi nipo zangu le msasani club with my super number one fan batazz gademu mbululaz endeleeni kunisema super akili kubwazz asubuhi nina kikao na super billionea davis mosha in my office downtown

Am humbled you know

Le Mutuz

hivi ni wewe kubwa jinga? naona minato yako ..
 
Kaka ongea kwa facts ndugu ukikuta anasema hvyo ujue kitu anajaribu kukufafanulia vizuri hawezi from no where akaanza kujisifu sema kwa vile na we ni mbongo sishangai lakini mm huwa sioni kosa lake anakublock coz wabongo wengi hatuwezi bishana bila kuingizia matusi ndo maana Ana kublock coz hujaakuita kwa page ake afu unafika unaanza kutukana

Wewe mbishi sana yaani watu wote walio coment wamemlalamikia wewe tu dah kuna kitu!
 
sasa we we unafikiri le mutuz unafikiri kuna kitu kwenye le ubongoz wake zaidi ya le bebez
 
Watu bwana, since when people take Le Mutuz seriously? The guy is almost 60 lakini ana akili za kisela wa kijiweni wa miaka 14, go figure. Ila pole sana kwa kupoteza muda wako kusoma habari zake.
 
Wakuu za mida tena,

Nimekuwa nikifutilia mijada mbali mbali kila kukucha kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mstakabali wa nchi yetu.ila kwa nataka leo nami niongelee busara za huyu jamaa anae jiita king of all social media LEMUTUZ nation.

Lemutuz nation maarufu kwa ku post picha za kujisifu na mabebez amekuwa akijiita mchambuzi wa siasa na kuuaminisha uma yeye ana fact na kupenda sana kusema yeye mawazo yake ndio uchunguzi na final say kwa kila jambo na sio opinions (mtazamo wake).

Lemutuz (William Malecella) mara kadhaa hujisifu na kubeza watu wengine alikuwa team membe mwanzon baadae akashindwa akakubali matokeo baada ya magufuri kushinda.

Leo natamani watu wajue busara zake humu ziko wapi?Na naona anazidiwa na mwigizaji wema sepetu kwa kile tunaita political tolerance maana yeye hapendi umpinge hoja yake aliyo weka instagram ukimpinga tu au ukitoa maoni yakuto mwambia unaakili kubwa ana kublock.

Mfano alitupia wiki iliyo pita kuhusu kushauli CHADEMA kuwa watanzania walitegemea ukombozi kutoka CHADEMA na watanzania waliamini sana CHADEMA kwa mabadiliko lakini wamemkaribisha lowassa wamewakosea watanzania.

Nikamjibu toka lini wewe Lemtuz ukawa mshauri wa CDM wakati tunajua wewe ni CCM damu kwanini unalialia wakati CCM hamtaki Lowassa hvyo tu et kaniblock.

Wadau je huyu hazidiwi uvumilivu na Wema Sepetu ambae kila sku anapigwa na kutukanwa na hamblock mtu?

Mkuu hakuna mtu pale, achana na mtu asiyependa kukosolewa.
 
Katika maisha unaweza kumdhamini sana mtu alafu kumbe ni wale wale. Unaweza dhamini kitu ila kumbe kinaweza baada ya muda kikawa kinapoteza umaana kabisa.

Le mutuz ni kati ya vitu hivyo kwangu. Huyu bosi anablog yake ambayo kwa muda mrefu nimeitumia kupata taarifa zuri sana za nchi yakiwemo matukio yanayotokea punde.

Nilimpenda zaidi alipotua pale leaders club 15/07/2015 ambapo aliambatana na mkuu wa wilaya kuzungumzia swala la ajira ambapo alizungumza mambo ya msingi sana kwa taifa. Blog yake imekuwa kwa siku nyingi msaada kwangu katika kupata taarifa.

Kwa siku za hivi karibuni blog hiyo inaandika habari nyingi sana za siasa tena kwa kuelemea chama tawala na kuponda vyama vingine. Pia habari nyingine za matukio hazipo kabisa. Nimeendelea kuwa na kiu ya kupata habari nilizozizoea lakini nimekosa. Kiulweli sina namba yake ya simu ili nimpigie nimweleze haya.

Ndio maana nasema ukimwona le mutuz popote mwambie namuaga sitotumia tena blog yake.
 
Ulienda kuchua taarifa gani mkuu huko kuna blog nyingi zenye taarifa za uhakika.......
 
Jamani kama amelipwa na CCM afanye nini sasa?
Na mpunga uko nje nje....
 
Mwenzio anaangalia wap kuna mvuto, si mambo ya upumbavu na ulofa, eti kupanda daladala nayo iwe dili, nilikuwa sihijui blog yake, nijuze nichukue nafac yako
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom