Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
We mwanaume inaonekana mbea sana wewe...kwanini unapenda habari za matukio? Shigongo anakuhusu zaidi
 
Rahatupublog ndio kiboko yao......kule blogger anunuliwi katulia tu nyie mnampa mavitu....njoo kwa viewers per day utachoka wewe
 
Le mutuzi tunampaga maujiko sana,sidhan kama anapaswa hata kujadiliwa humu ndani
 
Baba yake alikatwa na CCM,Warioba alipigwa na kutukanwa na wana CCM lakini mpaka leo bado anajipendekeza kwao !!!
 
Honestly nimewahi kutembelea blog ya Le Mutuz mara moja tu katika maisha yangu.
Nilichokikuta huko ni sifa na picha zake za bata tu, sasa nashangaa kusikia kuna watu ambao huwa wanafuata habari kwenye blog yake!
 
Mwanangu unanitafutaje???? Si umuulize baba ako ndio anataarifa zangu,

Sema unasemaje then kalale kesho shule.
Sasa mama nitasemaje si tuingie Ndani tuu?Au unaniogopa? Fungua huko kwako nije,nimegonga sana hufungui,Shule nimerudishwa Ada nadaiwa na mwl Nyeri ananidai Ubuyu wake alitukopesha...sasa Nifungulie ndani nikuelezeee Vizuri...Pm zangu hujibu Mbona?
 
Huwezi kuwa litoto la kulelewa na mama wa kambo wewe loh!!!!!!!!! mtoto unavizia hadi man,dogo khaa!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom