Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamana lemutuz anamadini sana kiasi hiki,japo anahusishwa na pumba nyingi ila bado fans wake wamemganda wakusubiria mpaka awablock..kweli lemutuz damdam na milele..Lemutuz kablock watu wengi..tatizo anapenda mtu wa kumsifia na hapendi umpe criticize...lemutuz ni mtu flani ambaye ana mtindio wa ubungo..na huwa hana msimamo..mwanzo alikuwa namkubali lowasa..badaaye ya majina ma5 kutoka akawa anamkubali membe..baada ya membe akarudi kwa magufuli..ni mtu flani wa kukurupuka..nashangaa hata wanao mfollow...maana hana habari zaidi ya kubaka habari ambazo huwa nyingi zake zina kuwa unconfirmed..hapo ndipo huwa anapenda asifiwe..tofauti na hivyo anakublock..je huyu ana akili-lemutuz..babu anayekua huku akili yake ikizidiwa na mtoto wa std7
itakuwa ww n mwanamke ane kupa kick kwenye page yake maana lemutuz hajielew utakuta anajisifia degree na wanawake wakati watu wana elimu kubwa kumzid na wako kimya
Kaka ongea kwa facts ndugu ukikuta anasema hvyo ujue kitu anajaribu kukufafanulia vizuri hawezi from no where akaanza kujisifu sema kwa vile na we ni mbongo sishangai lakini mm huwa sioni kosa lake anakublock coz wabongo wengi hatuwezi bishana bila kuingizia matusi ndo maana Ana kublock coz hujaakuita kwa page ake afu unafika unaanza kutukana
Inamana lemutuz anamadini sana kiasi hiki,japo anahusishwa na pumba nyingi ila bado fans wake wamemganda wakusubiria mpaka awablock..kweli lemutuz damdam na milele..
Mzee wa degree 3,alieosha macho nje for more than 30yrs,Ana ofisi downtown,ana marafiki wenye utajiri wa ajabu,mzee wa lembebez
NB:in short jamaa hajielewi katika umri wake huo wa late 50's hatakiwi kua anafanya mambo kama hayo ya vitoto vi teenagers ,mayb aliruka stage!!!