Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Nikimbuka madongo matusi na zile kashfa walizokuwa wanatupiana humu ndani
 

Attachments

  • 1431205541055.jpg
    1431205541055.jpg
    37.2 KB · Views: 1,174
Walijitangaza na wakajulikana...na pesa waliendelea kuingiza kwa sana. Maisha kumkichwa now hao wanasalimu wakiwa pamoja...maisha hayo
 
Hapo akienda chuga lazima apige picha kwenye zile ndinga za lawyer!!

"With super friend,the lawyer and billionaire live!!

Am humbled gademu!;
 
Kama wamejitambua na kuziondosha tofauti zao big up to them!haipendezi watu kuwa na beef miaka nenda miaka rudi pongezi kwao
 
Ile show msando alimbwaga le Mtuz alimpeleka mtu mzima yuzi mia mpaka nikamwonea huruma
Ile picha ya Mutz na watoto wa shule mpaka leo nikikumbuka mbavu sina
Hata hivyo walichofanya ni busara nawaunga mkono.
 
Super Mogul Bilionea Le Mutuz Nation na Super Lawyer Msomi Msando,You Know I'm Humbled Ha ha ha.
Im_Humbled_LeMutuz_Msando.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom