AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
😘😘😘mwaaaaaaaaaaahhhhhhhhh
Haaaa weeweeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😘😘😘mwaaaaaaaaaaahhhhhhhhh
Haaaa weeweeeeeee
alikua analilia nini??mmh mbn kama alikua na hasira?Alikua analia daimond akata kumfuta machozi sasa zari akaona akifutwa machozi make up itafutika ndio maana akakata!sasa timu ushuzii wameitafsiriii vinginee
alikua analilia nini??mmh mbn kama alikua na hasira?
Well,
Sasa tunasubiri Le Mutuz Black Party...
aaah pwanya road wakasema eti dai kamtaja wema ndo maana zari akaliaAlilia hakuamini kama watu watajaa sana yaan ulikua mshawasha flan amaizing, hakun akitu kama hicho
zingifuri zipo nyingi na zina private waongelea ipi??ingia kwenye account ya zingifuri instagram ukajionee videos za Mr na Mrs Chibu za party ya Zari na walipoimba wifi wifi...nietoka kuziangaliahadi sasa acc ipo public, hakuna haja ya kutuma request
Jamaa walijipanda sana..pig up kwao...ila ilo la bil 1.8 ni uongo ulio wazi...tale alisema tiketi za milioni 3 zilikuwa 10 na million 1 zilikuwa 12 na ziliisha kitambo..hakuna hesabu itakayoleta kiwango hiko cha pesa...labda waintroduce kanuni nyingine za kujumlisha na kuzidisha ndo tupate hiyo bilion 1.8
- Watu Millioni Moja walijaribu kuingia kwa kutumia online means ya Shillingi 3,000 kati yao Laki Tano walifanikiwa now 500,000 x 3,000 =?
Le Mutuz
Ila watanzania tuacheni unafki na kuwa wakweli wa nafsi. Ingetokea mtanzania kaandaa party ya aina hiyo, wangapi wangeenda? Mtu km Wema au Wolper wangeandaa mngeenda au mngeishia kuwapa majina mabaya? Mngewaita malaya na majina mengine mengi mabaya. Mfano mzuri Wema amekuwa anaandaa hizo party lakini hakuna hata mtu mmoja anaeenda sana sana mnaishia kumwita vigodoro, mara anapenda party mara ha act km mwanamke. Kuna muda alipanda jukwaani kumsaidia Diamond kucheza kwa kuwa alikatika viuno, Tanzania nzima mlimuandama, haki ipo wapi hapo? Mm naona watanzania bado washamba na wambea, wengi wameenda kwa kuwa Zari sio Mtanzania ili wapate kumuona, wengine km kumkomoa Wema ili kumuonyesha yy si mali kitu. Na ikumbukwe kuwa Zari anaandaa aina hiyo ya party kwao na hajawahi kupata hiyo response kwao, kwa kuwa anajua watanzania hawajielewi na hawathamini vya kwao. Km watu kujitahidi kimawazo basi tulitakiwa tumpongeze Madam Rita kwa kusaidia vipaji na Bongo star search kwani anasaidia watoto wetu, na wazazi walitakiwa wahudhurie kwa wingi kumpa support. Angalieni nchi za wenzenu walivyo wazalendo.Je, ni wazazi wangapi wameenda kumpa support au nyinyi jamii forum mlishawahi kuandika chochote kuhusu yy kuonyesha mnathamini mchango wa bongo star search. Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani
Mkuu ticket za million 3 zilikuwa sita na za milioni 1 zilikuwa 10 tu... Chibu kapiga pesa hatukatai ila haiwezi fika 1.8 b nasisitiza haiwezi fika hiyo pesa
Mkuu mimi nakubaliana na wewe kwamba watanzania tunapenda sana vya nje na kuacha vya kwetu kwa hapo tuko pamoja.
Ila napingana na wewe kusema kwamba watu wengi walikwenda pale kumona Zari kwa mtazamo wangu si kweli kabisa, wengi walioenda pale walienda kwa kivutio cha Diamond na mastaa wengine wa kibongo waliohudhuria.
Sawa show iliandaliwa kwa jina la Zari, na ni kweli inawezekana mnufaikaji mkuu akawa ni Zari. Lakini ukweli huo isiwe kigezo cha kumpa credit kiasi hicho mganda kua yeye ndo alikua kivutio kikuu na kumsahau diamond na mastaa wengine wa kitanzania.
Leo rudi kamuulize mtu aliyehudhuria akwambie katika party ile alivutiwa na nini, naamini wengi watakwambia "nilivutiwa na show ya diamond,yamoto band, weusi na mastaa wengine wa kibongo"
Kuthibitisha embu assume, Zari angekua sio mpenzi wa Diamond na angeandaa party yake hii hapa bongo unadhani ingejaza vile?
Zali hajaanza leo kuandaa hiyo party yake, kipindi cha nyuma mbona alikua haji kuandaa hiyo party yake bongo?
Ila watanzania tuacheni unafki na kuwa wakweli wa nafsi. Ingetokea mtanzania kaandaa party ya aina hiyo, wangapi wangeenda? Mtu km Wema au Wolper wangeandaa mngeenda au mngeishia kuwapa majina mabaya? Mngewaita malaya na majina mengine mengi mabaya. Mfano mzuri Wema amekuwa anaandaa hizo party lakini hakuna hata mtu mmoja anaeenda sana sana mnaishia kumwita vigodoro, mara anapenda party mara ha act km mwanamke. Kuna muda alipanda jukwaani kumsaidia Diamond kucheza kwa kuwa alikatika viuno, Tanzania nzima mlimuandama, haki ipo wapi hapo? Mm naona watanzania bado washamba na wambea, wengi wameenda kwa kuwa Zari sio Mtanzania ili wapate kumuona, wengine km kumkomoa Wema ili kumuonyesha yy si mali kitu. Na ikumbukwe kuwa Zari anaandaa aina hiyo ya party kwao na hajawahi kupata hiyo response kwao, kwa kuwa anajua watanzania hawajielewi na hawathamini vya kwao. Km watu kujitahidi kimawazo basi tulitakiwa tumpongeze Madam Rita kwa kusaidia vipaji na Bongo star search kwani anasaidia watoto wetu, na wazazi walitakiwa wahudhurie kwa wingi kumpa support. Angalieni nchi za wenzenu walivyo wazalendo.Je, ni wazazi wangapi wameenda kumpa support au nyinyi jamii forum mlishawahi kuandika chochote kuhusu yy kuonyesha mnathamini mchango wa bongo star search. Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani
Point sio kupendwa au kutopendwa, watanzania ni malimbukeni. Diamond ana perform kila kikichwa bongo na hajawahi kupata hiyo response,sana sana anaambulia kuzomewa. Kilichokuwepo hapa ni ushabiki wa kuinyesha nani zaidi ya Wema na Zari, watanzania watu wa wivu na malimbukeni. Mfano mzuri ni Mwisho Mwampamba ametoka big brother the same year with Abi yule msouth, lakini Abi ameshikwa na watanzania km nyota ya jaha hadi amekuwa tajiri bongo, ana business za maana, anapewa ulaji kwenye events kibao masikini si Mwisho wala yule Richard anayethaminiwa Bongo. Yani ni aibu kwa kukumbatia wageni. Mifano ipo mingi mno, Mtanzania anaweza akawa more qualified kuliko hao ambao su watanzania lakini hawapewi chances, kwa nini? Jibu ni ilbukeni na kukosa fikra. Hutoeenda nchi yoyote ukute wanathamini wageni over watu wao. Ni wakati now wa kuamkuka na kuacha ushabiki
alikua analilia nini??mmh mbn kama alikua na hasira?
hata mi nliona kama shushu mmh mambo ya kushushuana mbele ya kadamnasi nsivopenda mieWanadai mademu walikua wanamshobokea domo na kupiga picha ata kama ni makeup kutoka mi sikupenda ile reaction yake kama ya kumshushua flani hivi.
hata mi nliona kama shushu mmh mambo ya kushushuana mbele ya kadamnasi nsivopenda mie
Mwenzangu yani lile shushu la haja aibu uso sijui unaificha wapi. Dai naye aache utoto yani taulo unajifutia jasho unataka kumfutia tena mwenzako hai make sense halafu angesoma alama za nyakati bibie mjamzito sometimes anakua mood less ndo yanatokea hayo kushushuka hadharani.