Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa Redio Mbao,;

RIPORT YA ZARI ALL WHITE PARTY
Tiket za elfu hamsini zimenunuliwa 1200
1200×50,000/-

Za laki moja zimeuzwa 700
700×100,000/-

Za milioni moja zimeuzwa 300
300×1,000,000/-

Za milioni tatu zimeuzwa 200
200×3,000,000/-

Walionunua code za online ni zaidi ya laki mbili
3000×200,000
Jumla wamehudhulia watu zaid ya 3000 na complimentary zilitolewa 750
JUMLA
ZARI ALL WHITE PARTY IMEINGIZA
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA NANE
Hii ni rough figure
1,800,000,000 per nite 🙆
 
Point sio kupendwa au kutopendwa, watanzania ni malimbukeni. Diamond ana perform kila kikichwa bongo na hajawahi kupata hiyo response,sana sana anaambulia kuzomewa. Kilichokuwepo hapa ni ushabiki wa kuinyesha nani zaidi ya Wema na Zari, watanzania watu wa wivu na malimbukeni. Mfano mzuri ni Mwisho Mwampamba ametoka big brother the same year with Abi yule msouth, lakini Abi ameshikwa na watanzania km nyota ya jaha hadi amekuwa tajiri bongo, ana business za maana, anapewa ulaji kwenye events kibao masikini si Mwisho wala yule Richard anayethaminiwa Bongo. Yani ni aibu kwa kukumbatia wageni. Mifano ipo mingi mno, Mtanzania anaweza akawa more qualified kuliko hao ambao su watanzania lakini hawapewi chances, kwa nini? Jibu ni ilbukeni na kukosa fikra. Hutoeenda nchi yoyote ukute wanathamini wageni over watu wao. Ni wakati now wa kuamkuka na kuacha ushabiki
unanikumbusha yale ya akina Jaja ...akina msuva, tegete , ngasa wakaonekana malafa tuu
 
Mawazo mufilisi kama haya ndio yanasababisha wa south africa wana waua wageni

Make yourself a brand and make money

Ni upuuzi kutaka Kajaka au Wema au yeyote aandae tu party na watu wajae kwasababu tu ni Mtanzania

Diamond amefanya show ngapi za pesa ndefu na tiketi zikiisha?
Leo Diamond akisema anaenda Manzese kutembelea wafanya biashara watu watajaa na biashara hazitafanyika
Lakini baba levo au Tundaman akifanya hivyo no body care...... Why?......... Make yourself a brand and make money

Diamond ni brand, Zari ni brandy na uhusiano wao ni another brand........ So they make money

Mwisho Mwambambwa is a loser how failed to make himself a brand usiwalalamikie waTz kwa hilo
Kama huwezi kujiuza utamlaunu nani? Unataka ununuliwe tu sababu wewe ni Mtz? Nope
Abi ni mjanja na anajua kujiuza

Watz kuwa qualified una maana gani? Vyeti au uwahibikaji
Wanachotuzidi wageni wengi ni uwajibikaji na si vyeti vyetu
Mtz ukimuajiri utajuta kila mwezi anaomba ruhusa mara mia, yaani ni full excuses

good analysis
 
kwaupande wangu mimi naona hivi, awe amepata hiyo pesa au lah! cha kufurahisha ni kwamba diamond kajaribu kitu cha tofauti na muitikio wa watu umekuwa mkubwa sana licha ya kwamba kuna team mbili kubwa na zenye nguvu wanafanya kila liwezekanalo kumrudisha nyuma, binafsi mimi nimefarijika sana.
 
Hivi Billion 1.8 wanaijua hawa watu ??? Labda waniambie ni gross revenues.
 
Mkuu mimi nakubaliana na wewe kwamba watanzania tunapenda sana vya nje na kuacha vya kwetu kwa hapo tuko pamoja.

Ila napingana na wewe kusema kwamba watu wengi walikwenda pale kumona Zari kwa mtazamo wangu si kweli kabisa, wengi walioenda pale walienda kwa kivutio cha Diamond na mastaa wengine wa kibongo waliohudhuria.

Sawa show iliandaliwa kwa jina la Zari, na ni kweli inawezekana mnufaikaji mkuu akawa ni Zari. Lakini ukweli huo isiwe kigezo cha kumpa credit kiasi hicho mganda kua yeye ndo alikua kivutio kikuu na kumsahau diamond na mastaa wengine wa kitanzania.

Leo rudi kamuulize mtu aliyehudhuria akwambie katika party ile alivutiwa na nini, naamini wengi watakwambia "nilivutiwa na show ya diamond,yamoto band, weusi na mastaa wengine wa kibongo"

Kuthibitisha embu assume, Zari angekua sio mpenzi wa Diamond na angeandaa party yake hii hapa bongo unadhani ingejaza vile?
Zali hajaanza leo kuandaa hiyo party yake, kipindi cha nyuma mbona alikua haji kuandaa hiyo party yake bongo?

Kama umesoma finance at masters level topic ya Mergers and Acquisitions.....utaelewa ki undani kwann Zari yupo karibu na diamond na influence ya mastaa wengine kwenye ile party nd why it was a success, hamna uchawi wowote akili tu.

Umeeleza vizuri na kimantiki sanaa ila not in a formal way. Pia utakubaliana na mm kwann Tz ni shamba la bibi and that akili ndogo tu yaweza hamisha milima.
 
Umenena mkuu!
 
Ila watanzania tuacheni unafki na kuwa wakweli wa nafsi. Ingetokea mtanzania kaandaa party ya aina hiyo, wangapi wangeenda? Mtu km Wema au Wolper wangeandaa mngeenda au mngeishia kuwapa majina mabaya? Mngewaita malaya na majina mengine mengi mabaya. Mfano mzuri Wema amekuwa anaandaa hizo party lakini hakuna hata mtu mmoja anaeenda sana sana mnaishia kumwita vigodoro, mara anapenda party mara ha act km mwanamke. Kuna muda alipanda jukwaani kumsaidia Diamond kucheza kwa kuwa alikatika viuno, Tanzania nzima mlimuandama, haki ipo wapi hapo? Mm naona watanzania bado washamba na wambea, wengi wameenda kwa kuwa Zari sio Mtanzania ili wapate kumuona, wengine km kumkomoa Wema ili kumuonyesha yy si mali kitu. Na ikumbukwe kuwa Zari anaandaa aina hiyo ya party kwao na hajawahi kupata hiyo response kwao, kwa kuwa anajua watanzania hawajielewi na hawathamini vya kwao. Km watu kujitahidi kimawazo basi tulitakiwa tumpongeze Madam Rita kwa kusaidia vipaji na Bongo star search kwani anasaidia watoto wetu, na wazazi walitakiwa wahudhurie kwa wingi kumpa support. Angalieni nchi za wenzenu walivyo wazalendo.Je, ni wazazi wangapi wameenda kumpa support au nyinyi jamii forum mlishawahi kuandika chochote kuhusu yy kuonyesha mnathamini mchango wa bongo star search. Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani

Umeuliza ujinga mtupu...! Tunawachangia hawana shukrani kazi kututuc kwenye hizo media uswazi na social networks...." Majigambo na hawajui kufanya socia charitable km kuwajali wasiojiweza kazi kuwalipia dhamana wauza madawa ya kulevya... Wakafie mbali.
 
Umenena mkuu!

Ndio maana watu wanapigiwa kelele kila siku tafuteni maarifa na elimu kwa nguvu zote na utaona ni namna gani rahisi kuua tembo kwa ubua hapa bongo, hata kama mtu hujasoma kivile acquire finance and marketing advice kwa wasomi to ur advantage utajikuta hata kufikiri kwako kuna change. Ndio maana unakuta mchagga wa la darasa la saba anawaza kama Mengi unajiuliza anajuaje its cz ana hire wasomi wamshauri then anachanganya na akili zake.

Uki google material yapo kibao buree ni jinsi gani ya ku market and play in this show biz ila watu hawasomi wanajua ukawa, katiba mpya na udaku udaku only.....wanabaki kuuza sura insta na facebook. Wanaomiliki hiyo mitandao ya kijamii wanavuna ma billion ya dollar kila mwaka sabab ya ujinga na upumbavu wa wengi.
Zari ame merge na Diamond kuteka soko la entertainment East Africa...na watatusua sanaaa....Yule dada ana washauri wazuri.
 
Ile couple ya kibiashara ina nyota ya pesa party ilipendeza nlivoona kwa picha na pesa imeingia kazi ya kujua kias gani waneingiza achieni team wema....kuna clip nmeona kama vle zari kammind dai pale stejini akakataa hata kufutwa jasho nini kilitokea? au hasira mimba???

Alikua analia daimond akata kumfuta machozi sasa zari akaona akifutwa machozi make up itafutika ndio maana akakata!sasa timu ushuzii wameitafsiriii vinginee
 
shikamoo dada
ukweli ni kwamba zari katuzidi maakili
nakumbuka dai aliandaa diamond forever peke ako na nyomi alipata
hizi zingine ni porojo tu za kujifariji wangapi wadada wabongo wamejaribu labda wakakosa support...
Mtu mzima km mimi huwezi nilipeleka kwa viteeneja au wanachuo utegemee nije eti kukusapoti
never....nshaenda bills kipindi niko shule
nahitaji event km ile kwa umri huu

tatizo wadada wabongo si wabunifu,na hatujifunzi ht kidogo

eti superstaa anaenda kwenye arobini ya kutoa mtoto nje na dira la elf sita

mxiiiuuiiii....
Utegemee nikusapoti ...!!!mavi yake..!!!
Na ntakudiss tu
hebu fanya km jana alivyofanya tuone km hutosapotiwa
tubadilike jamani tusikalie lawama tuuuu

Well 👍👍👍
 
Ila watanzania tuacheni unafki na kuwa wakweli wa nafsi. Ingetokea mtanzania kaandaa party ya aina hiyo, wangapi wangeenda? Mtu km Wema au Wolper wangeandaa mngeenda au mngeishia kuwapa majina mabaya? Mngewaita malaya na majina mengine mengi mabaya. Mfano mzuri Wema amekuwa anaandaa hizo party lakini hakuna hata mtu mmoja anaeenda sana sana mnaishia kumwita vigodoro, mara anapenda party mara ha act km mwanamke. Kuna muda alipanda jukwaani kumsaidia Diamond kucheza kwa kuwa alikatika viuno, Tanzania nzima mlimuandama, haki ipo wapi hapo? Mm naona watanzania bado washamba na wambea, wengi wameenda kwa kuwa Zari sio Mtanzania ili wapate kumuona, wengine km kumkomoa Wema ili kumuonyesha yy si mali kitu. Na ikumbukwe kuwa Zari anaandaa aina hiyo ya party kwao na hajawahi kupata hiyo response kwao, kwa kuwa anajua watanzania hawajielewi na hawathamini vya kwao. Km watu kujitahidi kimawazo basi tulitakiwa tumpongeze Madam Rita kwa kusaidia vipaji na Bongo star search kwani anasaidia watoto wetu, na wazazi walitakiwa wahudhurie kwa wingi kumpa support. Angalieni nchi za wenzenu walivyo wazalendo.Je, ni wazazi wangapi wameenda kumpa support au nyinyi jamii forum mlishawahi kuandika chochote kuhusu yy kuonyesha mnathamini mchango wa bongo star search. Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani

well said Mkuu, Umeongea Pointi hadi nimeogopa, Tanzania ni zaidi uijuavyo..
 
Hivi hile party inayofanyikaga bongo pale mlimani city inayoitwa Hollywood fresh mbona haiongelewagi.
 
Umeuliza ujinga mtupu...! Tunawachangia hawana shukrani kazi kututuc kwenye hizo media uswazi na social networks...." Majigambo na hawajui kufanya socia charitable km kuwajali wasiojiweza kazi kuwalipia dhamana wauza madawa ya kulevya... Wakafie mbali.

Kazi kweli
 
Jamani twendeni mbele turudi na nyuma, kama kweli code zimeuzwa zaidi ya 200,000
Basi tukifanya 200,000*3000 tunapata 600,000,000/=
Mauzo ya jumla ya tiketi yakifika 600,000,000 nyingine tayari kabilioni hapo
Ukijumlisha na wadhamini

Tukumbuke pesa hii ni jumla ya mapato tu bila kutoa matumizi

Najaribu kufikiria na sitaona ajabu kama itakua imefika huko
 
jamani twendeni mbele turudi na nyuma, kama kweli code zimeuzwa zaidi ya 200,000
basi tukifanya 200,000*3000 tunapata 600,000,000/=
mauzo ya jumla ya tiketi yakifika 600,000,000 nyingine tayari kabilioni hapo
ukijumlisha na wadhamini

tukumbuke pesa hii ni jumla ya mapato tu bila kutoa matumizi

najaribu kufikiria na sitaona ajabu kama itakua imefika huko

ukisikia zari ameambulia millioni mia moja usishangae show ilisimamiwa na wazee wa fursa wakiongozwa na ruge.
 
Hebu tukisie unavyodhani wewe,meza sawa na mil30, ambayo ni sawa na watu 80 kwani kla meza inasemekana walikuwa watu 8,mle ndani inadaiwa walikuwa elf 3 tutoe watu 150,nikimaanisha 20 ni dai,zari na wasafi team na ndugu na jamaa,halafu 50 labda complimentary,2850 watu waliolipa viingilio,let say 2000 wamelipa 100000, moja,na waliobaki elfu hamsn inaweza kufika hyo hela na mitandao ya kijamii na cm kuliko kubisha,tujifunze kukamata fursa,

Mkuu hesabu zako ulisomea wapi? Kwa hesabu ulizotoa hapo juu hata 500,000,000 hazifiki achilia mbali 1.8B
 
Alikua analia daimond akata kumfuta machozi sasa zari akaona akifutwa machozi make up itafutika ndio maana akakata!sasa timu ushuzii wameitafsiriii vinginee
Dinazarde....that is exactly what happened. Yaani if you are wearing make up utafutwaje jasho au machozi na mtaulo? Diamond obviously being a man he didnt know that. But hao team Wema wamebuni hadithi yao kwamba eti Zari alikua amemnunia Diamond. :becky: Talk about wishful thinking. Hivi wangejua hata kama Diamond ataachana na Zari sasa hivi kuna possibility kubwa sana he will not get back together with Wema. Especially now that he knows yeye na Zari are a big brand.
Hao akina Dougiemasta wange tafuta viti wakae chini tu, and watch Diamond work hard at his career and his relationship.

Halafu hao watu wanaomsema Zari eti ni mbaya na sio mzuri kama Wema. Hahahaha stupid and small minded. Ok, hata kama Wema ni mzuri kushinda Zari, so what? Diamond loves Zari. How many men actually marry or settle down with a woman based only on the woman's facial beauty? It has to be beauty and brains, and we all know which one Wema lacks.
 
Last edited by a moderator:

😘😘😘mwaaaaaaaaaaahhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom