Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Zari unaambiwa ana wivu.Hiyo siku alivyoona wadada wa tz walivyo warembo akawa amenuna hata kupiga nao picha hataki.
Sasa ule ni muendelezo wa mood aliyokuwa nayo pia si unajua mambo ya mimba tena? Na hivi nasikia ni mtoto wa kike hatariiii...

Lazima awe nao aisee hasa mbele ya watoto wazuri wakali wivu hukwepeki.
Na mtu akiwa na ujauzito wa mtoto wa kike in nature huwa hapatani na wanawake kabisa sijui kwanini, na hao waliokua wanataka picha naye ni kumchosha tu bure na mimba yake bora aliwakomesha wabongo wasione kichaka basi ni shiiider.
 
Your Argument is very wrong..

Kwahiyo wewe msimamo wako uko wapi?? Kwamba watu wasiende kwenye party za Diamond na Zari ila waenda kwa Madam Rita na party za kina Wema na Wolper?? Una uhakika gani Madam Rita hapewi support na Watanzania?? Unafikiri kile kipindi BSS kinajiendeshaje??
Kusingekuwa na viewers unadhani kingepata wadhamini?? Hao viewers ni Waganda?? Au wewe unataka support ya aina gani labda?? Tutembeze bakuli kumchangia Madam?? Si ana wadhamini ambao wanatangaza bidhaa na huduma zao kwenye kipindi na sisi kama watazamaji ndio tunampa nguvu..

Tukirudi hapo kwa Wema na Wolper, jijengee heshima, fanya kazi kwa bidii na kuwa mbunifu kila kitu kitaenda kama unavyotaka.. wachana na party, hata mazishi yetu yanatofautiana sana, kuna watu wanazikwa na maelfu na wengine mamia na wengine makumi.. Inategemea ulifanya nini wakati ukiwa hai. Huwezi kuwa na ugomvi na bifu na kila mtu hapa mjini ukapata support pindi unapoihitaji wachilia mbali tabia mbovu za hao watu..

Wewe una wivu tu, alafu jaribu kuwaomba radhi Watanzania uliowatukana hapa, hata usipofanya hivyo haiondoi dhana kwamba una wivu wa maendeleo..

Mwisho na Richard hawajapata support ya Watanzania?? walipokuwa kule mjengoni walijipigia wao kura?? walijipigia kampeni?? Tena wakati wao wakiwa kule zilikuwa zile kura za SMS tu, 1 vote 600/= na watu walipiga kama vichaa, ulitaka wafanyiwe nini kingine?? Both of them returned home with cash, i mean big cash lakini walizitumiaje?? Mwisho akahama Moro akaenda rent a big house at Mikocheni akaendekeza anasa mpaka pesa ikaisha, unafikiri mtu mwenye akili atataka kufanya kazi na mtu wa namna hiyo?? Same story to Richard.. Abby alikuja Tz as an underdog i mean with nothing at her account, amefanya kazi kwa bidii sasa ana maisha na coverage kuliko hao waliopata pesa akina Richard, alafu ulifikiri ni Tz tu huyu demu anakubalika, mpaka Naija anafika na anapiga mikwanja huko.. Yaani wewe uzembe wa wapuuzi wengine unatuhusisha Watanzania wote?? wacha hiyo tabia kabisa, after all huyo Mwisho si alipewa kipindi Channel 1?? Kafika nacho wapi mpaka sasa??

- Saafi sana watu wamekalia ujinga ujinga eti Super Star ngoja sasa kina Zari wawe wanakuja wanapiga pesa ndio tutapata akili, kwamba Super Star hatakiwi kuonekana sana ndio maana wenyewe huwa wanajifungia Holywood wakitokea kila mtu analipa kuwaona, Super Star lazima awe na adabu na aheshimu U Star wake kama wewe mwenyewe hujithamini nani atakuthamini? please

- Tutakalia hivi hivi kubiashana kapata ngapi au hakupata ngapi, mpaka tutakajifunza!! Super Star hana Meneja wala Mwanasheria hahahahahah nyie mnafanya mzaha sana na haya mambo msiyoyajua

Le Mutuz
 
Dinazarde....that is exactly what happened. Yaani if you are wearing make up utafutwaje jasho au machozi na mtaulo? Diamond obviously being a man he didnt know that. But hao team Wema wamebuni hadithi yao kwamba eti Zari alikua amemnunia Diamond. :becky: Talk about wishful thinking. Hivi wangejua hata kama Diamond ataachana na Zari sasa hivi kuna possibility kubwa sana he will not get back together with Wema. Especially now that he knows yeye na Zari are a big brand.
Hao akina Dougiemasta wange tafuta viti wakae chini tu, and watch Diamond work hard at his career and his relationship.

Halafu hao watu wanaomsema Zari eti ni mbaya na sio mzuri kama Wema. Hahahaha stupid and small minded. Ok, hata kama Wema ni mzuri kushinda Zari, so what? Diamond loves Zari. How many men actually marry or settle down with a woman based only on the woman's facial beauty? It has to be beauty and brains, and we all know which one Wema lacks.

thank yuuuuuuuiuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
- This is nothing but crying wolf wolf, huwezi kuwalinganisha Zari na hao uliowataja ni class tofauti sana unapoongelea Zari unaongelea a smart Woman mwenye malengo ambaye ana nidhamu ya ajabu sana na malengo yake, angalia Instagram yake kabla na hata baada ya wewe kumjua huwezi kukuta ujinga ujinga kwenye Wall yake. Amejenga jina lake kwa kutumia Social Media kwa sababu niambie ni nani ana uhakika kama kweli Zari ni Bilionea zaidi tu ya kumuona na mapicha yake kwenye Isntagram ni lini umewahi kumuona Zari Escape One anacheza juu ya meza tena amelewa chakari? Ni lini umewahi kuisikia Zari ana skendo za kijinga jinga kama hao uliowataja?

- Unafikiri waliotayarisha Show ya juzi ni wajinga? Eti unasema Show za Zari hazijawahi kujaza na wakati ilipofanyika Uganda ilikuwa sold out badala ya kuandika hoja wabongo wajifunze wewe unatetea Ma Star mediocre wanaojiende tu kama kuku wakinyeji wewe umeshawahi kumuona Diamond kwenye mabar amelewa anahangaika hangaika kama kichaa? Ndio maana watu walienda kulipa kuwaona maana ni watu ambao wapo serious na their business hakuna mtu anaweza kulipia kumuona mtu ambaye kila siku yupo mtaani na kwenye party za kujinga jinga,

- Mkuu jipnage tena Zari na Diamond wamefanya party ya juzi sio kwa bahati mbaya ndio maana wameshinda wanaishi kwa nidhamu kubwa sana kuhakikisha hawaonekani kila wakati na public nia na madhumini ni kama hii ya juzi, hakuna watu wenye akili kama wabongo wanajua thamani ya kila kitu na wanjua thamani ya hao uliowataja kwamba hawana kitu ndio maana hakuna mbongo anaweza kulipia kuona mtu anayeajiri watu kutukana watu kwenye Social Media, pole pole mtajifunza tu kutoka kwa kina Zari namna Super Star anavyotakiwa ku behave huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo, Zari ni mfano wa Super Star anavyotakiwa ku behave ndio maana akifanya show watu wataenda kulipa tu maana hata yeye mwenyewe anajithamini watu hawawezi kwenda kulipia watu wasiojithamini!!

Le Mutuz

thank yuuuu
 
Bwana malecela na steph curry nimewaelewa sanaaa kwa michango yenu kiukweli kama wanavyosema wasemaji"mostly of the people's used to blame others for they are own failure.Nadhani kila kitu kina misingi miiko yake usipojithaminisha watu kukuthamini inakuwa ngumu nadhani event hiyo uchukuliwe kama stepping stone kwa vijana wetu na si kuanza kupondana.
 
- Mkuu inachosha sana leo ni Mwaka 2015 tulitakiwa tuwe tumeshapita haya mambo ya kubishana wamepata ngapi au hawakupata ngapi au kwa nini wamepata na wengine hawawezi kupata, Zari is a smart Woman ambaye amekuwa akiitumia Social Media kujiweka tayari siku moja kuja kuvuta pesa kubwa WHY? Ni kwa sababu ana elimu so alianza kujipanga mapema na kuweka picha zilizotengenewa very carefully, zile picha zake za magari ya ajabu, ndani ya majumba ya ajabu leo Wabongo wote tunaamini Zari ni Super Bilionea tumejuaje kama sio Instagram yake tu now nani ana uhakika kama ni kweli? Ndio tujifunze what Social Media can and cannot do to you.

- Kwa muda mrefu amekuwa akitengeneza Image ambayo hata uwe vipi huwezi ku resist kutaka kumuona, so alipoingiana na Diamond ilikuwa ni the long awaited opportunity, kwenye maisha kuna kitu kinaitwa every dog has his day siku yake ilifikia baada ya kujitayarisha kwa muda mrefu sana, sasa sisi tumebakia kubishana ujinga ujinga eti angefanya mbongo tusingeenda ni kweli kwa sababu ni Mbong gani kuacha Diamond ambaye amejitofautisha na wengine na matabia ya kujinga jinga, Mkuu Dunia ya sasa bila elimu utapiga chini tu hata ukipata pesa vipi kama hukuajiri watu walioenda Shule kama alivyofanya Diamond utaishia kuwa kama Mr. Nice huyu kijana kwa macho yangu alishawahi kuja US nikiwa ninaishi kule akapokea USD $ 60,000 kwa macho yangu nikiwepo, leo umemuona anavyofanana ndio Super Star wa Tanzania,

- Sasa kama kawaida yetu tumebakia kurusha rusha maneno ya kitoto maana this is all we know best maneno maneno hewa, ndio kuwaponda ni muhimu sana wanapotokea wajinga wajinga wanaotaka kuwatetea wajinga wenzao, wasipoamka usingizini wataishia hivyo hivyo kulia lia tu!!

Le Mutuz
 
Big thanks malecela nimekuelewa nadhani elimu ya kujitambua ndio muhimu kuna watu wamesoma na tunaona elimu jinsi ambavyo haijawasaidia that's why watu husema unafanya kitu kama hujasoma it means elimu haikumkomboa mtu huyu.Na kuna watu wanatumia hupenda kuita common sense na waswahili husema akili ya kuzaliwa nadhani ni muendelezo wa dhana nzima ya kujitambua.Umetoa mfano sahihi wa mkenda alikuwa ni lulu na aka asisi mtindo wa TAKEU today hayupo imebaki enzi na enzi au chance sometime never come twice just once and for all.
Tukio kama hili ni somo kwa vijana wetu penye upande wa entertainment ila wenye akili fursa bado wanayo once again thanks brother.
 
- Sio kweli Elimu siku zote humsaidia binadam kujitambua ambalo ndio tatizo kubwa kwa hawa Wasanii wetu, naona unajaribu sana kusema usichotaka kukisema naiona nia yako very clear kwamba unajaribu kutetea mediocre what was the purpose of this thread kama sio kukataa ukweli kwamba Zari na watu wake made tons of money hata hii 1.8 Billion ni just an estimation bado naamini wamevuta pesa kubwa zaidi,

- Hivi umegundua kwamba nikiwa sipo huwa likitajwa jina langu kunakuwa na kelele nyingi hewa mpaka nikija then unaona zinavyoyeyuka, I mean wewe unajua ni watu wangapi wamelipia Shillingi Elfu tatu tatu? Halafu mtu anakurupuka tu na maneno maneno hewa ya kukataa unakataa unaktaa nini weka sasa FACST ZAKO hapa!!

Le Mutuz
 
Malecela sidhani kama unanitendea haki kusema nataka kutetea ila ungejaribu kuwaza kidogo watu wangapi unaowajua wewe na wana elimu na haikuwasaidia?take my words kuwa nawaangalia hawa vijana kwa mbali jinsi wasivyo kuwa na elimu ya kujitambua that's my point na sio kutetea coz wote tunajua umuhimu wa elimu but kama unayo na huitumii?au huna hata ya kuzaliwa ambayo nayo ni muhimu sana yaani uelewa wako unakuwa mkubwa katika kushika mambo mapema. Binafsi nimekuelewa na tupo pamoja .
 
- Well, ningekuelewa ungesema kuna msanii ana elimu lakini bado haijamsaidia, lakini you know that is not the ishu here ni kwamba tunaongelea Wasanii ambao hawana Education kabisa na ni almost wote so mfano wako haupo kwenye line ne this topic that is all my point!!

Le Mutuz
 
Ok kama tatizo la elimu nilivyotoa mfano sikutoa kwa ajili ya wasanii tu mfano wangu ulikuwa na mtazamo wa elimu kwa ujumla inavyoweza kumsaidia mtu.But so far nadhani nimekuelewa kwa hilo thanks for your time mr w.j malecela
 
Huyu Zari anawafanya watanzania wajinga wa kudanganywa hawaijui 1.8 Billion, wakifuatwa walipie kodi ya mapato wataruka mbali watasema wameingiza millioni 50,alianza uongo kwa kujitangaza na na kuyafanya magazeti ya tangaze na kukionyesha kitanda chake anachosema amekinunua USD 1 Million.
 
Hapa tunapoteza muda dai na zari wamepiga hela za kutosha iwe ni 1.8bilion au 1.8 milion ni zao wametumia akili zao na ss tutafute namna ya kupata kama wao
 
Bwana malecela na steph curry nimewaelewa sanaaa kwa michango yenu kiukweli kama wanavyosema wasemaji"mostly of the people's used to blame others for they are own failure.Nadhani kila kitu kina misingi miiko yake usipojithaminisha watu kukuthamini inakuwa ngumu nadhani event hiyo uchukuliwe kama stepping stone kwa vijana wetu na si kuanza kupondana.

"Mind your language" umewahi kuitazama hii "comedy"?
 
- Mkuu inachosha sana leo ni Mwaka 2015 tulitakiwa tuwe tumeshapita haya mambo ya kubishana wamepata ngapi au hawakupata ngapi au kwa nini wamepata na wengine hawawezi kupata, Zari is a smart Woman ambaye amekuwa akiitumia Social Media kujiweka tayari siku moja kuja kuvuta pesa kubwa WHY? Ni kwa sababu ana elimu so alianza kujipanga mapema na kuweka picha zilizotengenewa very carefully, zile picha zake za magari ya ajabu, ndani ya majumba ya ajabu leo Wabongo wote tunaamini Zari ni Super Bilionea tumejuaje kama sio Instagram yake tu now nani ana uhakika kama ni kweli? Ndio tujifunze what Social Media can and cannot do to you.

- Kwa muda mrefu amekuwa akitengeneza Image ambayo hata uwe vipi huwezi ku resist kutaka kumuona, so alipoingiana na Diamond ilikuwa ni the long awaited opportunity, kwenye maisha kuna kitu kinaitwa every dog has his day siku yake ilifikia baada ya kujitayarisha kwa muda mrefu sana, sasa sisi tumebakia kubishana ujinga ujinga eti angefanya mbongo tusingeenda ni kweli kwa sababu ni Mbong gani kuacha Diamond ambaye amejitofautisha na wengine na matabia ya kujinga jinga, Mkuu Dunia ya sasa bila elimu utapiga chini tu hata ukipata pesa vipi kama hukuajiri watu walioenda Shule kama alivyofanya Diamond utaishia kuwa kama Mr. Nice huyu kijana kwa macho yangu alishawahi kuja US nikiwa ninaishi kule akapokea USD $ 60,000 kwa macho yangu nikiwepo, leo umemuona anavyofanana ndio Super Star wa Tanzania,

- Sasa kama kawaida yetu tumebakia kurusha rusha maneno ya kitoto maana this is all we know best maneno maneno hewa, ndio kuwaponda ni muhimu sana wanapotokea wajinga wajinga wanaotaka kuwatetea wajinga wenzao, wasipoamka usingizini wataishia hivyo hivyo kulia lia tu!!

Le Mutuz

Ambwene Yesaya - namwelewa sana huyu bwana!
 
Wale mafahari wawili waliowahi kutengeneza uzi mrefu humu mwanzoni mwa miezi February, Mjasiriamali William Malechela Le Mutuz na Mwanasheria Alberto Msando, kufuatia promoshen iliyotamba ya kampuni ya Coka cola yenye jina "share a coke" ya kuandika majina katika makopo, hatimaye wamepatana.

Katika kurasa zao za insta wametupia picha wakiwa pamoja huku wamefunga mikono style anayoipenda sana mkuu Le Big Show AKA Akili kubwa, huku kila mmoja akitupia ujumbe kuonesha yameisha.

Ikumbukwe kuwa wakati wa tifu hilo hata wachangiaji wengi humu walijikuta wakiwa makundi tofauti kila mmoja akiwa upande wa aliyeona ana hoja ya msingi katika suala lile.

Binafsi mimi nimewapongeza sana hawa jamaa kwa kuonesha ukomavu wa busara na wito wangu wooote mliokwaruzana kipindi kile tafadhali rejeaneni.

========

attachment.php
View attachment 250753
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom