Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
View attachment 248917hebu View attachment 248917angalieni mtu mzima makamu ya lowasa anavyoadhirika tangu asubuhi ameenda kucheza ngoma ya watoto, amesikia kutakuwa na sambusa na kababu za bure basi alikuwa wa kwanza kufika hata mswaki hajapiga vizuri uso umejikunja kwa uzee haha, huyu babu sijui atakuwa lini.

Hahahahhaaaa sijapenda kucheka basi tu nimeshindwa kujizuia!
 
zels;

Mi naona malalamishi tuu. Hii show imefaana sio kwasababu ya Zari bali Dai, kama sio Dai zari asingeweza fanya show kubwa hivyo. Pia, Nadhani ni Jina tuu la Zari ndio limetumika, ila ishu nzima kama sikosei imesimamiwa na Menejiment ya wasafi.

Enzi zile wema na dai wako pamoja, wangefanya hii show, ofcourse wangepata watu wakutosha tuu.

Tatizo hatujui kuji brand, wala hatujui kuzitumia Fursa. Diamond anajua kuachuna Mashabiki.

Big Up Diamond. Msiotaka kujituma na kujishughulisha, ikiwa ni pamoja na kuumiza akili ktk kuzitambua na kuzitumia Fursa tutaendelea kulalamika mitandaoni, wenzetu wanaingiza Pesa tuu.
 
Last edited by a moderator:
There is something called class. Once you understand this, then you will understand why Wolper na Wema wakifanya hizo party zao hakuna anayekwenda. Tabia na and the way you carry yourself says a lot about you.

Kama hao bongo movie stars kazi yao ni kuhudhuria vigodoro, kupanda jukwaani kukata mauno, au kujihusisha na makundi yanayo tukana watu huko instagram, unafikir watu wenye heshima zao watataka kwenda kwenye party zao?
Look at Nancy Sumari na Faraja Kotta to name a few.

How they have held themselves. Wakiandaa party hawa you are sure a lot of respectable people who value their images and who actually believe these women have something be it business or education.

So my dear, Wema na akina Wolper can also organise a party but the only difference is hizo party zitajaa wanafunzi wa chuo, no one will pay 3 mil to go party nao. It is how you carry yourself. Zari amekaa kimya ametukanwa wee, a bado anatukanwa but see how her silence and Diamond's career success has turned into respect?

That is how they pulled all those people.
 
Hii party ilinoga sana kila kitu kimeenda clasic!kama mbelembele huko big up kwa zari na daimond
 
Huyu lemutuz Alitakiwa sahvi awe kwao mvumi dodoma hehehe

Huyu mzee anafanya upande mpka kwa wajukuu ila twn maisha magumu labda kapewa japo 1m istoshe hiyo 1.8b hata mzee wke hajawahi kuishika labda kuiona
 
Hahahahhaaaa sijapenda kucheka basi tu nimeshindwa kujizuia!

Mzee w kujipendekeza huyo kwa wajukuu zke istoshe 1.8b hata baba yke hajawahi kuishika,yani le mbululazzz upambecn sifa z kijinga haziendani na umri wke hizo hela walibeba na magunia n viroba nini plus gari la kubebea hela.anafikiria kila m2 bweeegee kma yeye kudanganya umma kunamsaidia nini,arudi usa akalee watoto n mke
 
Hakuna kitu muhimu km ukweli na kuacha ushabiki, Diamond ali perform kwenye Zari white party in Uganda, what happened? Na ilikuwa just ametoka South Africa kupata award. Waganda hawakumpa that attention coz sio kichwa cha mwendawazimu km wabongo wenye kupapatikia watu kisa wansongea English, lol. Ni aibu ku admit kuwa hiyi ndio hulka ya kibongo

Unatutukana wabongo bure (na kujitukana mwenyewe pia)...kwa nini usiseme kuwa Uganda hawakujaa sababu wenye fedha hiyo ni wachache ...au kwa kuwa same day Chameleon alikuwa ana perform hivyo waligawana watu...conclusion ya kuita wabongo wendawazimu imebase kwenye premise ipi?

Yani watu wasistarehe mpaka iwe ni giving back to the society ...sijui kuchangia watoto yatima sijui vipaji?????? kila event tuulizege ina mchango upi kwenye jamii????
 
Hebu tukisie unavyodhani wewe,meza sawa na mil30, ambayo ni sawa na watu 80 kwani kla meza inasemekana walikuwa watu 8,mle ndani inadaiwa walikuwa elf 3 tutoe watu 150,nikimaanisha 20 ni dai,zari na wasafi team na ndugu na jamaa,halafu 50 labda complimentary,2850 watu waliolipa viingilio,let say 2000 wamelipa 100000, moja,na waliobaki elfu hamsn inaweza kufika hyo hela na mitandao ya kijamii na cm kuliko kubisha,tujifunze kukamata fursa,
Mkuu ticket za million 3 zilikuwa sita na za milioni 1 zilikuwa 10 tu... Chibu kapiga pesa hatukatai ila haiwezi fika 1.8 b nasisitiza haiwezi fika hiyo pesa
 
ImageUploadedByJamiiForums1430678714.342983.jpgImageUploadedByJamiiForums1430678746.946749.jpgImageUploadedByJamiiForums1430678784.947461.jpg

Comments za waliohudhuria hii shughuli inayosemekana imeingiza 1.8b mmhhh... Napata kigugumizi.
 
Mkuu ticket za million 3 zilikuwa sita na za milioni 1 zilikuwa 10 tu... Chibu kapiga pesa hatukatai ila haiwezi fika 1.8 b nasisitiza haiwezi fika hiyo pesa

Kuna wadhamini,kUna mitandao,let say smart tz waliostream labda laki 3,waliokatwa bila kuona kama elfu 50,tz,kwa elfu 3,then walio nje wa dola 5,kama ukumbi uliingiza watu elfu tatu,ina maana tiket za lak na elfu 50 ni kama 2850,kwn uwanja wa taifa unaingiza sh ngapi cku ya cmba na yanga kwa kiingilio cha buku tano na kumi tu,?so kwa dai amount ya watu haifikii taifa lakin kwa amount ya hela ukiigawa ni sawa na elfu 5 mara watu elfu 10 watakaoingia u/taifa dogo kapiga hela,kesho mtasma free masson kumbe tumemchangia wenyewe
 
Kuna wadhamini,kUna mitandao,let say smart tz waliostream labda laki 3,waliokatwa bila kuona kama elfu 50,tz,kwa elfu 3,then walio nje wa dola 5,kama ukumbi uliingiza watu elfu tatu,ina maana tiket za lak na elfu 50 ni kama 2850,kwn uwanja wa taifa unaingiza sh ngapi cku ya cmba na yanga kwa kiingilio cha buku tano na kumi tu,?so kwa dai amount ya watu haifikii taifa lakin kwa amount ya hela ukiigawa ni sawa na elfu 5 mara watu elfu 10 watakaoingia u/taifa dogo kapiga hela,kesho mtasma free masson kumbe tumemchangia wenyewe

Hivi 1.8 billion unaijua ndugu yangu... Embu njoo na mchanganuo basi
 
Meneja wa Diamond alisema kuwa tiketi za milioni 3 zilikuwa 10 pekee sasa kama zilikuwa tatu tu na ule ukumbi haufikishi watu 5000 hizo hesabu za 1.8bilioni zimetoka wapi

Kama ilivyo kwenye daladala..kuna wale wanaoshikaga bomba na wanaokaa😉😉
 
Team wema washaanza n hhhhaaaa kama vipi wema akaandae Uganda nae n si yupo kaka ake wa kufikia chameleon atamsapot tuine itakuwajeee,mara ana nyota maraa ana mashabiki wengi,followers kibao,kumbe nyota imegeuka tanyo hhhhhaaaaaaa aiiiiiii zari ni homa ya jiji aiseee ni watu wangapi wanapiga pesa tz na wametoka nje hamsemii ,??alaàaaaaa bila diamond zari tusingemjua na hiyo party ilifana kutokana na sapoti kubwa ya daimond
Mara ngapi zari ashakuja bongo mbona hakuwahi fanya hiyo party mpaka kawa na daimond ndio kaona afanyeee
apate tu jamanii sisi wenyewe wabongo hatupendanii bora tukose tu hhhhhaaaaaaa na mkifanya party hasa huyo bibi wema atahudhuria na team vigodoro wake 👋👋👋👋👋
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom