Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo lemutuzi unamsema rafiki yako lulu???sio vizurii
 
Hayo yako wewe. Qur'an imeweka wazi kabisa kuwa:

Qur'an 2:223.
Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.
***
nashukuru kwa kuleta mstari unaosema ukweli hasili kuhusu huyo allah. anaposema ziendeeni konde zenu "mpendavyo", na ndivyo mnavyofanya, mnawaendea wanawake mpendavyo, mnawafanya wanawake mpendavyo kwani ni instrument mliyopewa. ni haki yenu, ndio maana -------- kamenei alipokuja udsm alisema ni suna kumwingilia mwanamke kila tundu kuanzia mdomoni, k, tigo, hata masikio hata kitundo chochote...hahaha, ni suna hiyo.

sasa mbona hiyo kuran haija specify mwendee hizo konde "mpendavyo" kivipi? yaani mziendee vile mtakavyoona roho yenu inavyopenda. mfanye mwanamke vile upendavyo...mwendeeni hizo konde/wanawake mpendavyo..hahahaha. allah kiboko. kwa hiyo hata wewe bwanako huwa anakuendea vile apendavyo, wewe si konde hizo ambazo allah alikuwa anazisema?
 
ImageUploadedByJamiiForums1430653279.896216.jpg
Majibu
View attachment 249033
 
Ila watanzania tuacheni unafki na kuwa wakweli wa nafsi. Ingetokea mtanzania kaandaa party ya aina hiyo, wangapi wangeenda? Mtu km Wema au Wolper wangeandaa mngeenda au mngeishia kuwapa majina mabaya? Mngewaita malaya na majina mengine mengi mabaya. Mfano mzuri Wema amekuwa anaandaa hizo party lakini hakuna hata mtu mmoja anaeenda sana sana mnaishia kumwita vigodoro, mara anapenda party mara ha act km mwanamke. Kuna muda alipanda jukwaani kumsaidia Diamond kucheza kwa kuwa alikatika viuno, Tanzania nzima mlimuandama, haki ipo wapi hapo? Mm naona watanzania bado washamba na wambea, wengi wameenda kwa kuwa Zari sio Mtanzania ili wapate kumuona, wengine km kumkomoa Wema ili kumuonyesha yy si mali kitu. Na ikumbukwe kuwa Zari anaandaa aina hiyo ya party kwao na hajawahi kupata hiyo response kwao, kwa kuwa anajua watanzania hawajielewi na hawathamini vya kwao. Km watu kujitahidi kimawazo basi tulitakiwa tumpongeze Madam Rita kwa kusaidia vipaji na Bongo star search kwani anasaidia watoto wetu, na wazazi walitakiwa wahudhurie kwa wingi kumpa support. Angalieni nchi za wenzenu walivyo wazalendo.Je, ni wazazi wangapi wameenda kumpa support au nyinyi jamii forum mlishawahi kuandika chochote kuhusu yy kuonyesha mnathamini mchango wa bongo star search. Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani
 
Meneja wa Diamond alisema kuwa tiketi za milioni 3 zilikuwa 10 pekee sasa kama zilikuwa tatu tu na ule ukumbi haufikishi watu 5000 hizo hesabu za 1.8bilioni zimetoka wapi

Hebu tukisie unavyodhani wewe,meza sawa na mil30, ambayo ni sawa na watu 80 kwani kla meza inasemekana walikuwa watu 8,mle ndani inadaiwa walikuwa elf 3 tutoe watu 150,nikimaanisha 20 ni dai,zari na wasafi team na ndugu na jamaa,halafu 50 labda complimentary,2850 watu waliolipa viingilio,let say 2000 wamelipa 100000, moja,na waliobaki elfu hamsn inaweza kufika hyo hela na mitandao ya kijamii na cm kuliko kubisha,tujifunze kukamata fursa,
 
wamekusanya mkwanja mrefu hawa jamaa kwani ile kuangalia online tu aliehusika na hiyo setup amesema kua watu laki mbili na zaidi walilipa 3000 ukipiga mara laki mbili na zaidi hela ni nyingi.
 
Hebu tukisie unavyodhani wewe,meza sawa na mil30, ambayo ni sawa na watu 80 kwani kla meza inasemekana walikuwa watu 8,mle ndani inadaiwa walikuwa elf 3 tutoe watu 150,nikimaanisha 20 ni dai,zari na wasafi team na ndugu na jamaa,halafu 50 labda complimentary,2850 watu waliolipa viingilio,let say 2000 wamelipa 100000, moja,na waliobaki elfu hamsn inaweza kufika hyo hela na mitandao ya kijamii na cm kuliko kubisha,tujifunze kukamata fursa,

Sio nidhaniavyo mimi. Hayo yalisemwa na Tale kwenye Millardi Ayo Amplifier.
Ule ukimbi wa mlimani hauwezi ingiza jumla ya watu ulio wataja ndugu.
Na hata hao watu 2000*100,000 bado wapata 200,000,000 sasa hebu piga hesabu ya hizo 1.57bilioni zilizobakia..
 
Urongo

Yaani ata simba na yanga uwanja wa taifa hawawezi pyeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom