Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Soma vizuri, biblia huijuwi:

[h=2]1 Wakorintho 6[/h]9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Katika hayo yako mangapi?

Nimemaliza kusoma amri 10 za Mungu na nimerudia tena na bado sijaona hata sehemu 1 inayosema "Enyi waume wapeni wake zenu hela ili ndoa zenu zidumu".
Na kwa vile sijaiona basi jaribu usimpe hela hapo ndio utajua hi ni amri ya 11 kama hujui na hapo ndipo chanzo cha tamaa.
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe hakuna wa kukusaidia coz hata sisi tunayo mizigo.
 
Sisi Waislam ni jukumu la mwanamme kututunza, amma mke amma ni mtoto wa nyumbani.

Hapo ndipo uelewe Uislam ni solution.
 
Soma vizuri, biblia huijuwi:

[h=2]1 Wakorintho 6[/h]9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Katika hayo yako mangapi?

unapenda hii mistari
 
Nimemaliza kusoma amri 10 za Mungu na nimerudia tena na bado sijaona hata sehemu 1 inayosema "Enyi waume wapeni wake zenu hela ili ndoa zenu zidumu".
Na kwa vile sijaiona basi jaribu usimpe hela hapo ndio utajua hi ni amri ya 11 kama hujui na hapo ndipo chanzo cha tamaa.
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe hakuna wa kukusaidia coz hata sisi tunayo mizigo.

1 Timotheo 5
7 Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
 
Wanaowafanya kinyume cha maumbile wanaume wenzao na wanaowafanya kinyume cha maumbile wanawake.

Biblia ya Kingereza imeandika "nor homosexuals,[SUP][a][/SUP] nor sodomites".
i am glad unaijua mistari ya kwenye Bible inayokataza homosexuals na sodomy. hebu tupatie mistari ya kwenye kuran inayokataza hayo, kama ipo.
 
hiyo mipasho mzee yusufu haoni ndani
 
katiaka biblia uzinzi ni ile dhana kuwa uko katika ndoa halafu unakua na mchepuko au michepuko nje ya ndoa na muasherati ni hawa wasio na ndoa kufanya mapenzi pasipo kufunga ndoa. Hivyo UZINZI na UASHERATI katika biblia ni maana mbili tofauti. Kibiblia anayemchukua mke wa mtu na kumfanya mkewe basi huyo azini naye..........
 
i am glad unaijua mistari ya kwenye Bible inayokataza homosexuals na sodomy. hebu tupatie mistari ya kwenye kuran inayokataza hayo, kama ipo.

Tena utafurahi sana lugha iliyotumika, jisomee:

Qur'an 26:
165. Je! Katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?
***

166. Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka! ***
 
kwahiyo allah amekataza tu kuwaingilia wanaume, anawashangaa watu kwanini wameamua kuwaingilia wanaume badala ya kuingilia kile alichokiumba mola kwa wanawake?hahaha, lakini hajaongelea kuhusu kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile kama ilivyo kwenye bible alipospecify kuhusu "homosexuals and sodomy".

naongea hivi kwasababu wanawake wanaooongoza kutoa nyuma ni wanawake wa pwani kama Tanga, dsm ya wale aina ya wanawake waimba taarab, zanzibar na uarabuni ambako asilimia 90% ni watu wa imani ya allah.
 
Hayo yako wewe. Qur'an imeweka wazi kabisa kuwa:

Qur'an 2:223.
Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.
***
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom