Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko yake case mtanga limbululazzz huwa anatokwa povu mpka anakunywa painkiller
Bikira wa kisukuma bwana.
Le Mutuz siwezi kumchukia hata siku moja.
Ha ha haa lemutuz na wamwachee comedian wetu hapa kwa kuchamba utafikiri mwanamke.
Huyo case mtanga nahisi ni mwandani wake make huwa anaongea secretis za ndani kabisa. Na hapo lazima le mutuz povu limtoke.
- hahahahahaha nilimdhulumu hewa hahahaha naomba umuulize nilimdhulumu hela ngapi nimrudishie na Kampuni ya Instagram Party TZ waliotangaza kwenye mitandao kumfukuza kazi na wao walimdhulumu hela ngapi? hahahaha mtaji alikuwa nao? Ningekuwa na hiyo tabia ningewadhulumu Matajiri wakubwa washikaji wangu kabla yake hahahahahaha
- Kosa lake ni moja tu kuiamini sana Instagram na wale Team Nonesense kwamba kwa vile wanamshangilia sana basi akifanya Tamasha watakuja kwa wingi na kuleta watu wengine kwa wingi ndio wanaomuangusha sana na apunguze kuiamini Instagram mimi naitumia kama sehemu ya kutengenezea pesa ila simuamini yoyote mle na wala siishi maisha yangu kwa kuiamini sana Instagram, ndio inamponza na ndiyo imemponza,
- Otherwise najua kuwa ameamua kunitumia mimi kama kisingizio cha matatizo yake ya maisha nimesoma sana Sociology binadam wa aina yake huwa ukianza urafiki nao wanajaribu kila njia kuku Control wakishindwa wanakuwa na hasira sana kama wanajua una faida kubwa kwao, so wanaanza kukushambulia na kukusingizia kwamba ndio chanzo cha matatizo yao namsikitikia sana juzi alikuwa Mliman City TV akajaribu sana kunichafua lakini kwa vile Wamiliki Mliman TV wananijua kwa karibu sana wakamkatalia na kufuta kila kitu alichosema na wakaniambia, katika Maisha yake yote hapa Duniani aliwahi kuwa rafiki na mimi kwa miezi 3 tu, Imagine sasa hivi mimi ndiye chanzo cha matatizo yake ya maisha hahahahahahaha
POLENI SANA WOTE WEWE NA YEYE!!
Le Mutuz
Kuna tofauti kubwa kati ya Rafiki na kumuina mtu nankuomba picha, le mutuz ndugu ww na Majay au Cloud wa Efm mmeanza lini urafiki? We ulikua umejuana na ssebo tena kupitia pale triple 7 na kile kipindi cha joto la asubuhi alikupigia simu akakuuliza maswali ma 5 ila kwa sababu huwezi interview za kushtukizwa(ref majibu yako ya nyumba kua hujaomba swali) ukaulizwa kitu ukapanick, ukajiandikisha IG, simply bcuz Efm hawakutaka kelele na ww ukapewa kisegment, ulisumbua sana siku hio kuomba picha, maana nahisi ulihaha kuanzia kwwenye lift mpaka floor ya 3, na wengi walikukimbia ukaishia kupiga picha na staff wa 3, ulitamani uwahi asubuhi ili upige picha na watu wote... unahisi watu hawajui maisha yako?? Too bad akina malecela wengine ni wastaarabu ndo maana wengi tunajizuia kukuropokea
- hahahahahaha umeona inavyokera kulazimishwa kujibu maswali ambayo hukuyaomba? hahahahahahah
Le Mutuz
Le mbebezzzz wakareee le super mutindi le baharia le bilioneaaaz Le super blogaaaz Le gademu.I' m humbled u know hahahahhhhaahha Le mutuz nation
lini hiyo...ningelia hadi nkazimia you know nampenda le mutuz ha ha ha