Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa nilikua namkubali lakini kwa sasa ameanza kunikera.
 
Kiboko yake case mtanga limbululazzz huwa anatokwa povu mpka anakunywa painkiller

Huyo case mtanga nahisi ni mwandani wake make huwa anaongea secretis za ndani kabisa. Na hapo lazima le mutuz povu limtoke.
 
Le mutuz nation nashangaa sana wanaomchukia mtu wa mabebez wakareez. Mimi ananifurahishaga tu na majibu yake u know
 
- hahahahahaha nilimdhulumu hewa hahahaha naomba umuulize nilimdhulumu hela ngapi nimrudishie na Kampuni ya Instagram Party TZ waliotangaza kwenye mitandao kumfukuza kazi na wao walimdhulumu hela ngapi? hahahaha mtaji alikuwa nao? Ningekuwa na hiyo tabia ningewadhulumu Matajiri wakubwa washikaji wangu kabla yake hahahahahaha

- Kosa lake ni moja tu kuiamini sana Instagram na wale Team Nonesense kwamba kwa vile wanamshangilia sana basi akifanya Tamasha watakuja kwa wingi na kuleta watu wengine kwa wingi ndio wanaomuangusha sana na apunguze kuiamini Instagram mimi naitumia kama sehemu ya kutengenezea pesa ila simuamini yoyote mle na wala siishi maisha yangu kwa kuiamini sana Instagram, ndio inamponza na ndiyo imemponza,

- Otherwise najua kuwa ameamua kunitumia mimi kama kisingizio cha matatizo yake ya maisha nimesoma sana Sociology binadam wa aina yake huwa ukianza urafiki nao wanajaribu kila njia kuku Control wakishindwa wanakuwa na hasira sana kama wanajua una faida kubwa kwao, so wanaanza kukushambulia na kukusingizia kwamba ndio chanzo cha matatizo yao namsikitikia sana juzi alikuwa Mliman City TV akajaribu sana kunichafua lakini kwa vile Wamiliki Mliman TV wananijua kwa karibu sana wakamkatalia na kufuta kila kitu alichosema na wakaniambia, katika Maisha yake yote hapa Duniani aliwahi kuwa rafiki na mimi kwa miezi 3 tu, Imagine sasa hivi mimi ndiye chanzo cha matatizo yake ya maisha hahahahahahaha

POLENI SANA WOTE WEWE NA YEYE!!

Le Mutuz

Kuna tofauti kubwa kati ya Rafiki na kumuina mtu nankuomba picha, le mutuz ndugu ww na Majay au Cloud wa Efm mmeanza lini urafiki? We ulikua umejuana na ssebo tena kupitia pale triple 7 na kile kipindi cha joto la asubuhi alikupigia simu akakuuliza maswali ma 5 ila kwa sababu huwezi interview za kushtukizwa(ref majibu yako ya nyumba kua hujaomba swali) ukaulizwa kitu ukapanick, ukajiandikisha IG, simply bcuz Efm hawakutaka kelele na ww ukapewa kisegment, ulisumbua sana siku hio kuomba picha, maana nahisi ulihaha kuanzia kwwenye lift mpaka floor ya 3, na wengi walikukimbia ukaishia kupiga picha na staff wa 3, ulitamani uwahi asubuhi ili upige picha na watu wote... unahisi watu hawajui maisha yako?? Too bad akina malecela wengine ni wastaarabu ndo maana wengi tunajizuia kukuropokea
 
Iv lemutuz kawakosea nn??...chuki tu binafsi ..mm binafsi namkubali sana lemutuz na huwa nafatilia STRAIGHT TALK zake za kila asubuhi most of the tymz anaongeaga point....sasa kashifa mnazomzushia hazina kichwa wala miguu ..mara oo kanywa sumu..ndo nn sasa...afu nachomkubali lemutuz anatumia ID yake ya ukwel cc wengne tunajificha na majina ya uwongo ....ni mtu anayejiamini ebu jamani tujiheshimu. Ila yote haya yanaletwa na umasikimi ...masikini wana hasira saNa wakiona mtu anashine...nmemaliza ...ukinitukana nakutukana back.Jino kwa jino theory
 
Hamna mtu anaemchukia Le mutuz....Ila sasa na yeye AKUE BANAA yaani jamaa maisha yake kama li teenager fulani hivi!!Ukimuangalia sana bikira wa kisukuma ni kijana mdogo na hazidi hata 30 kama sijakosea, Sasa Zee zima kama Le mutuz 58 years of age- kugombana na mtoto wake haoni aibu???Inabidi akue aache utoto...ajiheshimu na watu watamheshimu pia.
Imagine hili zee liko huko Insta!!! sasa na watoto wake wa US wako huko si uchurooo huo arif wangu.awaachie ma teenagers huko insta yeye aangalie kiblog chake au sio bwashee.
 
Le mbebezzzz wakareee le super mutindi le baharia le bilioneaaaz Le super blogaaaz Le gademu.I' m humbled u know hahahahhhhaahha Le mutuz nation
 
Le mbebezzzz wakareee le super mutindi le baharia le bilioneaaaz Le super blogaaaz Le gademu.I' m humbled u know hahahahhhhaahha Le mutuz nation

Sasa hivi yuko na le super Msomalizzz u know
Hahaaaa, I like it.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom