Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Mwacheni jamaa aishi maisha yake, mbona mnakuwa wakatili hivi? Mnamuandama Sana, kuweni na utu kidogo nayeye ni binadamu mjue sometimes anaumia jinsi mnavyomsakama bila ya sababu yoyote. Hivi kawakosea nini huyu mtu?
Nafikiri Shati lake linalofunika starlet ndio hasa tunalionea wivu
 
michuzi kanyanganywa cheo chake hivi hivi anajiona
haha kwani michuzi na millard ayo nani yupo juu coz millard ayo kwa blog tuu ana watazamaji 500,000 kwa siku, ukija youtube ndio kafunika kabisa hakuna wa kumsogelea. For my side millard Ayo yupo juu na anakuja juu sana coz anafanya vitu vyake kitaalam, michuzi alikua zamani nao ameachwa mbali sana.. mpaka sasa yuko kwenye .blogspot.com while wenzake wapo kwenye .com.. namshauri atafute vijana wa kisasa waweze kumpa maujuzi mapya katika ulimwengu huu mpya..also mpekuzi yuko juu sana kwa blog..hata hao mambululaz kadhaa wanaojinadi hawamfikii
 
Lembebezzzzz,,,akili kubwa,,aka Baba Swalehe u know yuko connected na mabilionea wa bongo?
 
Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.

Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
Hahahahahaa dah nimecheka sana.
Mungu ampe maisha marefu Le Mutuz..

Eti blog imejaa picha za wanawake tu...lol
 
Le Mutuz , Le big show, Le baharia..ha ha haaa @W J Malechela njoo huku le mbululazz wanahoji uwezo wako! Ha ahaaa
 
Le Mutuz , Le big show, Le baharia..ha ha haaa @W J Malechela njoo huku le mbululazz wanahoji uwezo wako! Ha ahaaa






- Guys mimi ndiye THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, kwa sasa nipo Lagos/Nigeria baada ya kuchaguliwa na DSTV kuja kuiwakilisha kwenye "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" infact nipo na Lulu huku na hizi picha ni leo baada ya kushinda hapa kwenye hotel ya Eko Hotel downtown Lagos.

- Mimi ni the Kingkwa sababu ni mimi peke yangu as a blogger ninayefanya Social Media bila kufungamana na kazi nyingine kama Radio au TV, wengine wote wanafungamana na hivyo vyombo mimi peke yangu ndiye sina Radio wala TV lakini ngoma nzito sana ndio maana nimeletwa na DSTV Lagos na nikitoka hapa Jumatatu naruka tena Dubai on Emirates Airlines, i hope nimekusaidia!!

- Halafu tizama sichezi sinema wala sipigi muziki, lakini likitajwa jina langu tu page 10 mpaka 20 viewers 40,000 comments 3000 sasa kama sio King wa Social Media ni nini jamani? hahahahahahah

le Mutuz @Lagos
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom