mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 898
Huoni kila siku anavyo trend kwenye mitandao.Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.
Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
Nafikiri Shati lake linalofunika starlet ndio hasa tunalionea wivuMwacheni jamaa aishi maisha yake, mbona mnakuwa wakatili hivi? Mnamuandama Sana, kuweni na utu kidogo nayeye ni binadamu mjue sometimes anaumia jinsi mnavyomsakama bila ya sababu yoyote. Hivi kawakosea nini huyu mtu?
haha kwani michuzi na millard ayo nani yupo juu coz millard ayo kwa blog tuu ana watazamaji 500,000 kwa siku, ukija youtube ndio kafunika kabisa hakuna wa kumsogelea. For my side millard Ayo yupo juu na anakuja juu sana coz anafanya vitu vyake kitaalam, michuzi alikua zamani nao ameachwa mbali sana.. mpaka sasa yuko kwenye .blogspot.com while wenzake wapo kwenye .com.. namshauri atafute vijana wa kisasa waweze kumpa maujuzi mapya katika ulimwengu huu mpya..also mpekuzi yuko juu sana kwa blog..hata hao mambululaz kadhaa wanaojinadi hawamfikiimichuzi kanyanganywa cheo chake hivi hivi anajiona
Daaah nilitaka kusema hivihivi nikasema ngoja nisome comments kwanza.Labda MSAGA SUMU atatusaidia.
Hahahahahaa dah nimecheka sana.Nani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.
Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
Lilikuwa jipu ndio hakuna pesa za bure sasa iviNani kampa Le Mutuz status ya u-king wa all social media? King gani blog yake imejaa picha za wanawake tu.
Mbona anapenda kujikweza kabla hajakwezwa?
Daaah nilitaka kusema hivihivi nikasema ngoja nisome comments kwanza.
Itabidi MSAGA SUMU atufungulie uzi wa ni nani aliyempa hiki cheo.
kilikuwa kikao cha masupa bilioneaz,kilifanyika super double tree by hiltonLabda MSAGA SUMU atatusaidia.
yaani usipocheka lazima utakuwa na matatizoHuwa nikimuona nacheka tu
Le Mutuz , Le big show, Le baharia..ha ha haaa @W J Malechela njoo huku le mbululazz wanahoji uwezo wako! Ha ahaaa