Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Jamaa ajistkii yupo katikati ya watoto mzee peke yake na bado uso mkavu
 
Binafsi huyu bush lawyer ushamba umemzidi. Mwanaume gani kutwa upo IG unafanya mipasho???? Ushamba mzigo.
 
Hah hah hah hah hizo comments za abiria humo IG ndani utacheka balaa...kuna mmoja amesema "MKUBWA NA WANAWE" hahahaha hahahahah U Know! Nimecheka sana aisee
 
Hahah msando post zake hua anapiga chini ya belt, hahah
 
Hahahha Le mtumba Le kopozzz limeleta shida
Le mtumba anadai kalipwa sasa watu wanajiuliza kina bikira wa kisukuma na wengine hawajalipwa Kwa nini na Majina Yao yako kwenye Le kopozzz Kama kawaida
 
As long as havunji sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala kimataifa, hata akikesha Bar mimi hainiumi.

let W. J. Malecela live his life.

Wow live his life now?where was he all those years?he old man,kuwa mpole
 
Last edited by a moderator:
Wow live his life now?where was he all those years?he old man,kuwa mpole

All those years?.. WTF!

nani kakwambia those years back hakuwa anaishi his life?

Btw, living your life ends when? when you are 20s or 30s?

Hata kama this dude angekuwa 190 years old, ataishi bado anavyotaka tu!

Cha msingi asikusumbue na hela food and accomodation ama medical expenses...

Mengineyo tunajisumbua tu.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…