Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.




- Wiki hii nipo mbugani Serengeti kutalii katika mbuga zetu za wanyama badala ya kuwaachie wageni, so sijapata muda sana wa kuingia Social Media nimepitia kidogo tu hapa U know but leo namaliza and then nitaruka kurudi bongo then we can talk kama kawaida!!

Le Mutuz

Umepita kidogo wapii na dogimasta anakushughulisha baba zima unabaki kubambikia watu we punguani.
 
Umepita kidogo wapii na dogimasta anakushughulisha baba zima unabaki kubambikia watu we punguani.

Hahahahahaha uknw mimi ni celebrity mkubwa na watu wana nipenda sana uknw..huyo dogi masta kanifananisha na kiboko uknw am humbled sababu mimi ni kivutio cha watalii now...
Hahahahahaha i love it
 
Wakuu huyu jamaa vitu anavofanya havifanani kabisa na umri wake..hustling zake sawa na appreciate lakini kwenye picha kama hizi noo
Screenshot_2015-02-12-19-41-55.png
Screenshot_2015-02-12-19-41-38.png
 
Ha ha ha alichelewa kuzijua mbunye,amezijulia ukubwani sasa zinamchanganya...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom