Le mutuz, haters wengi ni wanaume kuliko ladies

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Hahahahah watanzania bwana!

Le mutuz haters are mostly from men and a few chicks who just hate.

Wanaume ni vile viuno anavyoshika Le Mutuz na ma bebez inawakula moyo na mnatamani kufa, sikia huyu jamaa ni wa kishua hata mseme nini huo ndo ukweli.

Or let me put it this way, he still is this rich kid that grew up in a well off family of once a Prime Minister of United Republic of Tanzania.

Haya, na ame-travel na Diplomatic Passport mpaka ukubwani, Mpo hapo?

Watu wengi anaouza nao sura ni watu either kakua nao uzunguni au alisoma nao ushuani. Come on guys his dad was a Prime minister, It Was a big deal!

Haya, kuhusu kubeba Box, Me Nilidhani watu wenye akili timamu wangemsifia kwamba jamaa kuwa na mali zote home na bata la baba Waziri Mkuu he still left all that and went to live independently and hard working life in the US na kula kwa jasho lake kama mwanaume, lakini kwa sababu Watanzania tumezoea ufisadi na wengi tumecrame mtoto wa Waziri hawezi fanya kazi kama zile basi mnamtukana!

Mimi ndio sipendi baadhi ya sifa anazofanya especially na hawa bongo celebrities, simply because of the status of his family and his Dad, to me he can do much better ila that's just my opinion cause mwisho wa siku mtu hachaguliwi maisha.
 
Wala vumbi wamelala muda huu huko bongo ni usiku wa manane. ...ngoja waamke kesho, watakushambulia balaa hehehe
 
Hahahaha we jamaa unatafuta vita hapa eti wala vumbi wamelala asubiri waamke kesho.... tetehtehtete.
 
Mpuuzi mwingine kwenye sayari yetu inayoitwa Dunia,kuanzisha uzi JF imekua rahisi sana
 
No one hates Le Mutuz personal,nadhan ni kama mzaha fulan kwa kuwa na yeye ni kama mtu wa mizaha ivi!!Wengine hatujapata nafasi ya kuwaona au kutaniana na babu zetu so tunamchukulia yeye kama babu yetu ambaye amezeeka sana mpaka akili inaanza kurudi kama ya mtoto that's all!Anapenda uceleb,anapenda kuwa discussed let him have what he wishes for!Nevertheless anajiita billionea,no hate!!Mtoa mada naona unamzimikia babu kimya kimya,ujue kuna freedom to live as you wish na pia kuna Freedom of speech...usiwe unachukulia kwa uzito sana mambo ya humu!
 
Unatuita wala vumbi kwa kuwa upo mbefele sio, haina hata kwere, kula raha ila usibeze homie wako bz am sure ndugu zako wengine wako hapa hapa kwa Nyerere, tena usikute wanasota mbaya kabisa.
 
Unatuita wala vumbi kwa kuwa upo mbefele sio, haina hata kwere, kula raha ila usibeze homie wako bz am sure ndugu zako wengine wako hapa hapa kwa Nyerere, tena usikute wanasota mbaya kabisa.

Kuogesha vibabu na vibibi na kukwangua ukoko masufuria ndio kula raha?
 
Mleta mada umekuja na mipovu tele,yeye mwenyewe babu anapenda tumchane live ili atengeneze hela alipie ada za watoto wake.
Cha mwisho yeye mwenyewe kashajiita muuza utumbo maana yake haogopi nzi.Mwenzio ana enjoy wewe unamuonea huruma.
 

kweli tunamtania babu yetu!!
 

Hawa mabinti unaowaona hapa hakuna hata mmoja aliyekua na Le-Mutuz kaondoka nchini kuelekea Marekani hawa hata walikuwa hawajazaliwa ukisema amekua nao ushuani hapa unakuwa hueleweki aisee hawa kwa umri wanaweza wakawa watoto wa Le-mutuz na nikihakikishie tu hawa mabinti nao picha kila siku hakuna hata mmoja anayemsogelea kwa umri wote kawazidi kianzia miaka 20+ kwa hiyo huwezi kusema alikua nao ushuani
Halafu uelewe haya maisha ndiyo aliyojichagulia yeye wewe unadhani watu wanamchukia lakini yeye hapo anafurahia kweli na anasema kuongelewa tu hivyo yeye anaingiza pesa
 
Mtamile

Huyo mleta uzi kakurupuka tu ,huyo David Mosha,Matelephone, Juma Pinto wamekua ushuani?Maana hao Le Mutuz anakuwa nao muda mwingi.
 
Last edited by a moderator:
Did u just say he is STILL a rich KID .. A kid like seriously more than 40 years old unamuita a rich kid ..

This is madness ... My people need me aim out here ... kwaheri. . Dah

Hahahaaaaaaa.....uzee mwisho Msataaa....mjini wote makid...oooooooohhhhh.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…