Le mutuz, haters wengi ni wanaume kuliko ladies

- Well nipo Vacation Arusha at Nduruma Farm, ninapumzika na kupanda farasi tu mpaka baada ya New Year ndio nitarudi bongo then we can square with this never ending kwikwizz U know unamchukia mtu ambaye humpunguzii anything, ukisema ninamchukia ndio maana hawezi kupata pesa I can understand that, lakini unamchukia mtu ana Degree 3 wewe huna hata moja, Mutu anaishi downtown bongo wewe unaishi Shimo la Udongo U know sasa hata viwanja anavyokwenda huwezi, halafu unasema namchukia Le Big Show saa hizi nipo Ariusha nakula batazzz wewe unalia lia mitandaoni hahahahahaha sema unajichukia mwenyewe, wewer huwezi kunichukia cause hatufanani mimi nina maakili mengi sana wewe huna so back off U know hahahahahaha

Le Mutuz Arusha One!!

Umesema unaishi down town bongo na jamaa anaishi Shimo la udongo! Kwa hiyo kwa vile anaishi shimo la udongo unamdharau? Hivi kama unamdharau anayeishi Shimo la Udongo Kurasini Dar jee yule anayeishi Mvumi misheni, Mvumi Makuru kule Mtera utamdharau au kumtusi kabisa?
Huko ndio kutojielewa na pengine Mzee Tingatinga naye aliwadharau wale wa Mvumi kwa vile ana nyumba Downtown bongo nao wakamshikisha adabu kuwa Waziri mkuu mstaafu wa kwanza kupigwa chini kura ya maoni ndani ya jimbo.
Nasikia nawe unampango wa kwenda kupimana ubavu na Kibajaji! Nenda Mvumi uwaambie nyumba zenu zinanuka ma.vi ya ng'ombe sio kama za downtown bongo kisha utaona.
 
- Unaongelea FACT of life kwamba kuishi downtown bongo sio sawa na Shimo la Udongo it has nothing to do dharau hayo ni maneno yako ya low thinking capacity ndio maana Taifa linashindwa kuendelea maana tuna wananchi wengi kama wewe wasiojua maana ya FACT of life, mambo ya kupimana na ubunge hayo ni yako hayanihusu pole sana mnaishi kwa kutunga tunga maneno kama ninagombea ninayetakiwa kusema ni mimi sio wewe sijasema sasa wewe kama mbeya umeyatoa wapi? Mzushi maneno mengi hewa tupu so yes narudia mtu anayeishi downtown bongo sio sawa na anayeishi Shimo la udongo do you have a problem with that?

Le Mutuz
 
Hivi wadhani mimi na wewe nani anazijua hizo Facts of life? Kasome tena post niliyoku quote uone dharau uliyoonyesha kwa watu wa Shimo la udongo. Usilolijua ni kuwa kuna watu kule shimo la udongo wanaishi maisha mazuri kuliko wengine walio Upanga.
Kuhusu Taifa kushindwa kuendelea usitupie mzigo huo kwa wengine. Waliosababisha ni watu kama Baba yako waliokaa madarakani muda mrefu mpaka kutemwa tena katika ngazi ya vijijini kwakushindwa "kuongoza njia" wananchi wao zaidi ya kujikumbuka wenyewe.
Kwa heri, sina muda tena nawe.
 
- Ungerudi bongo kaka maneno mengi upo Majuu njoo huku uone kama utarudia haya maneno, unaonekana una tatizo na Baba yangu mfungulie thread yake mimi naitwa Le Mutuz Nation so kama una tatizo na mimi deal na mimi ok, hahahahahah umerukia treni kwa mbele unaona sasa hahaha!!

Le Mutuz
 
le.mutu mkubwa hahaha am.sure ni yeye kaandika hakuna mtu anaeza.msifia huyu babu hivi
 
Hata mimi nakubali haters wengi ni wanaume kuliko wanawake, we angalia hata aliyefungua thread maalum ya kumsema vibaya jamaa ni mwanaume. Mi nafikiri hapa JF kuna wanaume wengine wameweka ID za kike kwavile mambo na maneno yao humu hayafanani na mwanaume mwenye akili za kawaida.
Halafu huyu jamaa sijui kwanini anawanyima usingizi! Matusi na kejeli zote, lakini Le Mutuz katulia anawajibu poa tu, kwanini hamumwachi jamaa aishi maisha yake?

Tukimwachia maisha yake hatapata pa kula mkuu... Mwenyewe anasema ni the king of all social networks sasa kama hataandikwa hicho cheo ajivue. Pia mwenyewe anapenda sana ndio maana unamwona akiandikwa anakuja kujitetea pia.
 
Hakuna wa kumchukia mtu asiyemjua vizuri.... wengi hapa Jf wanapenda kumtania le tamkoz ili kuburudika na majib yake ya kuchekesha...... kupitia thread za le tamkoz ni sehem ya kuburudika.....

Hata Mimi naamini hivyo.hata Mimi napenda kumchokoza maana napenda majibu yake
 
Tukimwachia maisha yake hatapata pa kula mkuu... Mwenyewe anasema ni the king of all social networks sasa kama hataandikwa hicho cheo ajivue. Pia mwenyewe anapenda sana ndio maana unamwona akiandikwa anakuja kujitetea pia.

- Well, siji kujitetea never ninakuja ku have fun I never take anything serious here zaidi tu ya kuelewa kwamba kuna wabongo wasiokuwa na kazi na hawana maisha kwa sababu kama una maisha huwezi kuwa na muda wa kufuatilia maisha ya mwanaume mwingine asiyekuhusu, wengi wanaandika kwa chuki na wivu kwa sababu wanajua kwamba my lifestyle ni super ni ningekuwa nawasikiliza ningeshabadili lakini never I will never change for anybody kuna wajinga wengine wanajaribu kunilinganisha watoto wa Viongozi wengine ambao wameamua kuwa Viongozi wa Siasa na ambao mimi nina hang out nao kila siku, so ninawashangaa sana get life man me I am fine vipi maisha yako? U know!!

Le Mutuz
 
Hata Mimi naamini hivyo.hata Mimi napenda kumchokoza maana napenda majibu yake

- Si kweli kwamba mnanichokoza no way mnaandika yanayowasumbua rohoni mwenu ila mnakuta kwamba I do not give a damn ndio maana mnaanza kujifanya eti tunamchokoza no mnakutana na jabali siwaogopi na wala siwakimbi kwa sababu nawaona wote ni people with no life honestly!!

Binafsi sijawahi kukutukana ila napenda kukuchokoza.mfano uzi ukianzishwa Mimi huwa wa kwanza kukuita.
 
Hata mimi nakubali haters wengi ni wanaume kuliko wanawake, we angalia hata aliyefungua thread maalum ya kumsema vibaya jamaa ni mwanaume. Mi nafikiri hapa JF kuna wanaume wengine wameweka ID za kike kwavile mambo na maneno yao humu hayafanani na mwanaume mwenye akili za kawaida.
Halafu huyu jamaa sijui kwanini anawanyima usingizi! Matusi na kejeli zote, lakini Le Mutuz katulia anawajibu poa tu, kwanini hamumwachi jamaa aishi maisha yake?

I think it's party of entertainment, no one from his/her heart can hate Le Mutuz, for what? Unless nisikie anatoka na demu wangu hapo mziki utakuwa ni tofauti.
 
Hahahaha we jamaa unatafuta vita hapa eti wala vumbi wamelala asubiri waamke kesho.... tetehtehtete.

hehe nachopendea uzunguni..uki wear and tear off(ukizeeka) wenye nchi wazee ( raia) ndo wanapata special treatment and care kutoka serikali yao..
sasa kwa mwenzetu ulivamia kikazi na ukajisahau kujenga kwenu, ukirudi kibabu ..unakuja kufa mapema kwa wakwe zako..

Back to the topic ya Le Mutuz...No offense the guy nimekutana nae sehemu za starehe, and greatly ana mind his business na hao warembo zake..i am cool with that, nothing against him, kama anapenda media, so be it, Hii ndo tanzania..mwenzio akipenda kupigwa picha, bas wewe penda kushika camera..Life equates and goes on
 
Back
Top Bottom