- Jana nilienda kwenye mialiko ya party Serena na Hilton, sasa nipo ofisini well kama nilivyosema ninarudia tena mfano wako ni wa kusomwa na kila mwenye akili hapa JF ambaye ameoa au hajaoa kwamba kuna wanawake wa aina mbali mbali kwenye maisha na wengine ni kama wewe, sasa ni muhimu sana wakawa waangalifu kabla ya kuoa maana imagine unaoa mke kama huyu mama anayetaka kutingisha kiberiti akakuta kimejaa anakimbilia kwenye mitandao,
- Kitendo chako cha kuja mitandaoni na maneno unayoyaandika yanazidi kunisaidia na watu wengi waliodhani nilikuwa na makosa kukuwacha, ulijitahidi sana kujitangaza kuwa umeniwacha now with this kwa yoyote mwenye akili anajionea wazi ukweli ulipowa kwamba mimi ndio nilikuacha na sababu ni wewe sio mzima na ushahidi huu hapa JF, ndio maana nina print na kuyahifadhi maneno yako hapa before this sikuwa na ushahidi serious maana ilikuwa your word au my word, lakini with this umenisaidia sana infact copy zingine nimempelekea mama yako jana wamemsomea mwanzo mpaka mwisho wa maneno yako, mtaelewana wenyewe ila nilihitaji sana something like this to prove my case, now I am fine the more unaandika ni more unanisaidia sana so keep on writting,
- One ishu tu kwako ni waondolee dhambi watoto wangu achana na mume wa Mariam Komanya, huyo bwana Patric Mwanga mfanyakazi wa TBC ni mume wa ndoa wa Mtangazaji wa zamani wa TBC Mariam Komanya, waliaona Miaka 10 iliyopita wana watoto 2, walienda kusoma London, yeye bwana akamaliza akarudi akamuacha mke wake bado anasoma na hata hiyo nyumba anayoishi ni ya Mariam, wewe ni Mkristo unajua kwamba hakuna dhambi inayozidii hii unayoifanya sasa ya UZINZI maana huyo ni mume halali wa mwenzako, Biblia inasema ni dhambi na tatizo la Dhambi majibu yake yanapokuja hayaangalii watoto huo tu ndio ushauri wangu kwako wewe umetokea kwenye familia ya Dini sana ya Kikristo na unajua sana kwamba unayoyafanya ni dhambi inayoweza kuwaponza mpaka watoto, ungekuwa peke yako nisingejali maana ingekwua ni dhambi yako peke yako ila watoto haiko sawa,
- Otherwise I wish you all the best, na maisha yako mimi I am very fine na msiah yangu na ninaendelea kwenda mbele, kama unavyosema mwenyewe kwenye maneno yako unafuatilia kila ninalofanya saafi sana utaendelea hivyo hivyo mpaka mwisho wa maisha yako ila hutaniona tena. Nilikuomba sana uende shule kama mimi hukutaka unaona haya ndio matokeo yake pole sana ila mimi nina Msomali tayari nilikupa nafasi ukaichezea mwenyewe sasa usinilaumu mimi jilaumu mwenyewe na hao waalimu wako huko New York, hahahahahahaha
Le Mutuz