Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

aisee am humbled , bona liwanza
 

Nadhani huu utabiri wake utatokea kwa wote waliokuwa wanagombania mali za Baba, ikiwa mzee bado yupo hai.

Mitoto ya kizazi hiki ina UJUNGA mwingi sana, haitaki kujishughulisha.

Yaani Mzee hata ukiumwa JIPU tu, mitoto huku inaanza kugombania Urithi.

Pumbavu sana.
 
Hii ilitoka ndani kabisa, unaona mbele ya hayo maneno anacheka.
 
Unatoka ubaharia unaishia Mount Vernon na unaendesha malori sijui ya taka? Kulikoni halafu unaachika na mke anachukuliwa na mkurya sasa yupo Pelham kwenye appartments za watu wenye uhitaji mbona huendi kusaidia wanao wapate hata nyumba New Rochelle ?
Umeishi US wewe? hayo malori ya taka yanalipa kuliko mawaziri wa bongo, hujaishi US unaonekana au ulikuja shule tuu na kuondoka
 
Aisee nimejisikia vby
Part ya story ya mama ake mzazi na mama ake wa kambo kuwa marafiki sn na baadae kugeuka kuwa maadui! Na ye kuwa mhanga wa hilo
So sad jmn
 
bianca2023
 
bianca2023
 
Aisee, I learned something,huyu mtu alikuwa mkweli jamani 🤔
 
Mungu awe pamoja nawe Kaka Mkubwa kwa heri 🙏🙏🙏
 
Aiseee🤔sio mchezo
 
"...Niligundua siku nyingi sana toka nikiwa mdogo kwamba I was born different nilizaliwa Mwanaume tofauti sana Mama yangu mzazi na Mama yangu wa Kambo originally walikuwa ni marafiki wa damu walioishia kuzidiana Akili na kugeuka kuwa maadui wa Ajabu na mimi nikawa caught up in the middle ya Uadui wao na the worst is Mama yangu wa Kambo was very educated as opposed na Mama yangu Mzazi ingawa wote leo ni Marehemu lakini kivuli cha Vita yao ninapigana nacho mpaka leo na ndipo Mange anapoingia in my picture cause ni agent tu wa hicho kivuli cha Shetani anayenisumbua toka utotoni..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…