Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

"...Mange alianza rasmi kunishambulia baada ya kurudi Bongo Miaka 6 iliyopita alianzia Facebook na mashambulizi ya yake ya kwanza aliongelea urithi wa Baba yangu kwamba nimerudi Bongo kutafuta urithi ninayo quote yake mpaka leo so I hope nimewasaidia wale mnaojiuliza sana Chuki ya Mange kwangu inatokea wapi? ni kwamba Mange anawawakilisha baadhi ya Maadui zangu wa Maisha ambao wangependa kusikia nimekufa kwa sababu wana wasi wasi kua nitawadhulumu urithi wa Baba yetu ambaye bado yupo hai na huenda hata tukaondoka sisi tukamuacha ..."
 
Duh 🤔
So sad aisee!
Kuna watu wamepitia magumu jamani!
Nimejifunza,' don't judge '....maana hujui mtu nini amepitia,au anapitia pamoja na madhaifu tuliyonayo!
 
 
Na wote wamekufa yeye na dadayake huyu MUNGU huyu
 
Aiseee 🤔
Very interesting! Ama kweli Kuna watu na binadamu🙌
 
RIP Bigman.
 
wana wasi wasi kua nitawadhulumu urithi wa Baba yetu ambaye bado yupo hai na huenda hata tukaondoka sisi tukamuacha ....hahahahha....
Hiki kipande 😞


 
Hakuajiriwa alikuwa field practical training, so angewezapewa posho tu,kuwa assistant engineer ingewezekana yaani msaidizi wa Fundi iwe ni Fundi mkuu au second au third enginear
2nd engineer Ni engineer msaidizi Namba 2,

Lazima awe ameajiriwa na anapata pesa ndefu sn,,

Utawezaje uacha Kazi ukabebe mabox mtaani?
 
Dah,,yametimia

RIP 2nd engineer,,
RIP seaman.
 
Hizi mambo ngumu sana, inaonekana kuna issue za ushirika kwenye hizi familia, all in all Mzee Malecela hakuwa mlezi mzuri, amechangia pakubwa sana kusambaratisha familia yake
 
Mkuu age is just numbers. Naamini mda si Mrefu utaitwa Babu pia-kama bado.
 
Hizi mambo ngumu sana, inaonekana kuna issue za ushirika kwenye hizi familia, all in all Mzee Malecela hakuwa mlezi mzuri, amechangia pakubwa sana kusambaratisha familia yake
Mkuu kwa experience yangu, sidhani kama Kuna mzazi anapenda familia yake iharibikiwe. Inawezekana walimwengu wanamuona mzee Malecela kama wewe ulivyomhukumu, wakati yeye alijitahidi kuipambania familia yake kadri ya uwezo wake wote. Wewe ni mzazi bora au vinginevyo ni perception ya dunia ambayo wewe huwezi kuamua hatma yake. Naamini Malecela alijitahidi kuipigania familia yake. Mengine ni fate ya maisha.
 
Labda hapo mwisho umemalizia vizuri, all in all Mzee alianza kuvuruga familia ya kwa tamaa yake, hivi kulikuwa kuna sababu gani ya msingi ambayo ilipelekea Mzee kuwa na mahusiano na rafiki ya mke wake ili hali anandoa tayari? Hakuona hili lingeleta mpasuko kwenye familia yake?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…