Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

asante dada kwa kuliona hilo. I think umaskini ndo chanzo cha chuki. huwa naangalia hata ikitokea ukaanguka na gari, wengi hufurahia na kusema akome, achilia mbali kuibiwa etc.
Inasikitisha mno mkuu, waTz wengi huwa wanafurahia matatizo ya wenzao. Binafsi baada ya kusoma comments za wengi naona wengi wanajibu kwa kufuata mkumbo sidhani kama hata wanareason kidogo maana huwezi kosa kitu positive kwenye hii simulizi. Mimi namkubali lemutuz kwa kuwa haishi kinafiki ameamua kuishi anavyopenda yeye.
 

You have nailed it. Sina cha kuongeza.

Labda kuongezea kidogo......Mpaka leo naamini Le Mutuz anaishi maisha ambayo ameyachagua. Wengi hatukubaliani na life style yake (kwa chuki au sababu za msingi), Lakini naamini wengi wetu hao hao hatuna courage ya kuishi maisha anayoyaishi. Kukwepa unafiki. Wengi tunaomponda kwamba angefanya hivi au vile angekuwa mbali nadhani we miss the larger picture. Kila binadamu ana destiny aliyopangiwa na Mola wake.

Kwenye hii simulizi nimejifunza kitu pia! Struggle is the duty of man! No matter your background..................
 
Umenena vema mkuu achana na watu wasiokuwa na exposure hao, wamekariri maisha. Mtu anashindwa kujiuliza baba yake alikuwa mtu kubwa TZ lkn anabeba box ulaya, Lzm kunachangamoto alikuwa anakutana nazo. Wataalamu wa saikolojia wangeweza iweka sawa hii
 
Mkuu jifunze kufikiria nje ya box, wapo wengi ambao kwao maisha mazr lkn wanaishi maisha magumu, nyuma ya pazia kuna sababu. Hicho ndo unapaswa kukistudy hapa
 
Hah hah hah hah hah
 
Umekaririshwa? Kuwa kupambana hadi uwe unetokea kijijini kwenu kolomije ukiwa unalima? Akiri fupi kweli
 
Huyu babu alirudi na kende zke plus kibamia hata 500$$ hakurudi nayo,inaonekana hakua na kazi ya maana zaidi ya kuzibua mifereji
Fatilia kaz za kuzibua mifereji NY wanalipwaje afu urudi hapa. Watoto wa iswahilini mnashida sana, usifikili unavyodharau kaz bongo huku na US ni hivyo, ile ni nchi ya kibepari huwez kaa kwa kaka au shemeji et unaaply kaz, kule huwez mkopa mtu hela. Hata uwe na degree utafanya kaz ilyo mbele yako ili uishi km hujawa omba omba wa barabarani basi watakupumulia wenzio.
 
Jomba alirudi na bukta tu
 
Baharia Le Mutuz alikuwa Baharia wa Kishua ndo maana hata airticket clearance alipewa na Gavana wa BoT!!!!

Kuna uncle angu mmoja daily ilikuwa ni kushinda Ferry kusubiria fursa ya stowaway!! Na ilikuwa sio suala la wiki au mwezi kwamba hatimae mtu unaweza kuondoka... mtu unamaliza hata mwaka unatega!!

Hustle zake zikaishia kumfikisha South Africa though kwa wakati ule hiyo kufika South yenyewe haikuwa jambo dogo manake SA ilikuwa ndo main gateway!!

Anyway, Le Mutuz anaweza kuwa Hustler kwa watu wa kariba yake lakini he's not even near na hustlers wetu huku Uswahilini!
 
Nshaelewa maana yake sasa!! Na kwa nini anaitumia
 
PART 14: "MY AMERICAN EXPERIENCE"l


baada ya Mwaka mmoja nikaanza kuwa sawa Kimaisha nikawa ninaishi kwenye Apartment nzuri Vyumba Viwili kazini kwangu Bosi wangu mmoja akaniuzia Gari aina ya JETTA VOLKSWAGEN kwa Dola 3,000 ndio gari zilizokua zinakubalika sana na Vijana kule Downtown Manhattan na Harlem ilikua ni ndogo na ina uwezo wa kufunguka juu ikabaki wazi na mtaani at 3RD Street kulikua na Kinyozi maarufu sana kwa jina la rntaani BASE au BEzo

nusu Mjamaica nusu Mmarekani na yeye alikua na gari kama yangu tulikutana Car Wash tunaosha magari akanialika Shop yake nikaenda pale nikawakuta Vijana wengi sana Mabitoz wengine kati yao wakaishia kua Big Stars like Heavy D, AIbsure, Doug Fresh, Smooth Smith, na Fred Reid hawa wote walikua na magari kama langu.



i was thrilled cause maisha yangu yote nilikua napenda UNIGGA na there was with real Niggazz Mungu alinijalia urefu ambao ndio ugonjwa wa Niggazz wanapenda watu warefu Bezo akanifundisha kwenda GYM kubeba vyuma kufumba na kufumbua l was almost like a Nigga kifua kikubwa mistari ya kunyoa kichwani.halafu Bezo akanisaidia kuitengeneza gari yangu kwa kuivalisha ngozi juu na black chini nikanunua Rim za bei mbaya sana na mataili makubwa nikafunga mziki wa ajabu ndani ya gari wallahi l was a Nigga .


nikanunua vyombo vya Disco cause siku zote hapa Bongo nilikua ninapiga Disco kwenye maharusi na sherehe so nikaanza rasmi kupiga Disco ljumaa na Jumamosi at Kilimanjaro Club at 24TH Street Downtown 2Nd Floor so now I was a full Nigga cha msingi nikawa nakubalika na Niggaz wenyewe kwamba ni Muafrika tofauti na infact wakawa wanakataa kabisa kua mimi sio Muafrika.


l felt great nilidhani ni achievement kubwa kukubalika na Niggaz so nikaanza kujitenga kabisa na Wabongo infact nikaanza kuwakimbia nikiwa ona hakuna Mbongo niliyemruhusu kujua ninapoishi au kazini kwangu nikaanza kuwachukia kabisa Wabongo so now l was a Nigga na nilikua tayari nime recover mshituko wa my first date in USA Ericka aliyefariki ghafla na HIV l was ready kuanza Dating again jina langu mtaani lilikua "SHAKA ZULU" hahahaha 100% disconnected na Wabongo na was living large nikanunua BMW 540 Series nikawa na magari 2 ya kifahari!..ITAENDELEA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…