We're even man... na hata hapo uliposema tafsiri ya mafanikio, of course, kila mmoja na tafsiri yake!! Na mwenyewe ni kweli anajiona keshatoboa... and it's okay!
Nadhani wengine kinachotusumbua ni ile kuona umri wake umeenda lakini ndo kwanza leo hii anahangaika na v-blog kazi ambayo inaonekana it's fit for Millennials. Hatuioni kama ni kazi ambayo mtu anaweza kujivunia! Lakini kwangu naona like wtf! Yaani huyu mzee kaamua kula sinia moja na vijana na kwa staili yake!!
Ah! I bow down....
Na tunaweza kumchukia tupendavyo but ukweli ni kwamba, the old man is happy na ndio maana amechagua kuishi apendavyo yeye na sio what the society expects him to be!
Na mimi nikizeeka, nataka kuwa kama Le Mutuz 😀😀😀 na kwavile nishaanza kuzeeka zeeka kwa mbali, naanza kupiga jaramba!!!