Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

aliona masihara nafikiri, amemzaa mtoto kipenzi, akamtelekeza 30 good years, ameteseka moyo hadi amechoka, afu mtu anakuja na mabringbring anasema njoo uishi kinyerezi, yeye alikuwa anahitaji majumba yako au uwepo wako? angelijua utamtelekeza miaka yote iyo ulipokuwa mtoto si angekuflush tokea tumboni tu wewe? dah?
 
Kaka naona hapa umepotea kwa kurefer somo la Geography form 3..... Kwa sisi tulosoma Soil mechanics ndo tunaijua hii kitu..... hapo kuna kitu inaitwa Settlement na consolidation that has nothing to do with soil profile. Hivo wale wananchi wako sahihi kumshauri hvo.

Ukitaka elimu zaidi kuhusu soil behaviour usiache kuniuliza
 
Astaghafirulilah!!
 
- hahahaha naona unajitekenya na kucheka mwenyewe what is your point so far? hahahahahahahha

le Mutuz
yaani wewe una miaka zaidi ya 50 mamako katelekezwa namna hiyo, unakuja tu kumjengea kaburi halafu unaona kawaida tu na bado unaniambia una akili kubwa, mbona unataka turudi tena kwenye malumbano? wewe wale watoto wako US wakikutelekeza au hivyo unavyokuwa hauwaoni haujisikii vibaya? uje uwaone after 30 years,....
 
Hapo ni Tunduma ujue

- Kabla sijaenda kumuona after Miaka 31 nilikua nimepigiwa kelele sana so nikaamua kwenda kumuona baada ya kupata nafasi kwa mara ya kwanza nikapiga picha mwenyewe na kuzi post yakaanza makelele, ila ninasema ni bora makelele haya kuliko yale ya zamani kabla sijamuona, ila all and all ninamshukuru Mungu sana kwa kunipa nafasi ya kumuona na kumzika, maana kule Majuu nimeacha jamaa kibao ambao hawakupata hiyo nafasi,

- Majuu nilikua ninapigania maisha yangu na nilimuomba sana Mungu anisaidie maana nisingemsaidia anyone kama mimi mwenyewe sikua sawa na ni sheria ya maisha nimekuja kuitumia all my life mimi kwanza mengine baadaye!

le Mutuz
 
- Alisema hawezi kuacha makaburi ya ndugu zake Tunduma, nikaamua kununua nyumba Mbeya mjini akaishi bado akakataa well sio muhimu sana ila nahisi nimekusaidia.

le Mutuz
wewe kama una akili kubwa, unafikiri kwanini alikataa? alipougua na kufariki ulikuwa karibu naye? angekupa wosia wa mwisho pengine hata hizo aibu usingekuwa unazipata. akili yakawaida inaonyesha hakuhitaji majumba wala mipesa, alikuhitaji wewe mtoto wake. naomba niishie hapo nisije kukuumiza moyo.
 

- Nikiwa Majuu nimewaona wenzangu wengi walioshindwa kuja Bongo kuwazika Wazazi wao, nilikua ninamuomba sana Mungu anipe hiyo nafasi ikitokea nipo Duniani, ninamshukuru Mungu alinipa hivyo nafasi. Nisingeweza kumsaidia yoyote kabla sijajisaidia mwenyewe ndio sheria ya maisha yangu mpaka leo.

- Watoto wangu ni watuwazima sasa hawahitaji wazazi tena kufanya maamuzi yao, sikutunzwa na baba yangu lakini ni baba yangu mpaka leo we are kool, so sikutaka kumpa nafasi mwanamke asiyejielewa ya kunimaliza kwa kusingizia watoto that is all na mpaka leo ninaishi maisha yangu na wale ni watoto wangu.

- Mara ya mwisho niliwaona walipokuja Bongo na hata nikiwaona kila siku so what? hahahahaha naona huna hoja naomba niruhusu niendelee na mambo yangu maana mimi hua sipendi kuonekana namkimbia mtu never!

le Mutuz
 
vijana tunayo mengi sana ya kujifunza toka kwa lemutuz, mojawapo ni kuwajali wazazi, mwezi ujao itabidi nitenge likizo ya ghafla nikawaone wazazi nikae nao weee nichote baraka aisee, hii tabia ya kutelekeza wazazi kwa kisingizio kwamba tunatafuta maisha itabidi tuache. wazazi wanaumia moyo, wanatuhitaji kutuona lakini wapi....dah aisee.
 
well, naona sasa unaongea point. haukuwa kwenye nafasi kumsaidia, period! nakubaliana na wewe. tufunge mjadala, sipendi kujadili hili jambo naona linaniuma kama la kwangu vile!
 

- Inaelekea ulikua unamjua mama yangu kuliko mimi maana aibu hata baba yangu ameipata sana kwenye maisha yake ya siasa ndiko hasa nilikojifunzia kupuuzia ujinga wa maadui maana niliona baba yangu mzazi akishambuliwa na MWalimu lakini alikua akicheka,

- Mama yangu mzazi nikiwa mdogo siku moja aliingia chumbani kwangu kwa bahati mbaya sana akakuta pesa nyingi sana enzi hizo Bongo, alishangaa sana akaniambia maneno yafuatayo "William unapenda maishaa makubwa sana, uatayapata ila yatakugharimu sana" sijasahau mpaka leo maana ninalipia gharama kubwa sana maisha ninayotaka.

- Unaweza kuniumiza moyo labda nikiwa nimekufa sio nikiwa mzima hahahahaha huwezi wameshindwa wengi sana kabla yako!

le Mutuz
 
OK bro, tuongee mengine tafadhali. sorry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…