- Nikiwa Majuu nimewaona wenzangu wengi walioshindwa kuja Bongo kuwazika Wazazi wao, nilikua ninamuomba sana Mungu anipe hiyo nafasi ikitokea nipo Duniani, ninamshukuru Mungu alinipa hivyo nafasi. Nisingeweza kumsaidia yoyote kabla sijajisaidia mwenyewe ndio sheria ya maisha yangu mpaka leo.
- Watoto wangu ni watuwazima sasa hawahitaji wazazi tena kufanya maamuzi yao, sikutunzwa na baba yangu lakini ni baba yangu mpaka leo we are kool, so sikutaka kumpa nafasi mwanamke asiyejielewa ya kunimaliza kwa kusingizia watoto that is all na mpaka leo ninaishi maisha yangu na wale ni watoto wangu.
- Mara ya mwisho niliwaona walipokuja Bongo na hata nikiwaona kila siku so what? hahahahaha naona huna hoja naomba niruhusu niendelee na mambo yangu maana mimi hua sipendi kuonekana namkimbia mtu never!
le Mutuz