Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Tika boye na makambo
 
Nc nmepata somo fulani hapa asante sana kwa maneno mazuri
 
Nahisi alikuwa anatuonea aibu rafiki zake kutuambia kama kweli lemutuz kamkula ila tulikua tunambishia mbona lemutuz hana hiyo kashfa kama ingekuwa kweli tungeshasikia
Ana majanga yake, lakini kadudu kake anajua kukatumia haaa haaa
 
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Achana na maneno ya Martin me sijayasikia hayo aliniambia Nuru mwenyewe alisema kisa cha kuachana we na yeye ni hiyo kitu

- Hapana unamsingizia Nuru hawezi kusema hivyo maana alikua anagombana na ndugu zake kwa ajili yangu hakua anajua kua simfanyi kitu? Unajua nilipoanza kumdate yeye nilikua nimemuachaa nani? ambaye waligombana sana muulize vizuri please hahahahahahaha!

le Mutuz
 
Ana majanga yake, lakini kadudu kake anajua kukatumia haaa haaa
Yaan wit walikua bene bene tukienda sehemu lazima tumuone nuru na mbebez wake mwisho wa siku tupo na nuru le mbebez akaja kwa bahati mbaya tu wakasalimiana juu juu tu ndio kumuuliza vipiii kwani mmeachana ooh nimeachana nae hadi..... tukaguna wote tukamwambia hiyo kashfa hatujawahi sikia kwa lemutuz
 
Sasa lemutuz naanzaje kumsingizia kama alisema hajatembea na wewe
 

- No way haya ni yenu Nuru hawezi kusema hayo, hata kama alisema ni uamuzi wake ila i have dated so many women ambao wangeshasema hahahahaha

le Mutuz
 
- Kwanza wapo watu wanaishi humo na kama angekubali kuhamia ningeitengeneza alipokataa nikaicha maana sina shida nayo, infact mpaka leo naitafutia mnunuzi maana siiitaki ipo karibu sana na Familia ya my ex ndio maana nimeicaha kama ilivyo.

le Mutuz
😱😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…