Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

You lemutuz a big elephant kwa nn unahangaika na sisimizi bullshit him
 
Almanusura niulize kuwa hiyo ID sio ngeni kwenye kesi zako humu JF ....naonaga anaingia deep sana kuhusu wewe...

Wille una maadui wengi asee
 
Am keeping intouch wit yo man in you upcoming stories
 
Am keeping intouch wit yo man in you upcoming stories

- Leo ilikua siku ya mambo ya uchaguzi ndio maana unaona watu wengi wana hasira hapa unadhani nii hii thread hahahahaha wanashindwa tu kusema ni hasira za uchaguzi hahahahahahaha anways guys naomba mnipe nafasi niende kusudi niendelee na "MY AMERICAN EXPERIENCE" au mnasemaje nimejibu maswali yote bila kukwepa mmeridhika guys au bado?

le Mutuz
 
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
- Ni kweli alizaaa na baba yangu msichana ambaye alijiua baadaye, now naomba kuuliza makosa yangu ni nini hasa mpaka kuhusishwa naye? hahahahahahhaha

le Mutuz
Hakuna kosa lolote ulilofanya, ila ungemuelezea kama Dada yako, and what u learn through her before she died, only this
 
Andelea na story bwana achana na hao ndezi wasiojielewa.
 
Aisee hii tabia yako ya kujinadi et unaakili kubwa embu achana nayo.

Sijaona ukubwa wa akili yako.

Tena nilicho kugundua haupo Smart kabisa katika mambo yako
 
Leo tunakomaa na wewe hadi asubuhi, hakuna cha kwenda double tree kula batazz.....

Kumbuka na Neema a.k.a Case anashusha ndude badoo
 
Aisee hii tabia yako ya kujinadi et unaakili kubwa embu achana nayo.

Sijaona ukubwa wa akili yako.

Tena nilicho kugundua haupo Smart kabisa katika mambo yako

- hahahaha ni mawazo yako mtu mmoja hayanisumbui wewe una akili zako na mimi nina zangu, ninaziamini zangu ni kubwa sana eti una tatizo?

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…