Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Huyu ni mtu mmoja mbona nyie ni washakunaku sana.. hamjawahi ona camera za kisasa zinavyoweza mbadili mtu.. sasa yeye atuongopee ili iweje?? Kwa mshahara upi akiongopa.?
Sio washakunaku
 
28377756_894853064030426_1647713000675833766_n.jpg


- Ni Camera tu ndugu yangu lakini mtoto amesimama si unamuona? hahahahaha hicho kimama kinalia lia sana ila maisha yanasonga mbele hapa hayasimami never!

le Mutuz
Dah kweli wanawake wana huruma
 
upload_2018-2-22_21-34-27.jpeg

PART 35:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Nilipofika USA nilikua nimeamua kuachana na Ubongo pamoja na kudate Wabongo nilikataa kata kata my thinking on Wabebez wa Kibongo was shaped nikiwa Bongo kwamba wengi wao Wazuri ninaoweza kuwapenda wanapenda pesa I was a Champion kabla sijaondoka Bongo kwa sababu nilikua na pesa kidogo so sikuwahi kua na tatizo nao kuwapata na wazuri lakini nilikua ninajua wanazimikia pesa ila Majuu ni tofauti I was stunned...

Mbebezz wa Kimarekani kwanza hasumbui ni Black and White ukimchorea mistari anakuambia kama anakuzimia au hapana mapema sana now akikukubali mnaenda Dinner analipa yeye na always anakua na Apartment yake na kazi nzuri hakuombi pesa NEVER labda uamue mwemyewe kumpa na ukimpa anakushangaa za nini? siku ya Birthday yako atahangaika kama ni yake I mean atachoma pesa zake bila kujali Mwanamke wa Kimarekani mapenzi ni mapenzi kweli halafu nilichokua nawazimia sana wakifikia siku zao za Mwezi hawakuambii ni MWIKO kwa Culture yao atakukwepa sana zile siku na mara nyingi hua wanaenda out wanawake watupu wanaita "GIRLS OUT" ni mwiko kukuonyesha hata dalili Mwanaume kua yupo kwenye siku as opposed na wabebezz wetu utasikia nalisikia tumbo hahahaha U know..

HOWEVER nilishajifunza kua Dating American ni fun ila sio kumuoa ukiwaoa wanakua wagumu sana kuelewana nikaingia dilemma lakini nilishaamua sitaoa Mmarekani lazima nioe Mbongo nikaanza kujipa moyo kuna sio Wabongo wote ni Mcharuko wapo waliotulia lakini nitampata wapi cause Wabongo wabebezz wote niliokua nawajua pale New York nilikua nimesha wadharau kua hawafai na nilisha sema wazi in the public wakawa wananichukia sana.siku moja My Sister Mwendwa akanipigia simu tena alihangaika sana mpaka akaipata namba yangu akazidi kunisihi niongee na yule Msichana niliyekua namkataa kata kata ...

Well somehow siku moja nikaamua kumsikiliza na nikakubali kuongea naye akaniomba sana msamaha kwa yaliyopita na kwamba she was ready to be my Wife baada ya kumaliza kuongea naye nikaamua tena kubadili mawazo nikabadilisha namba yangu tena ikapita Miezi kama 3 siku moja nikaamua kumtafuta tena mwenyewe nikampata nikamwambia namtumia tiketi aje New York kwa Wiki moja aone maisha yangu kwanza..

ITAENDELEA
 
Mkuu Bibilia inasema "ajionavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo", km umemfatilia vzr amekubali kuwa alifeli mission zake na sababu kubwa ni akiri yake kubwa. Me nmemsoma toka mwanzo kuwa alitaka kufanya makubwa bila hata support ya mtu lkn akafeli. mf. ubaharia ambao ndo ilikuwa ndoto yake kubwa ikafail, Maisha ya marekani pia akaamua kusepa baada ya kuona hali ishakua tete. Sasa km anajiona yupo hvyo, wewe pia huna sababu ya kumpinga kwakua na wewe ni mwanadamu km yeye na unaona km anavyoona yeye. Sio wote wanaofeli shule kuwa hawana akiri na sio wote wanaofail maisha kuwa hawana akili, inategemea na sababu. Mfano mtu km dr shika watu wakaanza hadi kumdhihaki, kumsemea maneno ya dharau, waandishi wanamuuliza maswali ya kebehi. Sisi ni masikini hadi wa akiri zetu, hatuna subra, ni watu wakukurupuka. Sisemi km nakubaliana na Lemutuz ya kuwa anaakiri kubwa bali nilikuwa natoa angalizo tu kuwa hapa duniani lolote laweza kukutokea, kunawatu wamesoma hadi ulaya wamerudi wamepagawa na hakuna cha maana walichokifanya na accademic wapo vzr na unajiuliza wamepatwa na nini?
Well said mkuu!
 
Dah

Kumbe huyu bro.no kumbe huyu baba ana umri Wa Mzee wangu salute kwako mkuu..

Story tamu na napenda jamaa anajiamini na anaprnda maisha yake
 
Tonnes of flesh and teeth on display here. Mr Ambassador's gigantic noggin must be the size of a 15 kilo watermelon and is even shaped like one.
Ndjabu Da Dude ...your level of thinking and perceiving things is very shallow. It is imbecility and utter stupidity to judge people by their looks! Did he chose to have that "noggin" of his? He was born that way, so why are you mocking him? Do you think its funny? C' mon man, man-up and get a life looser!
 
We nawe acha ufala sio kila mtu ni x wa Lemutuz,huyo Le Kibamiazi anajishtikizia kila dakika na wakati maisha yake yote ya mitandaoni yani like an old public joker,Mimi ningekuwa huyo mke wake unafikiri ningemuexpose kiasi gani na siri zake zote na miaka yote walioishi?Me Kibamiazi aache kujishtukizia na kumchafua X wake ambaye hana hata time naye.
Sasa kama X-wake hana hata time na Le Mutuz, mbona wewe unamchafua kwa kutumia picha za x-wake?? Maisha ya Le Mutuz na x-wake yanakuhusu nini wewe? Au wewe ndiye yule "shetwani" Mange Kimambi na IDs kibao humu JF?
 
Mkuu sikutaka kukoment hapa lakini mabandiko yako yamenifanya nicomment.

Lemutuz nimemfaham tangu 2007 nimeingia humu. He is an independent thinker. Hate him like him. He lives his life. Tumeanza naye humu tukiwa Jambo forums. He has evolved but never lost his spirit.

Umeongelea sana swala la mama yake. Umelaumu mpaka kuimagine kwamba kuna nati zimelegea kichwani. Bro. All I can tell you Mimi Le mutuz namuelewa sana. Tena sana. Because I have that experience. Unfortunately wengine sisi siyo Watu Wa mitandaoni. Lakini Kama ningekupa hata robo ya story yangu ungemuelewa mshua.

Mambo ya familia in very complex sana. Hivi kwa nini usijiulize kwa mtu aliyekuwa Ana access ya kwenda UK Kama anavyotwambia Le mutuz afike ile level ya kuishi Tunduma kwenye Yale maisha? Kama picha zinavyoonyesha? Shughulisha ubongo kaka. Iam sure kuna mengi hapa Le mutuz hajayaongea kwa staha ya familia na yeye mwenyewe. Lakini Kwangu Mimi I can bet kwamba there was something wrong within the family. Na jamaa ameongea several times..alikuwa nje anapambana Hana makaratasi? Atumie lugha gani tumuelewe? Nimeishi ughaibuni namuelewa.

Le mutuz is a gentleman. Kama umegundua hajawahi kumlaumu yeyote kwa failure au success ya maisha yake. To me this is the truest level of maturity. Wengi tunapenda kusingizia wengine kwa issue zetu. Ameavoid hicho kitu sana.

Mkuu Mfano mdogo.....(am sorry to write this but nataka atleast upate mwanga)..before I did anything in life.....even before I bought a plot of my own.......I spent more than 100+M kumjengea mzazi wangu nyumba. I mean proper house. Leo hii anaishi kwenye chumba cha kupanga .....kodi hardly 20k. My point is tuliopitia hizi changamoto za kifamilia tunamuelewa sana Lemutuz. Again humu wako wengi na experience mbali mbali. Juzi kati jamaa yangu kafiwa na mama yake Dar. Yeye yuko ughaibuni..alitwambia....nyinyi zikeni tuu. Alikataa kuja. Ofcourse kwa Watu wenye mawazo Kama wewe in rahisi kuanza blame game kwamba jamaa ana matatizo. Hamsaidii mzazi. Nk....In such situation...nitafanyaje? Will simply ignore you. Maana you don't know niliyoyapitia. Besides Nina hakika in wachache sana humu JF or Tz wameitumikia hard earned resources kuwatengenezea mazingira wazazi..I mean Kama kuwajengea nyumba za kisasa. Hata kabla hawajajiandalia maisha! I know kwa sababu Nina wengi Leo hii wanaweza kunilaumu but I know they have done nothing kuwasaidia wazazi wao as I did. Even before I had anything I call my own!

Ushauri wangu Kama bado una wazazi na unaelewana nao mshukuru Mungu sana. Wengi humu tumepambana lakini hao hao wazazi wametutenda than you will ever know.

Again, Le mutuz siyo mkamilifu. Ana mapungufu yake mengi Kama wengi wetu humu. Lakini hili swala la mzazi wake ningeshauri wasio na experience...lipotezeeni. I have been there and have many examples ya Watu ambao hata wazazi hawasalimiani. It pains a lot. Especially Watu Kama nyinyi msiojua hiki wala lile....you simply come here na blames. Familia zina mengi sana mkuu. Ukiona mtu Kama Le mutuz kuamua kuja open na story yake as he did.......jua he has seen it all. Amepitia tanuru la moto ambalo in wachache humu tungeweza.

Peace and respect bro!
I couldn't agree more mkuu Masanja , you have nailed it. Kudos bro!
 
Ndjabu Da Dude ...your level of thinking and perceiving things is very shallow. It is imbecility and utter stupidity to judge people by their looks! Did he chose to have that "noggin" of his? He was born that way, so why are you mocking him? Do you think its funny? C' mon man, man-up and get a life looser!

What judgment? What's the matter with you? Why are you so riled up like that? Fag! Guess who's passing judgment now...the bi.tch that stares back when you look yourself in the mirror.
 
Back
Top Bottom