Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Mkuu zipo mpaka 35 we pitia tu utaonaLe Mutuz please stori yako ya The American Experience mbona humu Jamii forum hujaendeleza.Mwisho ni mpaka part 28.Tafadhali weka humu part 29 na kuendelea.
Hoja yako ina mashikoNathibitisha hiyo ni STORY ya uongo ya huyo LEMUTUZ,, huwezi kuacha kazi na kuwa homeless,,,, jobless,, marekani.... Pili kaacha,, kazi hana hata senti kumi,, wakati alikuwa analipwa madola kibao KILA MWEZI.. .. Sasa,,, iweje..,,, anaingia marekani bila pesa,, na mlala nje.....
Swala la kumkosa mwanae kwa muda wa miaka thelathin think lilitosha kumvuruga Bibi yetu,j iulize,alibeba Mimba ya Le kokobanga Nye Nye,miezi Tisa ,akamlea mtoto peke yake,akampeleka shule,baadaye mtoto akamkimbia akenda kupanga chumba YMCA,baada ya hapo akamkimbia kabisa na usimuone 30 years,kwanini huyu mama asiuze kila kitu ukonga akarudi kulinda makaburi kwa kuamini kwamba mizimu ya Babu yake imechukia?Mama wa watu alifrastrate,alivurugwa kwa kumkosa mwanae na asijue kama alimkosea ama la.Kuna mama alikufa kwa shinikizo la damu baada ya mwanae kukataa kuoa.Hivi Le nye-nye ,ndo mtoto pekee wa huyu mama?
Very much so, Sir. Long as you keep your mouth running and the dirt flowing: thread's entertainment value is guaranteed.
Le mutuz mbona hujaendelea jomoni?- hahahahahahah you are killing me hahahahahhaa
le Mutuz
Mkuu sikutaka kukoment hapa lakini mabandiko yako yamenifanya nicomment.
Lemutuz nimemfaham tangu 2007 nimeingia humu. He is an independent thinker. Hate him like him. He lives his life. Tumeanza naye humu tukiwa Jambo forums. He has evolved but never lost his spirit.
Umeongelea sana swala la mama yake. Umelaumu mpaka kuimagine kwamba kuna nati zimelegea kichwani. Bro. All I can tell you Mimi Le mutuz namuelewa sana. Tena sana. Because I have that experience. Unfortunately wengine sisi siyo Watu Wa mitandaoni. Lakini Kama ningekupa hata robo ya story yangu ungemuelewa mshua.
Mambo ya familia in very complex sana. Hivi kwa nini usijiulize kwa mtu aliyekuwa Ana access ya kwenda UK Kama anavyotwambia Le mutuz afike ile level ya kuishi Tunduma kwenye Yale maisha? Kama picha zinavyoonyesha? Shughulisha ubongo kaka. Iam sure kuna mengi hapa Le mutuz hajayaongea kwa staha ya familia na yeye mwenyewe. Lakini Kwangu Mimi I can bet kwamba there was something wrong within the family. Na jamaa ameongea several times..alikuwa nje anapambana Hana makaratasi? Atumie lugha gani tumuelewe? Nimeishi ughaibuni namuelewa.
Le mutuz is a gentleman. Kama umegundua hajawahi kumlaumu yeyote kwa failure au success ya maisha yake. To me this is the truest level of maturity. Wengi tunapenda kusingizia wengine kwa issue zetu. Ameavoid hicho kitu sana.
Mkuu Mfano mdogo.....(am sorry to write this but nataka atleast upate mwanga)..before I did anything in life.....even before I bought a plot of my own.......I spent more than 100+M kumjengea mzazi wangu nyumba. I mean proper house. Leo hii anaishi kwenye chumba cha kupanga .....kodi hardly 20k. My point is tuliopitia hizi changamoto za kifamilia tunamuelewa sana Lemutuz. Again humu wako wengi na experience mbali mbali. Juzi kati jamaa yangu kafiwa na mama yake Dar. Yeye yuko ughaibuni..alitwambia....nyinyi zikeni tuu. Alikataa kuja. Ofcourse kwa Watu wenye mawazo Kama wewe in rahisi kuanza blame game kwamba jamaa ana matatizo. Hamsaidii mzazi. Nk....In such situation...nitafanyaje? Will simply ignore you. Maana you don't know niliyoyapitia. Besides Nina hakika in wachache sana humu JF or Tz wameitumikia hard earned resources kuwatengenezea mazingira wazazi..I mean Kama kuwajengea nyumba za kisasa. Hata kabla hawajajiandalia maisha! I know kwa sababu Nina wengi Leo hii wanaweza kunilaumu but I know they have done nothing kuwasaidia wazazi wao as I did. Even before I had anything I call my own!
Ushauri wangu Kama bado una wazazi na unaelewana nao mshukuru Mungu sana. Wengi humu tumepambana lakini hao hao wazazi wametutenda than you will ever know.
Again, Le mutuz siyo mkamilifu. Ana mapungufu yake mengi Kama wengi wetu humu. Lakini hili swala la mzazi wake ningeshauri wasio na experience...lipotezeeni. I have been there and have many examples ya Watu ambao hata wazazi hawasalimiani. It pains a lot. Especially Watu Kama nyinyi msiojua hiki wala lile....you simply come here na blames. Familia zina mengi sana mkuu. Ukiona mtu Kama Le mutuz kuamua kuja open na story yake as he did.......jua he has seen it all. Amepitia tanuru la moto ambalo in wachache humu tungeweza.
Peace and respect bro!
Walipendana sana ndo maana hawaachi kufuatilianaLemutuz mlikuwa mnapendana sana na mkeo na ulikuwa unampenda mnoooo sijui shetani gani alipita kati mpaka mmekuwa chui na paka
Story na iendelee
Na mpaka sasa watakuwa wanapendana sana ujue mkiunganisha damu ni ngumu muachaneWalipendana sana ndo maana hawaachi kufuatiliana
Yes ni kweli unavyosema, mpaka sasa bado wanapendana sana ila kuna mmoja na nafikiri ni Le kokobanga ndio ameamua sasa basi na hapo moto ndio unapowaka na kashfa kibao.Na mpaka sasa watakuwa wanapendana sana ujue mkiunganisha damu ni ngumu muachane
Jaman wamshindwe shetaniYes ni kweli unavyosema, mpaka sasa bado wanapendana sana ila kuna mmoja na nafikiri ni Le kokobanga ndio ameamua sasa basi na hapo moto ndio unapowaka na kashfa kibao.
Le koko hatakiJaman wamshindwe shetani
Nilitizama pua na katikati ya pua na mdomo nikaona zinaendana kwa upeo wangu ni mtu mmojaHuyo ni mtu mmoja mkuu, ukitaka kupata uhakika wewe angalia pua, lips na macho. Usiangalie nywele wala rangi ya ngozi, rangi ya ngozi imebadilishwa kwa "photo-shop".
This sums up everything-Great thinkers wengi humu naona akili uishia ndani ya box-they just cannot grasp the bigger pictureWatu wagumu kuelewaz alishasema hakuwa na makaratasi ya kurudi tz
Wagumu sana kuelewa mkuu; sie tulioko huku ndio tunaelewa kuna watu huku anapoteza mama, baba na ndugu lakini kwa vile hana papers anakomaa tu anawaambia huko wazike tu atakuja kuhani misiba. Maisha na yanaendelea, Le kokobanga ana mapungufu yake lakini ukisoma hii story from 1 hadi sasa 37 utamuelewa sana. Nafikiri anataka kuweka record straight he lives his life.This sums up everything-Great thinkers wengi humu naona akili uishia ndani ya box-they just cannot grasp the bigger picture
Anyone who laughs at and mock others because of their looks, is an imbecile low-life moron. Get a life looser!What judgment? What's the matter with you? Why are you so riled up like that? Fag! Guess who's passing judgment now...the bi.tch that stares back when you look yourself in the mirror.
Oa kibibi cha kizee upate paper weweWagumu sana kuelewa mkuu; sie tulioko huku ndio tunaelewa kuna watu huku anapoteza mama, baba na ndugu lakini kwa vile hana papers anakomaa tu anawaambia huko wazike tu atakuja kuhani misiba. Maisha na yanaendelea, Le kokobanga ana mapungufu yake lakini ukisoma hii story from 1 hadi sasa 37 utamuelewa sana. Nafikiri anataka kuweka record straight he lives his life.