mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
I love u more le mbebe
Unajua hawakujua ungeondoka .walijua ungebaki wale mshahara wako kilaini.ahahaaa le akili kubwa uliwaachiaje majanga ahahaaaa uliwaachia manyoya kuku ukala.
Ila pole kwa yote bro. Ila tulia sasa weka mbebe mmoja ndani ule maisha .ukikosa mbebe nitafute siko vibaya kiivo nalipa lipa japo muhenga
Ahahaaa ngozi yangu baado sana kusuguaLe mutuz anataka Teens au Twenties, we humfai mkuu. Hataki ngoz ngumu et kusugua hadi uwe na kikusu au msasa! Anataka nyama laini km mapupu
Mkuu ukinitukana ya kingreza hayaniumi mana hata sielewi unamaanisha nini maskini...
Ai saluut yu Braza kozi yu a e rili difinisheni ofu' hasela.- Thanks boss kwa kunielewa love U!
le Mutuz
Kazi itakupata........naona bampa to bampa na episode toka mwanzo na shurti na kutia vionjo [emoji12] [emoji12]Huyu sio yule mwanzo Jackie huyu mwingine le mbebezi unajua kuchagua
Mzee baba kwanza heshima yako aisee, kile kitu ni cha ukweli kaka,- Kule Instagram tumefikia 58 naona waliokua wanaleta sasa wanasua sua maana hamna mashimo ya kushindana nayo walikua wanaleta kila siku kwa sababu walitaka ishambuliwe, lakini ni ngumu sana kushindana na ukweli ndio maana wamekua mabubu ghafla hahahahahhaa!
le Mutuz
Kazi ipii tena uzi ukiwekwa lazima uchangiweKazi itakupata........naona bampa to bampa na episode toka mwanzo na shurti na kutia vionjo [emoji12] [emoji12]
AhahhahaahHuyu wa hatare balaa
Le mtuzi hapa nimekuelewa sana....View attachment 702927
PART 47:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Ninarudia tena unapokua kwenye matatizo ya msongo wa mawazo hakuna binadam mwenye Uchawi wa kukusaidia kuondokana nao kwa haraka ni kwamba binadam tumeumbwa na uwezo tofauti wa kufikiri..binafsi maisha niliyokulia yalinifanya nijifunze mapema namna ya kukubali ukweli sijawahi kuukwepa wala ku ignore the truth never! ndio maana mimi huwezi kuniona wala kunikuta popote nisipotakiwa. Sihitaji kuambiwa nikishaziona dalili natafuta njia ya kujiepusha haraka sana hua kuna maumivu lakini kwa kawaida ni madogo sana kulinganisha na ya kuukataa ukweli..
Wanawake siku zote huwa kuna binadam mmoja wanayemtegemea sana na hua ni Mwanamke mwenzao wanayemuambia siri zao zote wanapokutana na a strongman huwa wanafurahia sana lakini only to come and realize kua he is too strong hana makosa mengi so ni vigumu kumtawala so huanza kutafuta ushauri kwa wenzao ghafla Mwanaume waliyekua wanamsifia kua ni mzuri sana kwa ajili ya kutafuta support au justifications za kumuacha kwa sababu ni too strong to be Controlled wataanza kukutengenezea kesi kwa yule wanayemuamini mwisho watapata support wanayoitaka na kuanza kuongea na Spare ..
Now seriously a spare man hana kazi sana zaidi tu kuonyesha huruma kwa Mwanamke ambaye anatafuta Comfort. Atajifanya kushangaa sana jinsi yule strongman anavyom treat na kwamba yeye hawezi kumfanyia vile. Now kwa vile Mwanamke ameshasema mwenyewe asiyotaka na anayotaka kufanyiwa , spareman atapigana kuhakikisha anayafanya hata kama sio tabia zake cause in the quest ya kum prove wrong a strongman Mwanamke ataingia gharama yoyote hata kutumia pesa kuwa na spareman. ....
Siku zote ni a temporary thing cause Mwanamke aliyezoea kuwa na strongman hawezi kuishi na just a spareman HAWEZI sooner or later ataanza kumkumbuka a strongman cause ni almost impossible to replace a strongman with a Weak man isipokua kuna tatizo la EGO Mwanamke wenye akili atagundua kua alifanya makosa na kutafuta njia ya kumrudia a Strongman au kutafuta mwingine strongman lakini mwanamke mjinga ataongozwa na ego na kujifanya yupo Happy na spareman lakini ataanza tabia za kunywa pombe sana na kufuatilia kila siku habari za Mwanaume wake wa zamani! ..ITAENDELEA
Naona umezimwaga zote lete kama mwanzo jamanMzee baba kwanza heshima yako aisee, kile kitu ni cha ukweli kaka,
Unafaidi sana Braza, yaani unaweza kujikuta siku nzima unashinda nacho ndani tu huendi hata job.
Pili mimi nikizileta humu from insta sio kama naleta ili ushambuliwe kaka, no bali naleta kidogo kidogo ili wapate kuzisoma kwanza kila episode n akuielewa kuliko kuzimwaga episode zote hapa nyingine hazitasomwa sasa.
Mzee baba kwanza heshima yako aisee, kile kitu ni cha ukweli kaka,
Unafaidi sana Braza, yaani unaweza kujikuta siku nzima unashinda nacho ndani tu huendi hata job.
Pili mimi nikizileta humu from insta sio kama naleta ili ushambuliwe kaka, no bali naleta kidogo kidogo ili wapate kuzisoma kwanza kila episode n akuielewa kuliko kuzimwaga episode zote hapa nyingine hazitasomwa sasa.
Le Mutuz
Mungu azidi kukusimamia na kukuongoza nipo nakusoma Instagram kama kawa