Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le mutuz anataka Teens au Twenties, we humfai mkuu. Hataki ngoz ngumu et kusugua hadi uwe na kikusu au msasa! Anataka nyama laini km mapupu
I love u more le mbebe
Unajua hawakujua ungeondoka .walijua ungebaki wale mshahara wako kilaini.ahahaaa le akili kubwa uliwaachiaje majanga ahahaaaa uliwaachia manyoya kuku ukala.
Ila pole kwa yote bro. Ila tulia sasa weka mbebe mmoja ndani ule maisha .ukikosa mbebe nitafute siko vibaya kiivo nalipa lipa japo muhenga
 
W. J. Malecela huyo binti wa kitajiri, Neema.. Ni yule aliyekuwa akiishi Masaki. Binti wa soldier aliyekuwa na cheo kikubwa?
 
Huyu sio yule mwanzo Jackie huyu mwingine le mbebezi unajua kuchagua
Kazi itakupata........naona bampa to bampa na episode toka mwanzo na shurti na kutia vionjo [emoji12] [emoji12]
 
- Kule Instagram tumefikia 58 naona waliokua wanaleta sasa wanasua sua maana hamna mashimo ya kushindana nayo walikua wanaleta kila siku kwa sababu walitaka ishambuliwe, lakini ni ngumu sana kushindana na ukweli ndio maana wamekua mabubu ghafla hahahahahhaa!

le Mutuz
Mzee baba kwanza heshima yako aisee, kile kitu ni cha ukweli kaka,
Unafaidi sana Braza, yaani unaweza kujikuta siku nzima unashinda nacho ndani tu huendi hata job.

Pili mimi nikizileta humu from insta sio kama naleta ili ushambuliwe kaka, no bali naleta kidogo kidogo ili wapate kuzisoma kwanza kila episode n akuielewa kuliko kuzimwaga episode zote hapa nyingine hazitasomwa sasa.
 
upload_2018-3-1_9-33-6.jpeg

PART 44:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Picha na gari langu la kwanza Jetta VW hahaha...Sheria za USA zinampa Mwanamke nguvu za ajabu sana Kisheria ukishamuoa au ukizaa naye mtoto tu basi Mwanamke anakua na nguvu zote Kisheria juu yako infact anaweza kukufanya Mwanaume uokote makopo au ujiue kwa Majuu ni kawaida sana nilijifunza katika kipindi nilichokaa stand ya basi kua 95% ya homeless in USA hua wanaume waliofukuzwa na wake zao majumbani mwao mke wangu alikosea hilo tu hakufikiria vizuri na waliokua wanamshauri pia walikosea mahesabu akaondoka yeye badala ya kunifukuza mimi ..

Nikajikuta nimekutana tena na Shetani uso kwa uso nikiwa kwenye ndoa. Nilimsaidia mke wangu kwa kuwapeleka USA wadogo zake 2 ambao sasa ndio walioshirikiana kwa pamoja na kufanya mpango huu wa separation na akahamia kwa mmojawapo now dalili za kinachofuatia from my wife zilikua wazi na very clear kua ameamua kua Mmarekani na kutumia Sheria za kule kunikomesha kimaisha. I was almost perfect that sio siri nilikua nachukiwa na Wabongo wengi kwa sababu sikuwahi kuonyesha my weaknesses kirahisi. ilikua ni ngumu kwao kujua kama nina pesa au sina sikuwahi kulalamika matatizo so kwenye mazungumzo yao ya umbeya walikua hawana baya la kunisema but now na the separation kila mtu alikua na furaha sana sana walikua na neno moja sana la "KIKOWAPI?" ...

Shetani was laughing big nikaanza kwenda kazini Saa Nane usiku nikifika kazini naingia parking nalala kwenye gari mpaka asubuhi Ikawashitua Wazungu wakamfahamisha Joe Orlando kua nimeanza kuharibu kazi akaniita ofisini kwake nikamfahamisha kua nina matatizo ya Ndoa the good thing Wazungu wanayajua na kuheshimu sana so Joe akanipa likizo ya Mwezi mmoja na malipo kitu ambacho sio kawaida kwa kazi za USA ni likizo ya Wiki 2 tu lakin ilinichukua miezi 3 kurudi kazini na kupiga kazi kama zamani.

Lakini the damage was done sikua sawa sawa, rafiki yangu wa karibu Mbongo alikua ni mmoja tu Peter Luangisa. Mpaka leo I will do anything for him cause he was always there for me muda wangu mwingi nilikua nashinda kwa Wazungu marafiki zangu ... nikaanza marathon za kumbeleleza mke wangu arudi nikawaomba watu 2 Ubalozini wanisaidie kutupatanisha tukaanza process!

...ITAENDELEA
 
upload_2018-3-1_9-35-32.jpeg

PART 45:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Hii ni picha ya maumivu ya ndoa nikawa mzee ghafla... Maumivu makubwa ya process ya Separation yalikua kwenye watoto. I had raised my kids wakiwa na kila kitu Nyumba kubwa kila mmoja alikua na Chumba chake maisha ya USA mnaweza mkajikuta Baba, Mama na watoto mnalala Chumba kimoja nyumba ni expensive .

Maumivu ya kwanza ya watoto yalianzia kwenda kuwachukua Shuleni nilitakiwa ku park gari Maili moja toka Shuleni watoto wanatembea kwa miguu kuja kwenye gari watoto wakaanza kulalamika WHY? nikawaambia ni uamuzi wa Mama yenu wakaanza kuja nyumbani kwangu lakini mama yao akagoma kabisa wasilale kwangu so ikawa jioni ni lazima warudi walikokua wanakaa ambako walinilalamikia sana kua wanalala chini Sebuleni ...

Majadiliano ya kurudi yakawa magumu sana cause haikua siri tena kua mke wangu alikua anaongea na kukubali lakini akitoka alikua anakwenda kuripoti mahali ambako alikua anakataliwa na kesho akirudi anakua mwingine kabisa nilihisi alikua anaripoti kwa dada yake aliyekua anamuuzia biashara Bongo maana ndiye aliyekua almost Mungu wake na Dada never liked me infact hata tulipokua tunafunga ndoa alipinga sana so now it was her time ...

At some point familia nzima ya mke wangu walikutana na kumuuliza sababu za msingi za matatizo yake alipowaambia wakayajadili na kuona halikuwepo la msingi hata moja kauli ya Familia ikawa rudi kwenye ndoa lakini Dada yake akamgomea na kumshauri asirudi tena sasa ilikua ni Mwaka mzima umefika ..

But siku moja likatokea jawabu rahisi sana likatusaidia kumaliza kila kitu kilichokua kinaendelea ni baada ya mimi kugundua kua kuna Sheria yangu ya maisha alikua ameivunja ndipo siku kila kitu kilipofikia mwisho cause wakati napigania usuluhishi pia nilikua nipo macho sana na kutafuta info za upande wake kwa siri sana siku moja nikaishia kugundua ukweli....

Baba yangu mzazi alitabiri mapema sana kua behavior za mke wangu zilikua ni dalili za kua na Bwana pembeni idea ambayo ilipingwa na ndugu zangu wote na hata mimi mwenyewe... siku moja alikuja rafiki wa kike wa mke wangu kutoka Bongo akafikia kwake nilkua nakutana naye kwa siri sana ananipa info za siri za mke wangu na one day akanipa Bomu! Boom!

...ITAENDELEA
 
upload_2018-3-1_9-42-27-jpeg.702914

PART 46:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Aidha I was a born a strong man au ni maisha ndiyo yaliyonifundisha how to be strong ni tabia yenye uzuri na madhara yake na madhara namba moja ni wale wote wanaokua na inferior complex hua ni wepesi kutafuta njia nyepesi ya kushindana na your manhood kama ni marafiki watatafuta mtu yoyote wanayedhani hakuogopi na kama ni Mwanamke atatafuta Spare pembeni incase ukija kumuacha atapigana sana kukuonyesha kua alishakuwahi zamani ila alikua anakuchora tu so if you think you are a strongman like me then find a way to humble yourself mbele ya mke au mpenzi wako cause once intimidated by your manhood hua wanatafuta the easy alternative na usually wanawake hua hawataki kurudia makosa ya kumpenda tena a Strongman so watatafuta Mwanaume mjinga wa kumuendesha wao sio tena kuwa chini ya Mwanaume ...

My wife akaanza kuongea na mtu Bongo ambaye alikua anamuweka spare incase then huyu Dada akaja akamgundua akaniambia na akanipa evidence za sms zao zinazo onyesha walianza like one month early at Facebook so pale pale nikawaambia wasuluhishi kwamba inatosha SITAKI TENA KUENDELEA NA USULUHISHI. Kwa nini nilifanya vile ni kwa sababu nilijua kua katika kile kipindi cha maumivu jamaa alikua anampa comfort.

Now hata ije mvua ya mawe Mwanamke hamuachi mtu wa namna ile ambaye anaamini kamsaidia sana kumbe all the man was doing ni kumchezea na her own weakness ni kama Wanaume wanapoenda nyumba ndogo michepuko hawanaga tatizo maana Mamen mwenyewe huja na habari zote Mwanamke huzitumia habari hizo hizo kukuchezea akili na kukufanya uamini kua anakusaidia kumbe anakutumia tu ujinga wako mwenyewe tatizo ni Mwanamke hawezi kuamuacha yule mtu hata itokee nini atalilia sana kwamba "HE WAS THERE FOR ME" hahaha

So kama Mwanaume una akili ni wakati wa exit hapo hapo and that is what I did na ni kwa mara ya kwanza in my life nikajifunza kua my life comes first mengine yote baadaye so alipoambiwa kuhusu uamuzi wangu akafurahi sana kwamba haukubadili anything yeye ndicho alichokua anataka so tukakubaliana kuelekea kwenye DIVORCE wakati najaribu kutafakari sana wiki iliyofuatia kikaja kimbunga kipya kabisa kazini kwangu BOOM!

...ITAENDELEA
 
Attachments

  • upload_2018-3-1_9-42-27.jpeg
    upload_2018-3-1_9-42-27.jpeg
    55.2 KB · Views: 396
upload_2018-3-1_9-50-55.jpeg

PART 47:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"

Ninarudia tena unapokua kwenye matatizo ya msongo wa mawazo hakuna binadam mwenye Uchawi wa kukusaidia kuondokana nao kwa haraka ni kwamba binadam tumeumbwa na uwezo tofauti wa kufikiri..binafsi maisha niliyokulia yalinifanya nijifunze mapema namna ya kukubali ukweli sijawahi kuukwepa wala ku ignore the truth never! ndio maana mimi huwezi kuniona wala kunikuta popote nisipotakiwa. Sihitaji kuambiwa nikishaziona dalili natafuta njia ya kujiepusha haraka sana hua kuna maumivu lakini kwa kawaida ni madogo sana kulinganisha na ya kuukataa ukweli..

Wanawake siku zote huwa kuna binadam mmoja wanayemtegemea sana na hua ni Mwanamke mwenzao wanayemuambia siri zao zote wanapokutana na a strongman huwa wanafurahia sana lakini only to come and realize kua he is too strong hana makosa mengi so ni vigumu kumtawala so huanza kutafuta ushauri kwa wenzao ghafla Mwanaume waliyekua wanamsifia kua ni mzuri sana kwa ajili ya kutafuta support au justifications za kumuacha kwa sababu ni too strong to be Controlled wataanza kukutengenezea kesi kwa yule wanayemuamini mwisho watapata support wanayoitaka na kuanza kuongea na Spare ..

Now seriously a spare man hana kazi sana zaidi tu kuonyesha huruma kwa Mwanamke ambaye anatafuta Comfort. Atajifanya kushangaa sana jinsi yule strongman anavyom treat na kwamba yeye hawezi kumfanyia vile. Now kwa vile Mwanamke ameshasema mwenyewe asiyotaka na anayotaka kufanyiwa , spareman atapigana kuhakikisha anayafanya hata kama sio tabia zake cause in the quest ya kum prove wrong a strongman Mwanamke ataingia gharama yoyote hata kutumia pesa kuwa na spareman. ....

Siku zote ni a temporary thing cause Mwanamke aliyezoea kuwa na strongman hawezi kuishi na just a spareman HAWEZI sooner or later ataanza kumkumbuka a strongman cause ni almost impossible to replace a strongman with a Weak man isipokua kuna tatizo la EGO Mwanamke wenye akili atagundua kua alifanya makosa na kutafuta njia ya kumrudia a Strongman au kutafuta mwingine strongman lakini mwanamke mjinga ataongozwa na ego na kujifanya yupo Happy na spareman lakini ataanza tabia za kunywa pombe sana na kufuatilia kila siku habari za Mwanaume wake wa zamani! ..ITAENDELEA
 
View attachment 702927

Le mtuzi hapa nimekuelewa sana....

Nimetoka na kitu hapa mkuu....
 
Mzee baba kwanza heshima yako aisee, kile kitu ni cha ukweli kaka,
Unafaidi sana Braza, yaani unaweza kujikuta siku nzima unashinda nacho ndani tu huendi hata job.

Pili mimi nikizileta humu from insta sio kama naleta ili ushambuliwe kaka, no bali naleta kidogo kidogo ili wapate kuzisoma kwanza kila episode n akuielewa kuliko kuzimwaga episode zote hapa nyingine hazitasomwa sasa.
Naona umezimwaga zote lete kama mwanzo jaman
 
Mzee baba kwanza heshima yako aisee, kile kitu ni cha ukweli kaka,
Unafaidi sana Braza, yaani unaweza kujikuta siku nzima unashinda nacho ndani tu huendi hata job.

Pili mimi nikizileta humu from insta sio kama naleta ili ushambuliwe kaka, no bali naleta kidogo kidogo ili wapate kuzisoma kwanza kila episode n akuielewa kuliko kuzimwaga episode zote hapa nyingine hazitasomwa sasa.

- Nimekusoma mkuu kanyaga twende nimebakiza moja tu ya 70 ya mwisho, kanyaga twende!

le Mutuz
 
Dah
Le mutuz ulipitia kipindi kigumu sana wakati wa mikwaruzano na mkeo
Mungu ana sababu zake sana haya mambo ya kusikiliza watu unabomoa nyumba yako mwenyewe Mungu azidi kuniepusha huwa na misimamo yangu nitagombana na mr wangu kwa mambo yetu wenyewe sio mtu aingilie kati anishike masikio kamwe haitatokea
 
Back
Top Bottom