LE Mutuz Instagram Party At Escape 1 Beach Club 2/8/2014 More Details Coming Soon!!

Can you imagine hili mbwiga liligombea ubunge wa Afrika mashariki?

Una uhuru kufanya utakavyo lakini umri wako unaonyesha umekua mwili tu na si akili

Kufanya utoto kwa kisingizio cha kusaka hela ni upimbi wakutupwa
Umri umeisha kutupa mkono.......you're too old for that broda
 
- Kama huna kiingiliom nitakusaidia tukimaliza party njoo nikuajiri kwenye Radio na TV tunafungua karibuni sana wacha kelele za Sungura sizitaki mbichi hizi kumbe unazitaka lakini huwezi kuzikifia, the party is on kama ilivyoapngwa ok tena bendi ya Skylight itapiga na viongozi kadhaaa wa CCM na Upinzazi watakuwepo njoo au subiri kuisoma hapa JF, maumri yako yepeleke chooni kwako and flash it with your foolishness ok!! ha! ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
Can you imagine hili mbwiga liligombea ubunge wa Afrika mashariki?

Una uhuru kufanya utakavyo lakini umri wako unaonyesha umekua mwili tu na si akili

Kufanya utoto kwa kisingizio cha kusaka hela ni upimbi wakutupwa
Umri umeisha kutupa mkono.......you're too old for that broda

Mbunge Machali amempiga na kumjeruhi baba yake mzazi. Kisa kikubwa Machali anadai baba yake huyo ana tabia ya kunywa pombe na kulewa.

Mbunge huyo amefikia hatua hiyo baada ya kuchoka tabia ya ulevi kutoka kwa mzazi na kupelekea kumpa kichapo mpaka akateguka mkono.

Kamanda wa Polisi Mkoa, Frasser Kashai amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na jalada limefunguliwa na upelelezi umeanza juu ya tukio hilo.

NOTE: Tukio hili liliripotiwa mapema leo hapa JF

Mandla.

Moses-Machali-Kasulu-Mjini.jpg
 
- sishindani na mtu I am just livingi my life na kwa bahati nzuri maisha yangu ni so excting mpaka yanarushwa kila siku kwenye blogs na media mpaka za nchi za nje, kama huepndi that kufa my friend tujue una hasira ama sivyo utayasoma tu maisha yangu hapa kila siku!! ha! ha!

Le Big Show

Unachekesha .Ushamba unakusumbua. Una maisha gani ya mimi kuyatamani. So far bado sijaona kitu.
Le big fat baby LE minyonyozi..:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
- hUYU ni Miss Ukonga U know bonge la bebz mukareezzz kama vipi huoni kuwa ameosha U know, so I was like daamn hili bonge la chick how do I get her U know na mimi si unajua ni single so it was like woow I about to drop dead U know, ha! ha! ha! le bongo tambalalezzzz U know!!

Le Big Show

Ha ha ha ha we Mjamaa bana yaani inafikia saa nyingine huwa nacheka tu kutokana na comments zako afu kikubwa huna habari hata upige madongo vipi.
Ha ha ha U know!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
king of all social network and blogs nd media Tanzania. big celeb le mutuz, le baharia.
Mkuu pole sana, naona umejitahidi kumfagilia le mutuz lakini yeye mwenyewe anaonekana kukupuuza.
hakupi like wala ku'quote na kukoment posts zako.
Bila shaka umekata tamaa na kuamua kusepa zako kimya kimya.
 
Ha ha ha ha we Mjamaa bana yaani inafikia saa nyingine huwa nacheka tu kutokana na comments zako afu kikubwa huna habari hata upige madongo vipi.
Ha ha ha U know!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

- Kaka salute madongo yanarushwa na wanaotamani wanashindwa unataka niache my life kwa sababu ya wajinga wajinga nah I got no time for that!!

Le Mutuz
 
Mkuu pole sana, naona umejitahidi kumfagilia le mutuz lakini yeye mwenyewe anaonekana kukupuuza.
hakupi like wala ku'quote na kukoment posts zako.
Bila shaka umekata tamaa na kuamua kusepa zako kimya kimya.

- Jamaa haelewi mimi huwa sina muda wa kusaidiwa na mtu hapa kwenye mijadala huwa ninasimama mwenyewe na jamaa ni mnafiki flani hivi yupo hapa loong time so huwa sina time na watu kama yeye never!! U know!1

Le Mutuz
 
Roger that. I like the attitude.

suelewi kwa nini wewe jamaa umekuwa falla kiasi hiki siku hizi? hivi kumsanifu mtu ndio kumsifia siyo?

haya njoo kwenye uzi wake wa majuu ndio ujuwe watu serious ni jinsi gani tunakuwa serious mtu akileta mzaha kwenye topic muhimu.

kama humjui le totoz ni pimbi kama wewe wenzako hii ni comedy yetu hapa jf.
 
uko too low yani wewe hapa jf unaangalia likes? seriously? kwahiyo watu wanaotumia simu wewe lazima uwaone wana roho mbaya maana wengi hawana access ya kutoa like. I see wewe jama kumbe ni bonge la tutusa.
 
- Kaka ukiweza kutengeneza pesa kwa kutumia hiki chombo ndio unawasanifu wengine otherwise unasanifika tu, ha1 ha! ha! nilikwambia ukiniona hapa ukaanza kubishana bishana na mimi unacheza muziki wangu tu, kama muziki hauna faida kwangu huwezi kuniona, ndio maana naingia hapa kwa jina langu kwa sababu ndio moja ya masharti ya kutengeneza pesa humu kwenye mitandao, huwezi kutengeneza pesa humu kwenye mitandao na jina la bandia kaka!! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
suelewi kwa nini wewe jamaa umekuwa falla kiasi hiki siku hizi? hivi kumsanifu mtu ndio kumsifia siyo?

haya njoo kwenye uzi wake wa majuu ndio ujuwe watu serious ni jinsi gani tunakuwa serious mtu akileta mzaha kwenye topic muhimu.

kama humjui le totoz ni pimbi kama wewe wenzako hii ni comedy yetu hapa jf.

uko too low yani wewe hapa jf unaangalia likes? seriously? kwahiyo watu wanaotumia simu wewe lazima uwaone wana roho mbaya maana wengi hawana access ya kutoa like. I see wewe jama kumbe ni bonge la tutusa.

- Naona jamaa kakubana mbavu sasa ume panic unarusha rusha ngumi na mateke tulia upewe maneno yako na wanaokuelewa vizuri kama huyo mkulu, ha! ha! ha1 ha!

Le Big Show
 
- Jamaa haelewi mimi huwa sina muda wa kusaidiwa na mtu hapa kwenye mijadala huwa ninasimama mwenyewe na jamaa ni mnafiki flani hivi yupo hapa loong time so huwa sina time na watu kama yeye never!! U know!1

Le Mutuz

hii ni thread ya kuparty kule escape 1 sina tatizo na hili in check and balance mechanism.

sasa nakuomba turudi kwenye thread yetu ya mamtoni tuendelee kupeana fact, huyo falla aliyedandia treni kwa mbele kwenye ile thread ya mamtoni ni msomaji tu hana uwezo wa kuchangia chochote.
 
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya kuonyesha evidence mlangoni kwamba ni my followers lakini wengine wote kutakuwa na kiingilio na ndani ya Ukumbi all my Insta Follwers watakaa Special VIP Seats, so lets go people kama unataka kutoa sponsorship unakaribishwa anytime!! Call +255 717 618 997

Le Mutuz
.....nataka niwepo siku hiyo mie na mai waifu@Preta...kiingilio shilingi ngapi mlangoni..?
 
- Naona jamaa kakubana mbavu sasa ume panic unarusha rusha ngumi na mateke tulia upewe maneno yako na wanaokuelewa vizuri kama huyo mkulu, ha! ha! ha1 ha!

Le Big Show

le totoz sina tatizo na thread ni ya kujirusha tu usitafute pa kupumulia labda hawa ndio wanaojaa ofisini kwako hadi unakimbia refer to the comments zako kwenye thread ya majuu.

nakusubili huku hapa hamna kitu usitafute pa kupungia upepo.
 
Back
Top Bottom