William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mkuu Lemutuz..akili nene.
Akili nyembamba hawawezi kukuelewa.
Mkuu naona leo umekuja kusalimia..Nadhani vijana watakuwa wamekumiss sana.. Ngoja waje hapa na challenges zao za hapa na pale- hahahahahahahahaa pole sana utakua unaongelea miguu yako mwenyewe maana mimi nipo kwenye ndege kila siku naruka ruka kwenye mataifa ya kigeni huo muda naweza kuupata wapi? hahahahahahahahhaha
le Mutuz
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Halafu kulala mbele ya umma hukawii kujamba
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
na lile litumbo lazima apumue tu
mana limejaa ges
Mkuu naona leo umekuja kusalimia..Nadhani vijana watakuwa wamekumiss sana.. Ngoja waje hapa na challenges zao za hapa na pale
1. Ni kawaida ya shoga kujisema mwenyewe hata asipoulizwa kama ulivyofanya na kwa mwanaume kama wewe kuuliza maswali ya kike kama haya huoni kuwa unajisema ni shoga maana tabia za kishoga shoga ni pamoja na kuhisi wengine wote ni kama wewe yaani shoga au nakosea mkuu?
2. Mtoto wa kiume kama wewe kuuliza uliza wanaume usiowajua umri wao kwenye social media inaashiria nini mkuu na hasa hapa mjini Dar? hahahahahahah
le Mutuz
Ha ha ! Interesting,Le Mutuz nation ,aka le Mario,
Sir ,I did not ask your age ,in literal sense I said why can't you act your age ?
Wewe ni mzee kabisa!- hahahahahahaha kwani tumbo lako lina nini kaka? hahahahahahahhahaa
le Mutuz
Wewe ni mzee kabisa!
umri kama wako akina mizengo pinda huwaoni!?
So Guys Handle Him With Care. Despite His Bulkiness, Inside He Is So Light To The Extent That He Cannot Handle New Challenges From New People. I Just Wanna Tell Him That Virtual Battle Is Quite Different From Physical One.
Nakushauri Tu Mkuu, Unaonekana Very Socia At Face But Fierce At Heart. Wavumilie Watu Maana Ndio Wanaokupa Mkate. Wakikuchoka Watakupa Mawe.
Angalia, Roho Ya Yule Mtumishi Anayetamani Malaika Ateketeze Social Media Isiwe Nawe.
- hahahaha no nilikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kwenye kazi za Social Media so leo nimeona nije niwape majibu maana nisipokuwepo wanakuwa na shauku sana na maswali mengi so far tupo one level nawapa live U know hahahahaha
le Mutuz
Ngoja nikupuuze tu- Sasa wewe mtoto mchanga wenzako wapo Muhumbili Mwaisela wewe huku unatafuta nini? hahahahahahahahha
le Mutuz
duh!!![emoji38] [emoji38] [emoji38]
na lile litumbo lazima apumue tu
mana limejaa ges
Mkuu pia I want to know about hii ishu ya la fience ,le mchumbazi ha ha ha [emoji38].mbona sisikii Tena wala kuona post zake juu ya fience aka bi nasra ha ha
Le Mutuz bhana Ha ha inabid uamke upo kwenye usingiz mzito ,unahitaji kua na familia now ,I am sure ukiwa na mke ndan uta act your age ,trust me ,utaachana na haya mambo ya show off at your age .
" Nimekaa majuu Miaka 30 ,nimekaanga kuu KFC,nimejiajiri na kutoa ajira kwa vijana waliomaliza chuo,nina ishi kwenye nyumba yangu ,mjini posta ,nalipia parking ,Nina shamba kinyerezi ,Nina kiwanja bweni,Nina super Noah [emoji38][emoji38]"
Ukioa utaacha hii nyimbo ha ha.
Ngoja nikupuuze tu
- jamani haya maajabu mtoto wa kiume kurukia wanaume kwenye Social Media kama mimi ambao wala huwajui, ok sasa unataka wewe ndio uwe Fiancee nini maana inaonekana unamuonea wivu mbebezz wangu, hahahahaha wewe jali maisha yako maana ukiyajali inavyotakiwa huwezi kuwa na muda wa kujali maisha ya wanaume wengine kwenye Social Media tena usiwajua like me, hahahahaha by the way Jumamosi nitakuwa Arusha kwenye Super Celebs Luxury Party, sujui na wewe umealikwa au sio Celebs kama mimi hahahahahahahaha
le Mutuz
Nilimpa challenge kidogo akaniblock.
Hahaha ndio mwisho wa ze akili kubwazzMkuu pia I want to know about hii ishu ya la fience ,le mchumbazi ha ha ha [emoji38].mbona sisikii Tena wala kuona post zake juu ya fience aka bi nasra ha ha
Le Mutuz bhana Ha ha inabid uamke upo kwenye usingiz mzito ,unahitaji kua na familia now ,I am sure ukiwa na mke ndan uta act your age ,trust me ,utaachana na haya mambo ya show off at your age .
" Nimekaa majuu Miaka 30 ,nimekaanga kuu KFC,nimejiajiri na kutoa ajira kwa vijana waliomaliza chuo,nina ishi kwenye nyumba yangu ,mjini posta ,nalipia parking ,Nina shamba kinyerezi ,Nina kiwanja bweni,Nina super Noah [emoji38][emoji38]"
Ukioa utaacha hii nyimbo ha ha.
Hana lolote yule anajiita akili kubwa lakini hamna kitu ukimkosoa kidogo tu lina kublock linataka kusifiwa tu kama baba jescaKwa kifupi.. Nimekaa nikajaribu kufatilia aina ya followers alionao Le Mutuz na celebrities wengine wachache.. Most of their followers ni watu wa kiwango cha chini sana kwenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo.Na that's why Le Mutuz akipost anything mfano kwenye IG, comments karibia zote zinakubaliana na kitu alicho post.... hakuna mtu anayeargue chochote.
Mfano siku moja alipost kwamba 99% ya wanawake na wanaume walio kwenye ndoa wana cheat..!!
Almost wote walio kuwa wana comment walikuwa wana support... How can u support such a thing just without even asking labda tupe proof ya unachosema..??!! Yeye huwa anasema tu.. Hii ni fact na sio Sheria yangu ndio hali halisi.. Basi. Sikatai mfano kwenye ndoa cheating zipo lakini when someone anakuja na figure (99%)lazima ku ask.. Provide proof kama ni research imefanyika etc etc.
Anyway ukiwa unataka kucheka kwa Ujinga wa kwenye mitandao.. Pitia page ya huyu Le Mburuluzzzz..
Ukimbishia kitu kwa fact anakupiga kufuli.
Hahahaahahaa Nafwaaazzzz.