MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,303
[emoji1] [emoji1]Nipo namsikilizia le mutuz hapa. Tufanye biashara ya noah maana naikubali sana ile noah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Nipo namsikilizia le mutuz hapa. Tufanye biashara ya noah maana naikubali sana ile noah
Tatizo ni kuwa huwa unakuwa na mada za kitoto huko, na watoto wanakuunga mkono kweli. Sasa akitokea mwenye akili zake akawarekebisha, wewe huona unadhalilishwa. Kwa kuwa admin wa page yako ni wewe, basi- hahahahahahahahahaha pole sana mkuu ila my Instagram page ni uwanja wa business inaniingizia Millions of Tshillings, sasa wanaonilipa hawapendi lugha za chooni kama ulizotumia hapa ndio maana ninawaondoa wajinga wote kama wewe wasiokuwa wastaarabu, kwenye Social Media nipo kibiashara zaidi sio kupoteza muda na empty brains kama wewe so pole sana ila ukiandika ujinga kule nitakuondoa tu maana ndio sheria namba moja ya wanaonilipa kutangaza kwenye my page, hahahahahahahah U know
le Mutuz Nation
Mimi huwa nafuata ile STRAIGHT HARD TALKHapa ndipo wabongo wanaponiacha hoi....hivi mtu unapo-mfollow mtu kama Wema au Le Mutuz unategemea nini haswa? Yaani followers wa hawa watu kwa kweli ni misukule.
- hahahahahahahahaa pole sana utakua unaongelea miguu yako mwenyewe maana mimi nipo kwenye ndege kila siku naruka ruka kwenye mataifa ya kigeni huo muda naweza kuupata wapi? hahahahahahahahhaha
le Mutuz
Alile fijo ingupi.jo sikomeNabaki kucheka tuu kumbe huyu jamaa mkubwa hivii???
Tatizo ni kuwa huwa unakuwa na mada za kitoto huko, na watoto wanakuunga mkono kweli. Sasa akitokea mwenye akili zake akawarekebisha, wewe huona unadhalilishwa. Kwa kuwa admin wa page yako ni wewe, basi

Unajua sometimes nikiwa na stress zangu nafungua Instagram naanza kupitia wadau na maceleb kuangalia yanayojiri
Le Mutuz ni mmoja ya watu walikua wananifurahisha kwa namna wanavyo jiamini na kusimamia anachokiaminj hata kama sio sahihi au sahihi
Siku moja akapost kitu bana, nikaona hebu ngoja nihoji kupata ufafanuzi
Kudadeki. BLOCK palepale
Nikashangaa sana, sijatukana sijakejeli ilikua genuine swali na halina ukakasi kabisa
Hapo ndio nikaja kujua ndio maana jamaa post zake zoooote comments asilimia mia moja wanamuunga mkono maana ukipinga au ukihoji tu jamaa hataki challenge anakublock


Tatizo ni kuwa huwa unakuwa na mada za kitoto huko, na watoto wanakuunga mkono kweli. Sasa akitokea mwenye akili zake akawarekebisha, wewe huona unadhalilishwa. Kwa kuwa admin wa page yako ni wewe, basi
Aliniblok pia kuna kipindi alipost screenshot ya 4g ya mtandao flani ikionekana kuwa na poor speed, kesho yake nadhani walimpa tangazo akapost akiisifia 4g ya mtandao huohuo, nikamkumbusha post ya jana yake nkapigwa block! He has attitude na he is a conservative,
Mkuu wako wa mkoa mwehu tu anatangaza mateja.Huyu mzee hayuko kwenye list iliyosomwa na mkuu wa mkoa wa Dsm kweli?