Le Mutuz Is So Fragile Inside

Le Mutuz Is So Fragile Inside

- Guys I am sorry jana nilikuwa na my babe having fun so sikuweza kuja kusoma mapovu yenu, ila maisha yangu yanasonga na najitayarisha ana safari ya Arusha kesho, so hahahahaha

le Mutuz

Kumbe na wewe una baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu mzima unakuja kutuanikia mahusiano yako mtandaoni tuma na picha mkiwa mnakwichkwich basi
 
- now kesho Arusha at Luxury Super Celebs. Party at the Gold Crest Hotel tukutane huko U know, Wolper, Kajala, Ben Pol na mimi tutakuwepo, kiingilio Tsh. 100,000 U know tukutane huko

le Mutuz
Me nitakuwepo kwaajili ya Ben ila wewe hakuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_20161225_144539.jpg

- Ni tofauti ya umri ndiyo inanifanya nipige pesa hapa wewe ulipie bando kutukana hahahahahahaha imagine mtoto wako ananunua bando bei mbaya kuja JF kutukana wanaume asiowajua unasema huyo mtoto mzima tena anatumia majina ya bandia si ni kama wewe tu mburulazzzz hahahahahahahaha
Me Namuonaga mwehu tuuu we jamaaaaa
 
Asante Mungu ww sio baba yangu sijui ningepita njia gani mm, unaweza kubwia unga km huyu ndo mzazi wako jamani ni stress tupu huyu mtu hata babake atakua anajutia siku aliopiga bao la mimba yake
 
Namuhurumia sana yule Mzee wetu PM mstaafu...kazaa lakini Mtoto sio riziki...!! Ndio maisha lakini ukizaa watano japo mmoja anachetuka
 
Namuhurumia sana yule Mzee wetu PM mstaafu...kazaa lakini Mtoto sio riziki...!! Ndio maisha lakini ukizaa watano japo mmoja anachetuka

- hahahahahah siku zote mashoga hujisema wenyewe maana mtoto wa kiume kuingia mitandaoni na kushambulia wanaume usiowajua hahahahaha lazima kuna sababu na umeisema mwenyewe hahahahaha

le Mutuz
 
Asante Mungu ww sio baba yangu sijui ningepita njia gani mm, unaweza kubwia unga km huyu ndo mzazi wako jamani ni stress tupu huyu mtu hata babake atakua anajutia siku aliopiga bao la mimba yake

- Sawa sawa sp baba yako ana furaha sana kuona mtoto wake wa kiume akiingia mitandaoni kwa majina ya bandia kutukana wanaume asiowajua? unasema baba yako is proud of that? hahahahahahaha ningekuwa mimi ndio baba yako ningejiua tu yaishe hahahahahaha

le Miutuz
 
- hahahahahah siku zote mashoga hujisema wenyewe maana mtoto wa kiume kuingia mitandaoni na kushambulia wanaume usiowajua hahahahaha lazima kuna sababu na umeisema mwenyewe hahahahaha

le Mutuz
Kweli ww ni shoga ambae akil zako zmeshageukia kwny 0712,ww hujui mi ni ke au me lakin unaniita shoga kwa kuwa ndo mchezo wako unaoufanyaga ndo mana umekukaa kichwani hujion ulivyo punguani ,hahaaa
 
Kwa kifupi.. Nimekaa nikajaribu kufatilia aina ya followers alionao Le Mutuz na celebrities wengine wachache..

Most of their followers ni watu wa kiwango cha chini sana kwenye uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo.

Na that's why Le Mutuz akipost anything mfano kwenye IG, comments karibia zote zinakubaliana na kitu alicho post.... hakuna mtu anayeargue chochote.

Mfano siku moja alipost kwamba 99% ya wanawake na wanaume walio kwenye ndoa wana cheat..!!
Almost wote walio kuwa wana comment walikuwa wana support... How can u support such a thing just without even asking labda tupe proof ya unachosema..??!!

Yeye huwa anasema tu.. Hii ni fact na sio Sheria yangu ndio hali halisi.. Basi.

Sikatai... mfano kwenye ndoa cheating zipo.. lakini when someone anakuja na figure (99%)lazima ku ask.. Provide proof kama ni research imefanyika etc etc.

Anyway ukiwa unataka kucheka kwa Ujinga wa kwenye mitandao.. Pitia page ya huyu Le Mburuluzzzz..

Ukimbishia kitu kwa fact anakupiga kufuli.
Hahahaahahaa Nafwaaazzzz.
Wallahi nafwazz u know
 
Back
Top Bottom