Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

Le mutuz kuoa binti mbich aliyezidi miaka 25

Status
Not open for further replies.

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Kwa miezi takribani miwili super blogger nchini Wiliam J.Malecela "le mutuz" anatangaza suala la kufunga ndoa kubwa kabisa mpaka amefikiria kuchukua uwanja wa taifa. Lakini swali wengi wanaojiuliza ni kwamba le mutuz ana umri zaidi ya miaka 50 na huyo binti ana miaka 25 tu. Hivi imekaaje hii wadau. Anyway hongera le super mutuz le baharia kwa kuopoa mtoto mbichii yani umeokota chungwa chini ya muorabaini.
 
Jana kulikuwa na uzi hapa jamaa jokoo hapandi mtungi,sasa kaamua kuchukua jiko,mhhh lakini vijana wapo watamsaidia kazi.
 
Kwa miezi takribani miwili super blogger nchini wiliam j.malecela "le mutuz" anatangaza suala la kufunga ndoa kubwa kabisa mpaka amefikiria kuchukua uwanja wa taifa. Lakini swali wengi wanaojiuliza ni kwamba le mutuz ana umri zaidi ya miaka 50 na huyo binti ana miaka 25 tu. Hivi imekaaje hii wadau. Anyway hongera le super mutuz le baharia kwa kuopoa mtoto mbichii yani umeokota chungwa chini ya muorabaini.

Unaujua umri wa Le Mutuz au unabashiri tu?
 
sasa namuelewa kwa nini Le Mutuz alitoka povu kumtetea Kapuya kumbe wote mule mule. Binti 25 huenda alianza nae 10 years back tehe 15 yrs. Aunganishwe kwenye kesi huyu.
 
Bora aoe kuliko awe mhuni.
Michango ya harusi tunapeleka wapi tafadhali?
 
Nyie washenzi acheni ushamba. Mimi nipo kijijini kuna mzee 1 mwenye miaka zaidi ya 70 anacharaza bakora balaa kwa mabinti wadogo na wanamu-appreciate kinoma. Msifikiri wanaume wote wana udhaifu low libido kama mlivyo ninyi. Malechela endelea na mpango wako, watu FITINA wasikukatishe TAMAA. Kila mtu ana maamuzi yake katika maisha yake binafsi. Msipende kuingilia MAAMUZI binafsi ya mtu.
 
Haya ni maisha binafsi pia nakumbusha kuna msemo unasema age is a number so muache na maisha yake leta tujadili mambo ya msingi ya kututoa tulipo kutupeleka level nyingine

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom