Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

- hahahahahahaha I am back from Arusha it was a bang U know I love Arusha and Moshi U know

le Mutuz
Unaumwa fangasi mkuu nenda tafuta dawa mkuu miguu inanukà mkuu naona hata hao mademu ni wachafu tu au wanavumilia uvundo wa miguu.I
downloadfile.png

Ushauri wa bure nenda kwa wamasai wakusaidie dawa.

swissme
 
U know wewe utakuwa wale marafiki wenye AKILI NDOGO 70%...AKILI NENE Le Mutuz am so humbled na MAshoping SHOPING.
U know ...Johannesburg si Mchezo mchezo Bata ubatani....[emoji160][emoji160][emoji147][emoji149]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmenishinda tabia maana si kwa jokes hizi 😀 😀
 
Unaumwa fangasi mkuu nenda tafuta dawa mkuu miguu inanukà mkuu naona hata hao mademu ni wachafu tu au wanavumilia uvundo wa miguu.I
View attachment 467877

Ushauri wa bure nenda kwa wamasai wakusaidie dawa.

swissme

- hahahahahaha tizama miguu yangu original ok hahahahahahaha huyo mama hiyo picha kaivuruga poleni sana ila ndio faida ya umaarufu yaan Celebrity

le Mutuz

16602715_700592136789854_6115883041408926691_n.jpg
 
Unatuletea photo shop weka miguu yako ile yenye matende na fangasi.

swissme
 
Back
Top Bottom