William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Unaumwa fangasi mkuu nenda tafuta dawa mkuu miguu inanukà mkuu naona hata hao mademu ni wachafu tu au wanavumilia uvundo wa miguu.I- hahahahahahaha I am back from Arusha it was a bang U know I love Arusha and Moshi U know
le Mutuz
Huyu demu anavumilia kweli hiyo miguu inavunda na harufu mbaya kweli mkuu.
Unaumwa fangasi mkuu nenda tafuta dawa mkuu miguu inanukà mkuu naona hata hao mademu ni wachafu tu au wanavumilia uvundo wa miguu.I
View attachment 467877
Ushauri wa bure nenda kwa wamasai wakusaidie dawa.
swissme
Hahahahaamishati yake ya karume buku jero
Mmenishinda tabia maana si kwa jokes hizi 😀 😀U know wewe utakuwa wale marafiki wenye AKILI NDOGO 70%...AKILI NENE Le Mutuz am so humbled na MAshoping SHOPING.
U know ...Johannesburg si Mchezo mchezo Bata ubatani....[emoji160][emoji160][emoji147][emoji149]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ww hatari dudu washa shati linafunika vitzAti shati lake linafunika Vitz
Muite msaga sumu atupe facts za kumchana LemubebezJamaa anayejiita MSAGA SUMU ndio anajua kuzitendea haki habari za mtu mzima.
Unaumwa fangasi mkuu nenda tafuta dawa mkuu miguu inanukà mkuu naona hata hao mademu ni wachafu tu au wanavumilia uvundo wa miguu.I
View attachment 467877
Ushauri wa bure nenda kwa wamasai wakusaidie dawa.
swissme
Unatuletea photo shop weka miguu yako ile yenye matende na fangasi.- hahahahahaha tizama miguu yangu original ok hahahahahahaha huyo mama hiyo picha kaivuruga poleni sana ila ndio faida ya umaarufu yaan Celebrity
le Mutuz
- siku miguu yangu ikiwa na matatitizo nitakuwa wa kwanza kukufahamisha ok hahahahahaha
le Mutuz
Tajirimsomi bila Shaka kama ni m bongo utakuwa ngosha ama kanda ya ziwa na kama ni jirani mkenya basi utakuwa Mluhya.[HASHTAG]#ugali[/HASHTAG]Hiyo ina nn ndani au kuna ugali
Queen wake ni mange bange auEti wakaniuliza wewe ni super star nikawaambia yes ni king of Bongo social media, maviiiiiiiii