Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Jisikitikie

Wewe umeiga nini kama unadai mtu kuanzisha kitu ni kuiga!? Ingekuwa hivyo basi kila kitu duniani kingekuwa kimja kimoja.

Haya mambo yanakuja na ubunifu, wote hawawezi kuendesha kiusawa..so kaa mkao wa kupata uhondo ikianza.
Ye mwenyewe kaiga kutembea Hadi kuongea kiswahili sijui alitakaje
 
Ile radio & TV morogoro na Davids mosha imeishia wapi?
 
Laiti huyu bwana angekuwa ni mfano moja wapo wa characters wa kwenye jitabu cha who took my cheese basi angekuwa ni HEM😀😀 The guy doesnt want ti change ...wale wenzie anaolazimisha kupiga nao pcha ni Sniffs And scurries mana wanacgange kulingana na mazingira.....Buy the way the guy does 90% planning while 10% action, All in all the guy is a Hem😀😱
 
Jisikitikie

Wewe umeiga nini kama unadai mtu kuanzisha kitu ni kuiga!? Ingekuwa hivyo basi kila kitu duniani kingekuwa kimja kimoja.

Haya mambo yanakuja na ubunifu, wote hawawezi kuendesha kiusawa..so kaa mkao wa kupata uhondo ikianza.
Acha kukurupuka umeelewa alichoandika jamaa
Umewah.kuona magazeti ya lemutuz yote yana lebel ya Millard ayo
 
Posti zote Instagram zimejaa za bashite anamwita majina20, comments hazifiki 20, wanaokomenti wale wale tu kama wamelipwa
Bashite kamlipa mamilioni huyu
Mzee Malecela alikosea kutuletea huu mzigo anataka kuuza nyumba ya kinyerezi kiwanja alichopewa na baba wa mkewe ili akalipe kodi anakoishi.maana matajiri wamelikimbia baada ya kuwa karibu na Bashite
 
Hongera sana jirani Mola akutangulie!
 
....yaani LE MUTUZ TV ONLINE & STREAMING LIVE ....ni an expensive PROJECT na ndio hasa iliyokuwa sababu ya Safari zangu za hivi Karibuni to CHINA, MACAU, HONG KONG na JOHANNESBURG/SOUTH AFRICA ...ilikuwa ni matayarisho ya kuingia into TV ONLINE ...
E bhana eh!! Kama Online TV tu imemfanya apite kote huko basi siku akija kuanzisha japo sawa na Star TV itabidi afike hadi mwezini; na akienda level za Azam TV atalazimika kwenda beyond the solar system kabisa!!!

Equipments for Online TV unaweza kuagiza hata ukiwa ndani ya daladala coz' all you need is internet connected device na online payment processor yenye pesa ya kutosha...!!! Sasa alienda kote huko kufanya nini!!!!!!

Anyway, Best Wishes Le Mutuz popote ulipo lakini majuzi tu hapa nilikuponda kuhusu blog yako ambayo ranking yake ni very low!!

Ungeanza kuipandisha chat blog yako ingekuwa umefanya jambo la maana sana kwa ajili ya hiyo Online TV!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…