Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

Jisikitikie

Wewe umeiga nini kama unadai mtu kuanzisha kitu ni kuiga!? Ingekuwa hivyo basi kila kitu duniani kingekuwa kimja kimoja.

Haya mambo yanakuja na ubunifu, wote hawawezi kuendesha kiusawa..so kaa mkao wa kupata uhondo ikianza.

Kwani Davis Mosha ameshamaliza madeni yake ya kodi mpaka TV ianze?
 
E bhana eh!! Kama Online TV tu imemfanya apite kote huko basi siku akija kuanzisha japo sawa na Star TV itabidi afike hadi mwezini; na akienda level za Azam TV atalazimika kwenda beyond the solar system kabisa!!!

Equipments for Online TV unaweza kuagiza hata ukiwa ndani ya daladala coz' all you need is internet connected device na online payment processor yenye pesa ya kutosha...!!! Sasa alienda kote huko kufanya nini!!!!!!

Anyway, Best Wishes Le Mutuz popote ulipo lakini majuzi tu hapa nilikuponda kuhusu blog yako ambayo ranking yake ni very low!!

Ungeanza kuipandisha chat blog yako ingekuwa umefanya jambo la maana sana kwa ajili ya hiyo Online TV!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] huyo ni mr misifaaa
 
Mzee Malecela alikosea kutuletea huu mzigo anataka kuuza nyumba ya kinyerezi kiwanja alichopewa na baba wa mkewe ili akalipe kodi anakoishi.maana matajiri wamelikimbia baada ya kuwa karibu na Bashite
ishu ya kuuza nyumba ilibuma, hatukuona hata mnunuzi, ilibuma kwasababu alikuwa anamkomoa Mange wakati hati ya nyumba haina jina lake.
 
ishu ya kuuza nyumba ilibuma, hatukuona hata mnunuzi, ilibuma kwasababu alikuwa anamkomoa Mange wakati hati ya nyumba haina jina lake.
Hahahaha kaka umenipa kitu hapa nimejua juzi alisema hakupata mnunuzi kumbeeeeee ni kweli kiwanja hakina jina lake auze Tofari sasa huyu cocochanel ndio anahangaika aolewe na @W.J.Malecela atalala guest kila siku mzee Malechelaa ametuletea matatizo mjini
 
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Acha ajaribu naomba tumuunge mkono. Kila kitu binadamu anakopi kutoka kwa waliotangulia. Mimi kwa ubunifu huo sioni shida. Sasa aanze kazi kwa kuajiri vijana wetu walio mitaani. Mola azidi kumusaidia asonge mbele.
 
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Kuiga sio dhambi kama unaweka kaubunifu kuweka tofauti yako na wengine,
Big up brother .
 
My Niggar I love the way your life style is all about,I mean you live all your life,congratulatation my big boss,very few people who called African can do that!!!!

unafahamu maana ya niggar?
 
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Kuanzisha online tv ni kuiga mtu?subiri tuone content za matangazo yake na mitindo atakayotumia ndio utangaze kuigana ,"chuki zikizidi akili hupungua "
Quote from my babu Mungu amrehemu.
Big up Le Mutuz,surely the game changer!
 
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!

- Millard Ayo harushi magazeti yake so kama ni kuiga wote tupo kwenye mstari mmoja ila kwa sasa yeye anayo hizo dhana na soon nitaifanya, so relax this is business ninategema ku invest 40M labda kama unahitaji ajira unaweza kutuma maombi!!

le Mutuz
 
Back
Top Bottom