Daniel Doto
Member
- Apr 27, 2017
- 5
- 3
Ni hatua nzuri, kaza mwendo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jisikitikie
Wewe umeiga nini kama unadai mtu kuanzisha kitu ni kuiga!? Ingekuwa hivyo basi kila kitu duniani kingekuwa kimja kimoja.
Haya mambo yanakuja na ubunifu, wote hawawezi kuendesha kiusawa..so kaa mkao wa kupata uhondo ikianza.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] huyo ni mr misifaaaE bhana eh!! Kama Online TV tu imemfanya apite kote huko basi siku akija kuanzisha japo sawa na Star TV itabidi afike hadi mwezini; na akienda level za Azam TV atalazimika kwenda beyond the solar system kabisa!!!
Equipments for Online TV unaweza kuagiza hata ukiwa ndani ya daladala coz' all you need is internet connected device na online payment processor yenye pesa ya kutosha...!!! Sasa alienda kote huko kufanya nini!!!!!!
Anyway, Best Wishes Le Mutuz popote ulipo lakini majuzi tu hapa nilikuponda kuhusu blog yako ambayo ranking yake ni very low!!
Ungeanza kuipandisha chat blog yako ingekuwa umefanya jambo la maana sana kwa ajili ya hiyo Online TV!!!
Amuache? afe.Huwezi kufanikiwa kama uko na Bashite
ishu ya kuuza nyumba ilibuma, hatukuona hata mnunuzi, ilibuma kwasababu alikuwa anamkomoa Mange wakati hati ya nyumba haina jina lake.Mzee Malecela alikosea kutuletea huu mzigo anataka kuuza nyumba ya kinyerezi kiwanja alichopewa na baba wa mkewe ili akalipe kodi anakoishi.maana matajiri wamelikimbia baada ya kuwa karibu na Bashite
Hahahaha kaka umenipa kitu hapa nimejua juzi alisema hakupata mnunuzi kumbeeeeee ni kweli kiwanja hakina jina lake auze Tofari sasa huyu cocochanel ndio anahangaika aolewe na @W.J.Malecela atalala guest kila siku mzee Malechelaa ametuletea matatizo mjiniishu ya kuuza nyumba ilibuma, hatukuona hata mnunuzi, ilibuma kwasababu alikuwa anamkomoa Mange wakati hati ya nyumba haina jina lake.
Acha ajaribu naomba tumuunge mkono. Kila kitu binadamu anakopi kutoka kwa waliotangulia. Mimi kwa ubunifu huo sioni shida. Sasa aanze kazi kwa kuajiri vijana wetu walio mitaani. Mola azidi kumusaidia asonge mbele.Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
[emoji23][emoji23][emoji23]Le mutuz ni katika watu waliogundua dawa ya kurudia ujana!
Kuiga sio dhambi kama unaweka kaubunifu kuweka tofauti yako na wengine,Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
My Niggar I love the way your life style is all about,I mean you live all your life,congratulatation my big boss,very few people who called African can do that!!!!
Kuanzisha online tv ni kuiga mtu?subiri tuone content za matangazo yake na mitindo atakayotumia ndio utangaze kuigana ,"chuki zikizidi akili hupungua "Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Swahili TV na FM zimeishia wapi hadi kakurupuka kuanza na kitu kingine?
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Pamoja mkuu nimekupata uzuri.- Africa Swahili Radio na TV zipo hewani so ni wakati wa kusonga mbele ile kazi ilishaisha sasa tunasonga mbele, thanks kwa kuuliza!
le Mutuz
Siwezi kuangalia tv cjui ushuzi wako le mpumbuzi tv le kunyas unanukisha nyumba nzimaaz le mbwaz ww