Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

- haya ndio maisha yangu mkuu ninaposafiri nakaa sehemu kama hizi, hahahahahahhaa umri baki nao mimi naendelea na maisha U know hahahahahahahhaa

le Mutuz
Wana Jf wamecheza na wewe kama babu yao, yaani hujakasirika na umetujibu comments zetu zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi nikubali tu
U r different [emoji1360]
 
Wana Jf wamecheza na wewe kama babu yao, yaani hujakasirika na umetujibu comments zetu zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi nikubali tu
U r different [emoji1360]

- Jamani kazi ya matengenezo inaendelea so far tumemaliza Cooling system na sasa tunaingia Phase Two, kazi kazi ni mategemeo yangu kuanza kuwa hewani, seriously ninamshukuru sana aliyeanzisha hii thread cause tutaendelea kuitumua kujitangaza hapa hapa maana hii thread ni Fursa kubwa sana ya kuwafikia watu wengi sana, Thanks Guys pamoja sana!!

le Mutuz
 
Babu phase 3 ikifika nistue kazi ju ya kaaaziiiii live straight talk hard talk hahahaha dah iyo nchi ina raha sana
 
Babu phase 3 ikifika nistue kazi ju ya kaaaziiiii live straight talk hard talk hahahaha dah iyo nchi ina raha sana

- Phase ya kwanza ilikuwa ni kuweka A Sophisticated Cooling System, imeisha sasa tumeingia Phase Two ya Floor leo hii hapa, kazi kazi hapa hatuna longo longo ni kaaazi tu so stay tuned!!. TV online inafanywa na wengi sana ila wengi hawaifanyi properly inavyotakiwa ndio maana tunataka kupenyeza Revolution kidogo so angalia we are coming soon!

le Mutuz
 
Ubunifu zero kabisa kilakitu anamwiiga millardayo.com ukiangalia hata blog yake magazeti yote asubuhi anakopi kutoka millardayo.com tena yakiwa na logo ya millardayo
Shame on you....!
Duniani hakuna kitu kipya vyote vishaafanyika ila vinafanyika tofauti acha wivu
 
Binafsi siyo shabiki wa Lemutuz lkn kwa hili kafanya jambo zuri la kimaendeleo, wanaosema kaiga mjue duniani hakuna kipya vyote vishaafanyika ila vinafanywa kwa ubunifu, ukisema kaiga na wewe kaige kama unafikiri ni rahisi sana kuiga au mlitaka aendelee kujipamba na madem tu
 
- HAHAHAHAHAHA unajua tatizo ni kama haya maneno ya shombo yanabadilisha anything, kwa sababu hapa kazi inaendelea na tunapenda hizi shombo kwa sababu ni changamoto za kupigana kufanikiwa so usijali mkuu pamoja sana kazi ni kaaazi!!

le Mutuz
 
Wachawi wako wengi sana bongo.....!

Le Mutuz Nation
View on Instagram "KAAZI JUU YA KAAZI ....ni Baampa to Baampa ...ujenzi wa our new Studio for LE MUTUZ ONLINE TV & STREAMING LIVE ...unaendelea hapa at Downtown Posta Mpya Tancot House ....stay tuned tutaanza kuwa hewani soon ...tunataka kuleta Mabadiliko na Ubunifu kwenye Industry ...I am Humbled U know!" - le Mutuz Nation — at Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
 
- HAHAHAHAHAHA unajua tatizo ni kama haya maneno ya shombo yanabadilisha anything, kwa sababu hapa kazi inaendelea na tunapenda hizi shombo kwa sababu ni changamoto za kupigana kufanikiwa so usijali mkuu pamoja sana kazi ni kaaazi!!

le Mutuz
Maskini wee! Nilijua tu mwenye African Swahili TV atatoka na wewe nduki! Si ulikuwa unajifanya wewe ni mwanzilishi, boss kubwa na kuhamia ukahamia. Eti ukajifanya wewe ndio mwajiri mkuu! Umetolewa baru kama paka mwizi!
 
- Matengenezo ya Studio mpya yanaendelea, soon tutaanza majaribio ya kuruka hewani maana tutakuwa pia na Streaming Live, so guys tulieni nitawafahamisha tu na hasa baada ya Safari ya South Korea hahahahahahaha I lov it!!

le Mutuz
Big and all the best
 
Maskini wee! Nilijua tu mwenye African Swahili TV atatoka na wewe nduki! Si ulikuwa unajifanya wewe ni mwanzilishi, boss kubwa na kuhamia ukahamia. Eti ukajifanya wewe ndio mwajiri mkuu! Umetolewa baru kama paka mwizi!

- Ni maneno ya chooni, kule bado nipo Mkurugenzi na Share Holder, na hii ni yangu binafsi pole sana huna maisha kabisa unataka wote tuwe kama wewe

- Batannn Jumapili at Fish Market hahahahahahaa U know

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…