Le mutuz: the good news. Le mutuz tv online (lto)

15032052_653827588132976_2389569749628696600_n.jpg

- hahahaha ni kweli nina matatizo ndio maana wabebezz wananipenda au? hahahahahahaha

le Mutuz
Eti wanakupenda!! Hivi we hapo una element yoyote ya kumfanya msichana mdogo akupende?

Body zuri; HUNA!

Pesa, HUNA!

Umri; UMEKUTUPA MKONO!!!

Sasa kitakachowafanya mademu wakupende ni kipi?!!

Narudia, wewe ni urithi wa taifa unaopaswa kuwekwa makumbusho ili watu waje kukuona kwa kukulipa kiingilio!!
 
15727240_678835712298830_8145246013624598566_n.jpg

- unajichora bure wanaonijua vizuri wamenyamaza wangeshakuja kuku support hahahahaha kwenye mademu umekosea sana maana ungejua usingegusa kabisa hii line hahahahaha

le Mutuz
 
- kwani wewe una miaka mingapi? na inahusika vipi na anything? Unanilipia maisha labda uniulize kwa nini sijilipii mwenyewe au what?

le Mutuz
Taja umri wewe!!!

Miaka above 20 kabla hujaenda majuu!!!

Miaka 30 Uliyokaa majuu

Miaka zaidi ya 5 uliyokaa Tanzania baada ya kurudi majuu!!!!

>>>20+30+5== Zaidi ya miaka 55!!! And am certain in a year or two, unagonga 60!!!!

Malizia lile banda wewe mzee... wanao utawaachia nini?!!
 
18813826_763886880460379_6180106292132801617_n.jpg

- matayarisho ya ujenzi wa Studio yangu ya TV online yanaendelea pole sana maana haya ndio ymekuuzi mkuu hahahahaha kazi kazi tuhivi ni baadhi ya vifaa ninategemea kuviweka Studio so pole pole tunakaribia kufika, sasa hivi wamemamliza kuweka Cooling system tayari kinachofauata ni Sound Proof

le Mutuz
 
15727240_678835712298830_8145246013624598566_n.jpg

- unajichora bure wanaonijua vizuri wamenyamaza wangeshakuja kuku support hahahahaha kwenye mademu umekosea sana maana ungejua usingegusa kabisa hii line hahahahaha

le Mutuz
Unaejichoresha ni wewe manake kila mtu anafahamu hao mademu sio wako!! Sasa kama sio kujichoresha tuite nini?
 
- wewe mademu ndio wanasema "kila mtu anafahamu" Mwanaume hutumii maneno ya kike kama hayo jifunze unajichoresha hahahahahahaha
18519462_754990058016728_8128544264504119486_n.jpg
 
Hahahaahahah bway bway bway hapendi kuambiwa ukweli huyu mwili mkubwa shati lake turubai YA vitz

- yaani ukweli utaniambia wewe unayetumia majina ya bandia? So nitaenda kusema kwa wenye akili kuwa nafuata ushauri niliopewa na mtu simjui anatumia majina ya bandia? hahahahahahha

le Mutuz
 
Eti wanakupenda!! Hivi we hapo una element yoyote ya kumfanya msichana mdogo akupende?

Body zuri; HUNA!

Pesa, HUNA!

Umri; UMEKUTUPA MKONO!!!

Sasa kitakachowafanya mademu wakupende ni kipi?!!

Narudia, wewe ni urithi wa taifa unaopaswa kuwekwa makumbusho ili watu waje kukuona kwa kukulipa kiingilio!!
Hahahah@chinge mbavuuuu zangu Leo naona umemuamuliaaa... Uhu jamaaa kama kituko flan hivi ndani YA jf
 
Taja umri wewe!!!

Miaka above 20 kabla hujaenda majuu!!!

Miaka 30 Uliyokaa majuu

Miaka zaidi ya 5 uliyokaa Tanzania baada ya kurudi majuu!!!!

>>>20+30+5== Zaidi ya miaka 55!!! And am certain in a year or two, unagonga 60!!!!

Malizia lile banda wewe mzee... wanao utawaachia nini?!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
18813826_763886880460379_6180106292132801617_n.jpg

- matayarisho ya ujenzi wa Studio yangu ya TV online yanaendelea pole sana maana haya ndio ymekuuzi mkuu hahahahaha kazi kazi tu

le Mutuz
Kwahiyo unapiga picha kwenye mali za watu ndo unaita maandalizi ya kujenga studio!!!! Yaani ni sawa na mtu aende bandarini na kupiga picha mbele ya makontena halafu anatangaza maandalizi ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi!!

We jamaa mbona unahangaika sana kutaka ku-prove mambo yako yapo safi wakati ukweli ni kwamba mjini unaishi kwa kutegemea blog isiyo na viwango na kujikomba kwa watu?!
 
- wewe mademu ndio wanasema "kila mtu anafahamu" Mwanaume hutumii maneno ya kike kama hayo jifunze unajichoresha hahahahahahaha
18519462_754990058016728_8128544264504119486_n.jpg
Kama kupiga picha na vibinti vidogo sawa na wajukuu zako huoni kwama unajichoresha basi we jamaa unatakiwa kupelekwa makumbusho haraka sana!!!!!
 
Jamani heshima tafadhali.Mnajua kuwa mnabishana na mzee umri wa Baba Bashite. [emoji23]
Acha ukuwadi we mzee!!!!

Mkuu una miaka mingapi??

Eti wanakupenda!! Hivi we hapo una element yoyote ya kumfanya msichana mdogo akupende?

Body zuri; HUNA!

Pesa, HUNA!

Umri; UMEKUTUPA MKONO!!!

Sasa kitakachowafanya mademu wakupende ni kipi?!!

Narudia, wewe ni urithi wa taifa unaopaswa kuwekwa makumbusho ili watu waje kukuona kwa kukulipa kiingilio!!

Unaejichoresha ni wewe manake kila mtu anafahamu hao mademu sio wako!! Sasa kama sio kujichoresha tuite nini?

Hahahaahahah bway bway bway hapendi kuambiwa ukweli huyu mwili mkubwa shati lake turubai YA vitz

Ili jibu auwezi kupewa.... Ila jamaa yupo kwenye umri wa kustaafu
 
Kama angekuwa ni askari wa cheo cha kawaida ingekuwa ameshastaafu manake mwisho ni 55 ambayo huyu jamaa alikuwa anakaribia kuigonga mwaka anaanzisha blog yake!!!
 
Back
Top Bottom