tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Nachekaga Sana watu kujifanya wa mjini kitambo halafu hao wanaoitwa wa bush wanakula gud life.
Ni watu pekee wenye akili za Le Mutuz Le mburulaz wanaweza kumpinga Msando. Msando yuko sahihi asilimia Mia.
Huyu limutuz alikua dreva wa gari la takataka usa ndio mana ni empty head,ukiendesha gari ya taka au ile ya kunyonya kinyesi lazma uwe chizi,msando ni mjanja kuliko huyo mpambe w wanaume w mjini kwa msando le mutuz ni kma houseboy 2

Khaaaa kumbe!!!!!Basi hii shida nyingine
Kumbe umeyajua makopo yenye majina kupitia kwa hao maselebu. Wenyewe ndo wanakuhabarisha siyo eh?
They are not forced to "Share A Coke". They can keep their names to themselves kama wakitaka.
Wewe angalia wabeba taka wa mtaani uone akili zao kma za le mutuz
Wewe wa Dar salaamu una nini zaidi ya mapovu tu kukutoka mdomoni:bange:Sina hata haja ya kusoma comment za wadau wengine nakuunga mkono.
Huyu mlugaluga kavamia mji kwa pupa sana anadhani hapa ni kule mikoani ambako lift za ghorofa zinafanyiwa uzinduzi.
Pamoja na uboya wote wa Le Mutuz huyu Msando ni mshamba fulani tu hana lolote, hivi hapa mjini huyu Msando ataongea nini mbele ya Baharia kitambo?
Wameshazoea pesa za ufisadi wa mifuko ya jamii anaona watu wote mazuzu jinga kabisa huyu.
Ni mpumbavu peke yake asiyejuwa mchango wa ufadhili wa Coca cola Tanzania, huyu kwa sababu ni pimbi fulani tu hajui faida tulizopata kwenye Copa Coa cola.
Wewe wa Dar salaamu una nini zaidi ya mapovu tu kukutoka mdomoni:bange:
Wewe wa Dar salaamu una nini zaidi ya mapovu tu kukutoka mdomoni:bange:
I see. But they are Royal Family. Aren't they? Kwa hiyo watalipwa wao binafsi na kutia hayo malipo kwenye mifuko yao au inakuwaje?
ndo kazi zenu hizi kujitia wajanja wajanja kurekebisha watu spellingDar salaam ndio wapi? na ipo nchi gani?
Wewe angalia wabeba taka wa mtaani uone akili zao kma za le mutuz
Hivi huyu babu le mutuz a.k.a le kopozzzzzzz ana bifu gani na mjukuu wake anaejiita bikira wa kisukuma
Kampiga hela kwenye lile tamasha lao chezea mdananda
Le Mutuz alipiga milioni mbili kimya kimya halafu akawadhulumu wenzake dah
Le Mutuz alipiga milioni mbili kimya kimya halafu akawadhulumu wenzake dah
Huyu jamaa shida tupu nilimwambia hajawahi shika 10m yake siku akishika stroke inamhusu,2m unadhulumu kweli huyu jamaa anaishi kwa msaada mzee mzima mdananda
milioni 10 anaisikia tu, ile Noah anayoendesha ni ya Juma Pinto alimuachia aitumie baada ya kuona anaomba omba liftisana. Le mutuz akaichora chora mirangi mpaka Juma Pinto ameisusa dah.